Vile nini hasa? Uelewa mdogo kiasi hicho? Bado wakazana kuandika tu. Huoni aibu? Umetaja nchi zinazoongea Kiswahili? Waganda watakukatalia. Hata wakenya nao hawatakubali. Wengine watabaki kushangaa ukilaza wako.Eti kiswahili ni lugha ya kitaifa!kiswahili ni lugha ya kimataifa bro.kenya,uganda,comoro,burundi,rwanda na congo ni sehemu ya tanzania?Chuo kikuu ya yale nchini marekani wanafundisha kiswahili.
Kiswahili ni lugha ya kitaifa kwa sababu ni lugha ya taifa moja tu. Hata Tz Kiswahili ni lugha ya taifa na sio official language. Usije hata hapa leta ubishi wa kile usojua. Fanya utafiti kwanza, ndipo uje!