Rais Samia katuthibitishia matumizi ya Kiswahili hayakuwa kukikuza bali kuna mtu lugha ya Kimataifa hakuiweza

Marais wa France,China German,Russia na kwingineko wote hua wanatumia lugha zao,acha kua na mawazo ya kitumwa.
Lakini bado na wao wanapambana na kiingereza kwa sasa Mimi wachina ninao wajua tunawasiana kwa kiingereza na wapo Tanzania hapa pia kiswahili sioni Kama kinaweza kuwa international language maana world community wanapendelea kiingereza na kama unataka kuwa kimataaifa lazima ujue kiingereza maana wenye akili zao wameweka vitu na knowledge kwenye kiingereza angalia hata simu na laptop maneno yalivyo ya kiingereza na yanavyowapa shida wale wasio na uelewa wa kiingereza.
 
Kwa mateso aliyowaachia watu, sio rahisi kumuacha , tatizo lake hayo mabaya aliyowafanyia watu, si kutokana na sheria bali zilikuwa chuki zake binafsi tu kwa wahusika!!kila kiongozi kuna mabaya lazima utawafanyia watu kutokana na kusimamia sheria, lakini huyu hakuwa hivyo, chuki binafsi ndio zimewaumiza wengi!!acha watu wamalize hasira zao.
Alikupiga chini kwa cheti feki. Pole sana.
 
Kumkosoa mtu kuwa hafahamu kiingereza hata wazungu wenyewe watakuona una upumbavu au kichwani haupo vizuri. Kiingereza si lugha ya mtu husika akijua au asipojua siyo issue. Kikwete hakuwa akifahamu kiingereza vizuri. Mwinyi hakuwa akifahamu kiingereza vizuri ila alizunguza kiswahili kizuri cha kuvutia.

Marais waliokuwa wakifahamu kiingereza vizuri ni Nyerere na Mkapa. Kiingereza cha Mama Samia cha kawaida. But pia sawa. Anafahamu kiingereza. So what? Mumlaumu mtu ambaye hafahamu kiswahili na ni mtanzania. Mengine ni kuendeleza utumwa karne ya 21.
Kufahamu lugha za kimataifa kuna faida kubwa kuliko kuwa na kiswahili tu. Acheni kujificha kwenye kichaka hicho cha sijui utumwa. Unafikiri kwanini elimu yetu sekondari na kuendelea tunatumia kiingereza?
 
Mkutano wake wa kwanza nje ya nchi Mheshimiwa Rais Samia Suluhu katumia Kiingereza lugha ambayo inaeleweka vizuri kwa wenzetu Waganda na hao Wawekezaji badala ya kiswahili ambacho kilikuwa kinalazimishwa na JPM eti kulienzi wakati ukweli ni kuwa lugha hiyo nyingine ilikuwa inampiga chenga hivyo hakuielewa kiufasaha.
Naamini hatukua tunaambiwa ukweli lakini njia iliyokuwa inatumika hangeweza kuwa sahihi kukuza kiswahili nje ya Tanzania bali njia sahihi ni kuifundisha katika mashule na vyuo huko nje.

Mwendazake alikuwa SELFISH sana. Kuna vitu vitatu ambavyo ni MADHAIFU yake lakini alivigeuza ni SERA ya Utawala wake.
1. Pacemaker vs Kusafiri Nje
Yeye aliwekewa pacemaker mwaka 1992 na kutokana na hilo alikuwa hashauriki kusafiri safari ndefu mara kwa mara na ndege. Kwa kuona hawezi kusafiri, akazuia watumishi wa Serikali kusafiri Nje ya Tanzania mpaka kwa kibali maalum

2. Kiingereza Broken vs Kiswahili
Kwa kweli Magufuli hakuwa na uwezo wa kuongea Kiingereza kilichonyooka. Ni broken tupu ndiyo anaijua sana. Kutokana na yeye kutijuwa Kiingereza pamoja na kuwa na PhD fake akajifanya ana promote Kiswahili na akataka hata Mahakama Kuu itumie Kiswahili

3. Watoto wengi vs Uzazi wa Mpango
Kutokana na maisha yasiyo na maadili ana watoto 7 rasmi na 5 wengine aliozaa na wanawake mbali mbali. Kutokana na hilo amekuwa anawaambia Watanzania wazaliane tu.

