Hapo tatizo ni direct translation/tafsiri ya moja kwa moja, toka lugha moja kwenda nyingine. Mara nyingi wengi wetu hufikiria kwa lugha zetu na kuyatia mawazo yetu katika lugha ambayo inatumika katika majadiliano au hata mashuleni. Kwa Kiswahili tunasema "Utakaa ndani hadi hapo...." tukimaanisha "Utakaa lupango/ korokoroni/lokapu hadi hapo....". Sasa ukitafsiri neno kwa neno ndiyo unaishia kusema hayo aliyoyasema huyo Waziri, "You are going to stay inside until...."
 
Hiyo ni tatizo la kufikiria lugha.

Lugha ili uimaster haautakiwi ufikirie kwa lugha yako,unatakiwa ufikirie kwa lugha yao,hii utaweza endapo utakuwa unaskiliza saaaaana scenario za lugha husika na sio kujisomea peke yako.
 
Pamoja na Kuongea Broken English .Je hiyo Broken haieleweki kwani!!? Wanaomsikiliza hawaelewi kwani. Umeona hata baadhi ya Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao humu tz wanavyoongea Kiingereza chao. Au unataka kila mtu aongee kama Muingereza, Irish au Marekani??. Tusiwe Wajinga kiasi hiki.

Anyway naona JUNGU LAKO limefanya kazi. KATOLEWA
 
Kwa kweli aliupiga mwingi sanaa
 
Ben Sanane alipoteaga kwa kuhoji PhD fake ya mzee
 
Phd watu wananunua machapisho wala msiogope kuona mtu ana phd siku hizi....kuna mama mmoja nilikuwa nafanya nae kazi huko katavi yeye aliniambia masters yake aliinunua million 11....
Siamini. Labda u DOM unaweza nunua kama walivyofanya wale Mawaziri 2 TZ. Ila masters in course works ubanunuaje masomo yote kwa Walimu wote?
 
Sijamuelewa anazungumzia nn..aaah aah nyingi, point yake ipi hasa
Hivi ninyi mgekutana na Professor wa Umeme wa Mkanyathar wa kusini kabisa ya India mgetiboa kweli? Maana kwa uelewa wako wa hicho unachokiita Kiingereza na bado huelewi, picha ninayopata ni kuwa huwezi kujiongeza ukishaambiwa hii ni 'a' kwako ni a daima!!! Huu ni udhaifu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…