Before attack, elaborateUshauri wa kijinga tu
Polite language muda mwingine si dhambi!Kumbe ni Rais wako mpendwa! hahaahhaaa we inabidi utekwe haraka sana
Mnachosahau kuwa Rais ni binadamu kama wewe na mimi. Sio roboti kwamba kila neno utakalomrushia akaushie tu. Wewe ukirushiwa maneno ya hovyo kila mara utakubali? Pia heshima ni kitu cha bure. Jinsi unavyoheshimu wakubwa huko kwenu jitahidi kumheshimu Rais yeye binafsi.Angalia upendo wa Raia wote (naweza kusema hivyo, wote) wanaouonesha kwa Raila!
Nadhani una kitu cha kujifunza na pia kwa watanzania wote.
TENDA HAKI, HAKI, HAKI utapendwa na kuombewa na wenye heri ya Mungu ndani yao na kila mmoja!
Rais wangu historia yako umeiandikaje mpaka sasa?
Hivi unadhani huyo Raila alitenda mema sana?? Je umesahau mauaji baada ya uchaguzi wa 2007? Watu walichomwa kwenye kanisa?Angalia upendo wa Raia wote (naweza kusema hivyo, wote) wanaouonesha kwa Raila!
Nadhani una kitu cha kujifunza na pia kwa watanzania wote.
TENDA HAKI, HAKI, HAKI utapendwa na kuombewa na wenye heri ya Mungu ndani yao na kila mmoja!
Rais wangu historia yako umeiandikaje mpaka sasa?
Mkuu unafikiri yote mabaya yote anayosemwa Nyerere huwa kayafanya? Au mabaya yote anayosemwa kikwete unafikiri kayafanya? Mabaya anayosemwa magufuli unafikiri yote kayafanya?Juzi nimekuta hii story ina trend X kutoka kwa akaunti ya Tanzania Leaks.
Inasema Rais Samia kampiga pini Jaji Joseph Sinde Warioba nyumbani kwake, asiongee na waandishi wa habari.
Nikasema hawa watu wa familia ya Warioba nawajua muda mrefu, najua wengine hawapendi maongezi ya siasa, lakini hili ni jambo muhimu.
Nikamtafuta mtu mmoja wa ndani kabisa kwenye familia, nikamuuliza vipi hii habari?
Akasema hakuna kitu hapo, huu ni uzushi tu.
Jamani wanaharakati kama mnataka kumsema Samia ana mambo lukuki ya kweli ya kumsema, kumzushia uongo kunaondoa kuaminika kwenu tu.
View attachment 3490274
Mnahisi watu wanatania wanapoyalinda madaraka? Hiyo katiba bora ataitoa nani?Pia ajitahidi aache alama,kwa kutupatia KATIBA BORA
Chura.kixiwiAngalia upendo wa Raia wote (naweza kusema hivyo, wote) wanaouonesha kwa Raila!
Nadhani una kitu cha kujifunza na pia kwa watanzania wote.
TENDA HAKI, HAKI, HAKI utapendwa na kuombewa na wenye heri ya Mungu ndani yao na kila mmoja!
Rais wangu historia yako umeiandikaje mpaka sasa?