He was rubbish to be sincere, Tanzania didn't deserve him
 
Eti kiswahili ni lugha ya kitaifa!kiswahili ni lugha ya kimataifa bro.kenya,uganda,comoro,burundi,rwanda na congo ni sehemu ya tanzania?Chuo kikuu ya yale nchini marekani wanafundisha kiswahili.
Kiswahili ni lugha ya kupigia Majungu na fitina.
 
Kufahamu lugha za kimataifa kuna faida kubwa kuliko kuwa na kiswahili tu. Acheni kujificha kwenye kichaka hicho cha sijui utumwa. Unafikiri kwanini elimu yetu sekondari na kuendelea tunatumia kiingereza?
Young man. "Emancipate yourself from mental slavery. None but ourselves can free our mind..." this was said by BM.

English is just another language like any other language. Free your mind from poor thinking that English is the best language or if a person cant speak it then is uneducated.

Back in days when we were ignorant that's what we thought.but recently after being educated we dont have any more that ill-thinking.

I'd prefer the person who will honor their language first. We don't need to live in old poor,slavery mentality thinking that, English will make us look like them. We, who are Educated have moved from those days of slavery.

Nlitaka ujue kuwa nafahamu kiingereza ila na prefer kiswahili. Naomba unikosoe kiingereza changu wewe mwingereza mweusi.😁
 
But pia sawa. Anafahamu kiingereza. So what? Mumlaumu mtu ambaye hafahamu kiswahili na ni mtanzania. Mengine ni kuendeleza utumwa karne ya 21.
Hayo makaratasi aliyoandikiwa akasoma wala si ushahidi kuwa anakifahamu kiingereza. Hata mwanafunzi wa kidato cha pili shule ya kata anaweza kusoma hayo.

Hatutampima kwa kujua au kutojua kiingereza.
 
Kwa mateso aliyowaachia watu, sio rahisi kumuacha , tatizo lake hayo mabaya aliyowafanyia watu, si kutokana na sheria bali zilikuwa chuki zake binafsi tu kwa wahusika!!kila kiongozi kuna mabaya lazima utawafanyia watu kutokana na kusimamia sheria, lakini huyu hakuwa hivyo, chuki binafsi ndio zimewaumiza wengi!!acha watu wamalize hasira zao.

Kabisa.
 
Umejiunga mwaka jana kwa ajili yakuja kutetea serikali ya dhalimu, saa hii unakutana na mrejesho wa dhalimu unashindwa kwenda na mapigo.
naamini unaweza kuandika kitu bora kushindanda ulichoandika hapa tuachane na hayo baada ya miaka mitatu nitakuja na ID nyingene utaandika hiki hiki ulichoandika leo
 
Kumkosoa mtu kuwa hafahamu kiingereza hata wazungu wenyewe watakuona una upumbavu au kichwani haupo vizuri. Kiingereza si lugha ya mtu husika akijua au asipojua siyo issue. Kikwete hakuwa akifahamu kiingereza vizuri. Mwinyi hakuwa akifahamu kiingereza vizuri ila alizunguza kiswahili kizuri cha kuvutia.

Marais waliokuwa wakifahamu kiingereza vizuri ni Nyerere na Mkapa. Kiingereza cha Mama Samia cha kawaida. But pia sawa. Anafahamu kiingereza. So what? Mumlaumu mtu ambaye hafahamu kiswahili na ni mtanzania. Mengine ni kuendeleza utumwa karne ya 21.
Mkuu tatizo ni kwamba Jiwe hajawahi kukubali kuwa hajui Kingereza bali alijitetea kuwa alikuwa anakikuza Kiswahili. Na alijigamba kuwa kakaa Ulaya miaka mingi tu.
 
kwa heshima ulionayo humu jukwaani hukutakiwa kuandika hiki ulichoandika tuachane na hayo baada ya miaka mitatu nitakuja na ID nyingene utaandika hiki hiki ulichoandika leo

Usinipe heshima yoyote boss, vumilia huu mrejesho tafadhali.
 
Rais uhuru kenyata alishindwa kutamka unsustainability.je na yeye hajui kiingereza?

Vyuo vingi sana sasa duniani vinafundisha Kiswahili. Chuo nilichosoma mimi nje ya nchi kinafundisha Kiswahili hivyo mimi niliweza ku-wave somo la lugha.
 
Back
Top Bottom