Rais Samia kutoipa kipaumbele ikulu ya Dodoma: Je, kuhamia Chamwino ilikuwa matakwa binafsi ya Hayati Magufuli?

Ivi DSM si ni sehemu ya Tz kuna shida gani?
JPM kuhamia Dodoma ni kutekeleza uamuzi wa chama toka zama za JKN issue ambayo for 40 years watangulizi wake walishindwa yeye alilimudu.
Il wale wenye mahaba na dsm hawaishiwi maneno tutaendelea kuwasikia
 
Kuna Jamaa alisema Mara paap Museven tunatakiwa kumuita Daddy!
 
Mwacheni mama afanye kazi yake, aende dodoma ili akavumbue nini? Mwache mama apunge upepo mwanana wa bahari ya hindi. Tena hayo magofu ya ikulu ya dodoma yangefanywa kuwa hostel za wanafunzi wetu wa udom.
 
Tujenge kwanza madarasa na matundu ya vyoo tuache anasa!! Kuna serekali mtandao sasa!! Napendekeza wizara ya fedha na bank kuu, wizara ya uvuvi, wizara ya ujenzi na wizara ya Mambo ya nje zibaki DSM kupunguza gharama

Gharama zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…