Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,838
- 71,303
- Thread starter
- #81
Tatizo ni kuwa tunafanya Kiswahili kama mali binafsi ya Tanzania.Huyu mama mambo ya kiprotokali hayajui vizuri vinginevyo atakua na jambo lake. Waziri wake kaanza na kingereza kisha kaomba radhi aendelee kwa lugha rasmi ya kwao. Rais wake kuja anapwaga tu kizungu. Hakika ni pigo kwa juhudi ya kukipa hadhi yake kiswahili.