Asubiri kwani ye mahakama?.Mama anaenda kujichora na kesi ya mbowe haijaisha .
Haruhusiwi kuwa na ratiba zingine?.Yaani mkutano tarehe 23 yeye anaondoka kesho tarehe 18? like serious? siku zote zaidi ya 4 atakuwa anafanya nini hapo New York.
Tuache wivu wa kijinga.Yaani mkutano tarehe 23 yeye anaondoka kesho tarehe 18? like serious? siku zote zaidi ya 4 atakuwa anafanya nini hapo New York.
Umeona kuna wivu hapo? Babu eee pita hivi basi.Tuache wivu wa kijinga.
Kesi ya hilo ligaidi mtajuana wenyewe huko ufipa. Usitake kumlazimisha rais eti ajifungie ndani hadi kesi iishe.Mama anaenda kujichora na kesi ya mbowe haijaisha .