Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Siku ukawavizia airport ukawauliza hebu twambie ulienda kufanya nini au umeleta nini kwa watanzania ukimwacha mhe. Rais waliosalia wataangalia chini na zaidi wametunisha mifuko yao
 
Back
Top Bottom