mataifa makubwa huww yana misimsmo hiyo kwa kuwa wanajitosheleza kwa vitu vingiMarais wa France,China German,Russia na kwingineko wote hua wanatumia lugha zao,acha kua na mawazo ya kitumwa.
Mtu na mjomba ake. Endelea kutetea kaburi. Utateuliwa kusimamia ghala la chakula kuzimu na mtangulizi wako. kingereza ndo lugha ya mikataba globally.Hadi leo kuna wajinga wanajua kuongea kiingereza kizuri ndio usomi!Ni ujuha. Kiingereza ni lugha kama kiswahili tu.acha ujuha na mawazo mgando.
Je yule abunuasi wa "font pechi"?Rais uhuru kenyata alishindwa kutamka unsustainability.je na yeye hajui kiingereza?
Unamjulia!Mwendazake alikuwa SELFISH sana. Kuna vitu vitatu ambavyo ni MADHAIFU yake lakini alivigeuza ni SERA ya Utawala wake.
1. Pacemaker vs Kusafiri Nje
Yeye aliwekewa pacemaker mwaka 1992 na kutokana na hilo alikuwa hashauriki kusafiri safari ndefu mara kwa mara na ndege. Kwa kuona hawezi kusafiri, akazuia watumishi wa Serikali kusafiri Nje ya Tanzania mpaka kwa kibali maalum
2. Kiingereza Broken vs Kiswahili
Kwa kweli Magufuli hakuwa na uwezo wa kuongea Kiingereza kilichonyooka. Ni broken tupu ndiyo anaijua sana. Kutokana na yeye kutijuwa Kiingereza pamoja na kuwa na PhD fake akajifanya ana promote Kiswahili na akataka hata Mahakama Kuu itumie Kiswahili
3. Watoto wengi vs Uzazi wa Mpango
Kutokana na maisha yasiyo na maadili ana watoto 7 rasmi na 5 wengine aliozaa na wanawake mbali mbali. Kutokana na hilo amekuwa anawaambia Watanzania wazaliane tu.
He was rubbish to be sincere, Tanzania didn't deserve him
Haya kiongeeeHadi leo kuna wajinga wanajua kuongea kiingereza kizuri ndio usomi!Ni ujuha. Kiingereza ni lugha kama kiswahili tu.acha ujuha na mawazo mgando.
Alikuwa muongo muongo sanaMkuu tatizo ni kwamba Jiwe hajawahi kukubali kuwa hajui Kingereza bali alijitetea kuwa alikuwa anakikuza Kiswahili. Na alijigamba kuwa kakaa Ulaya miaka mingi tu.
Hadi leo kuna wajinga wanajua kuongea kiingereza kizuri ndio usomi!Ni ujuha. Kiingereza ni lugha kama kiswahili tu.acha ujuha na mawazo mgando.
Back in days when we were ignorant that's what we thought.but recently after being educated we dont have any more that ill-thinking.
I'd prefer the person who will honor their language first. We don't need to live in old poor,slavery mentality thinking that, English will make us look like them. We, who are Educated have moved from those days of slavery.
Mkutano wake wa kwanza nje ya nchi Mheshimiwa Rais Samia Suluhu katumia Kiingereza lugha ambayo inaeleweka vizuri kwa wenzetu Waganda na hao Wawekezaji badala ya kiswahili ambacho kilikuwa kinalazimishwa na JPM eti kulienzi wakati ukweli ni kuwa lugha hiyo nyingine ilikuwa inampiga chenga hivyo hakuielewa kiufasaha.
Naamini hatukua tunaambiwa ukweli lakini njia iliyokuwa inatumika hangeweza kuwa sahihi kukuza kiswahili nje ya Tanzania bali njia sahihi ni kuifundisha katika mashule na vyuo huko nje.
Marais wa France,China German,Russia na kwingineko wote hua wanatumia lugha zao,acha kua na mawazo ya kitumwa.
We jamaa jinga sana! Khaaa yaani umesababisha mimi nimekuwa mfano wa chizi kwa kichekoOfucozi pipo yuzidi to dai in ze leki, mwamba alipokuwa uganda.
Kama ni lugha kama lugha nyingine, ukiijua kuna ubaya gani sasa.Hadi leo kuna wajinga wanajua kuongea kiingereza kizuri ndio usomi!Ni ujuha. Kiingereza ni lugha kama kiswahili tu.acha ujuha na mawazo mgando.
Ninyi watu nyinyi hebu tuhurumieni basi"meticulous organization of this event" , sasa hiyo aiseme Meko, oooh my my, uharo ambao ungetoka hapo, only the dead knows
Mkutano wake wa kwanza nje ya nchi Mheshimiwa Rais Samia Suluhu katumia Kiingereza lugha ambayo inaeleweka vizuri kwa wenzetu Waganda na hao Wawekezaji badala ya kiswahili ambacho kilikuwa kinalazimishwa na JPM eti kulienzi wakati ukweli ni kuwa lugha hiyo nyingine ilikuwa inampiga chenga hivyo hakuielewa kiufasaha.
Naamini hatukua tunaambiwa ukweli lakini njia iliyokuwa inatumika hangeweza kuwa sahihi kukuza kiswahili nje ya Tanzania bali njia sahihi ni kuifundisha katika mashule na vyuo huko nje.
Naona badala ya kudeal na hoja umekuja na michambo kama Mama mwenye nyumba,polepole basi usije ukakata shanga,Wewe umechagua tu kuwa mtumwa wa nyumbani!! Ni kweli wanatumia lugha zao kwa kuwa protokali za mawasiliano za nchi zao zinataka hivo. Sio kwa sababu hawajui kiingereza. Sisi hatuna protokali zinazotutaka tutumie kiswahili kwa sababu mifumo yetu ya kazi ni ya kiingereza, sawa na hao wafaransa kwa kifaransa, wachina kwa kichina.
Ungeeleweka kama hadhira ingekuwa ya kireno au kifaransa. Hadhira ya kiingereza bado unaona kingezungumzwa kiswahili???
Acheni mzaha, hawa wakolobi kwenye swala la lugha walituwahi. Tunatumia lugha zao katika elimu na uendeshaji wa serikali na mahakama kuu na bunge. Ni rahisi zaidi (kifedha na kimuda) kufanya mambo yetu kwa kiingereza kuliko kiswahili.
Mama anajiongezea maadui. Badala ya kumlaumu mama, unalaumu mtu anayeona mama kafanya vema. Jifunze kiingereza na kiswahili na bado hautakuwa mtumwa. Kuwa mtumwa ni zaidi ya lugha. One umejiita icebreaker - hebu jiite jina hilo kiswahili!!