komanyahenry
JF-Expert Member
- Sep 15, 2017
- 907
- 1,372
Kwanini hawavai za polisi, magereza, na mgambo?Ni Amiri Jeshi Mkuu nini cha ajabu hapo?
Malalamiko mengi ka mtoto wa kambo.
Kwanini hawavai za polisi, magereza, na mgambo?Ni Amiri Jeshi Mkuu nini cha ajabu hapo?
Malalamiko mengi ka mtoto wa kambo.
Huo ndio weledi mkuu wangu 👍Asante sana kwa kuliona hilo
Siwezi jibishana nae tena
Amiri Jeshi Mkuu ni cheo cha kimamlaka, ukiwa umevaa bukta au pajama madaraka yake yapo pale pale, kuvaa kombati ni mbwembwe tuuAmiri jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama ,yupo sahihi
Linyumbu haswa🤣🤣Kwanza alikuwa anabisha hakuna raisi wa nje alivaa sare za jeshi watu wakamuwekea jirani zetu kina Kenyatta museveni akaja na unyumbu wake ohh nataka raisi wa nchi zilizoendelea wakamuwekea kaona aibu analeta ukiazi nimelidharau sana hili nyumbu [emoji23][emoji1787]
Ningeona wapo sahihi angarau wangekuwa wapo kwenye field ya kijeshi kama vita, operation au mazoezi ya kijeshi ila kwenda kwenye kikao sidhani kama no sahihi. Nyerere mwenyewe alivaa nguo kombati za mgambo wakati yupo kwenye vita ya kagera na nguo za JKT wakati wanafanya mafunzo ya JKT kwa mujibuAmiri jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama ,yupo sahihi
We umegundua sasa ujanja wake!!Rais mjanja sana, kwa hiyo picha wale jamaa wa sukumagang wanashangilia, halafu akitoka hapo anaenda kuingiza chaguo la msoga kwenye system, hapo anakuwa ameyalainisha makundi yote chamani kwake akiwa kama mwenyekiti wao.
Balaa linabakia kwa wapinzani, ni mwendo wa kuwabambikia kesi na kupeleka mahakamani mashahidi vihiyo wasiojua hata kukariri wanayoambiwa.
Hapo sasa 🤣🤣Kama kuna tatizo, unadhani jeshi lingeandaa utaratibu wa yeye kuvaa hivyo kwenye shughuli yao?!
What if she asked? Remember she's CICKama kuna tatizo, unadhani jeshi lingeandaa utaratibu wa yeye kuvaa hivyo kwenye shughuli yao?!
Daaah alikua anatembea kma robotChandimu harisheni huko mlipo View attachment 2011653
Kwanini hawavai za polisi, magereza, na mgambo?
At public occasion?[emoji28][emoji28]usiwe MJINGA siku nyingine unajua wakati ana authorize mauaji ya OSSAMA or other military activity anakuwa kwenye chumba maalumu anaangalia tukio?Kumbe ulijua mabakamabaka tu ndio sare za Jeshi aisee hata kama hujapitia Jeshi lakini hata taarifa za habari huwa zinakupita
Hilo jacket hata Chief of Staff hawezi kulivaa maana sio la cheo chake
Naona umecheka sana ukifikiri kavaa jacket la mtumba ama View attachment 2011994
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756]Na mimi Happ ndipo ninapostaajabu Kikwete kanali hajawahi kuonyesha hizi mbwembwe hata Hayati Mkapa sikumbuki.
We akili yako kama kijiko cha sugar kama nandi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa umeamini kama wewe ni kiazi [emoji23][emoji1787]
Akili yako imeishia hapo?[emoji848][emoji848]Una malalamiko ya kipumbavu.
Uncle futa hayo malalamiko
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Jamaa kajidhalilisha sana,anahoji Amiri jeshi mkuu kuvaa ngwada za jeshi ????Hapo sasa [emoji1787][emoji1787]
Anajifanya anajua kuliko waitifaki wa JWTZ.....
Huu nao si aina ya UCHIZI kweli?!!![emoji1787][emoji1787]
Shetani akusamehe maana hukusomeshwa nadhani uliokotwa chooniWanaotishika ni raia wapumbavu na wenye low self esteem kama wewe
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] tamaa zako tuIko kivazi kitamu sana..
Mnooooo ujuaji mwingi kumbe "sifuri" tu 🤣🤣Jamaa kajidhalilisha sana,anahoji Amiri jeshi mkuu kuvaa ngwada za jeshi ????