Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 4,836
- 7,384
Mtoe Kikweke hapo. Kikwete alikuwa vzr sana kwenye Lugha (Kiingereza)Kumkosoa mtu kuwa hafahamu kiingereza hata wazungu wenyewe watakuona una upumbavu au kichwani haupo vizuri. Kiingereza si lugha ya mtu husika akijua au asipojua siyo issue. Kikwete hakuwa akifahamu kiingereza vizuri. Mwinyi hakuwa akifahamu kiingereza vizuri ila alizunguza kiswahili kizuri cha kuvutia.
Marais waliokuwa wakifahamu kiingereza vizuri ni Nyerere na Mkapa. Kiingereza cha Mama Samia cha kawaida. But pia sawa. Anafahamu kiingereza. So what? Mumlaumu mtu ambaye hafahamu kiswahili na ni mtanzania. Mengine ni kuendeleza utumwa karne ya 21.