Rais Samia jifunze kitu kutokana na kifo cha Raila Odinga

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,141
Reaction score
96,171
Angalia upendo wa Raia wote (naweza kusema hivyo, wote) wanaouonesha kwa Raila!
Nadhani una kitu cha kujifunza na pia kwa watanzania wote.

TENDA HAKI, HAKI, HAKI utapendwa na kuombewa na wenye heri ya Mungu ndani yao na kila mmoja!

Rais wangu historia yako umeiandikaje mpaka sasa?
 
Samia sijui kwa nini kachagua njia mbaya kiasi hiki wakati alikuwa mwema tukamsifu anaupiga mwingi
 
Angalia upendo wa Raia wote ( naweza kusema hivyo, wote) wanaouonesha kwa Raila!
Nadhani una kitu cha kujifunza na pia kwa watanzania wote.

TENDA HAKI, HAKI, HAKI utapendwa na kuombewa na wenye heri ya Mungu ndani yao na kila mmoja!

Rais wangu historia yako umeiandikaje mpaka sasa?
Huyo jamaa kauza sana roho za genZ

Walipouwawa in 100s , akaja akahamia Kwa ruto

I’d rather die standing than live kneeling down
 
Angalia upendo wa Raia wote ( naweza kusema hivyo, wote) wanaouonesha kwa Raila!
Nadhani una kitu cha kujifunza na pia kwa watanzania wote.

TENDA HAKI, HAKI, HAKI utapendwa na kuombewa na wenye heri ya Mungu ndani yao na kila mmoja!

Rais wangu historia yako umeiandikaje mpaka sasa?
Kumbe ni Rais wako mpendwa! hahaahhaaa we inabidi utekwe haraka sana
 
Juzi nimekuta hii story ina trend X kutoka kwa akaunti ya Tanzania Leaks.

Inasema Rais Samia kampiga pini Jaji Joseph Sinde Warioba nyumbani kwake, asiongee na waandishi wa habari.

Nikasema hawa watu wa familia ya Warioba nawajua muda mrefu, najua wengine hawapendi maongezi ya siasa, lakini hili ni jambo muhimu.

Nikamtafuta mtu mmoja wa ndani kabisa kwenye familia, nikamuuliza vipi hii habari?

Akasema hakuna kitu hapo, huu ni uzushi tu.

Jamani wanaharakati kama mnataka kumsema Samia ana mambo lukuki ya kweli ya kumsema, kumzushia uongo kunaondoa kuaminika kwenu tu.

IMG-20251015-WA0002.jpg
 
Kumbe ni Rais wako mpendwa! hahaahhaaa we inabidi utekwe haraka sana
Amegundua kuwa ukisifia hutekwi kama Lema mwenyewe anamuomba raisi wetu mpendwa amuweke gerezani hadi baada ya uchaguzi 😆
Kila mmoja anataka kushuhudia harusi za watoto wake na wajukuu wake.
 
Juzi nimekuta hii story ina trend X kutoka kwa akaunti ya Tanzania Leaks.

Inasema Rais Samia kampiga pini Jaji Joseph Sinde Warioba nyumbani kwake, asiongee na waandishi wa habari.

Nikasema hawa watu wa familia ya Warioba nawajua muda mrefu, najua wengine hawapendi maongezi ya siasa, lakini hili ni jambo muhimu.

Nikamtafuta mtu mmoja wa ndani kabisa kwenye familia, nikamuuliza vipi hii habari?

Akasema hakuna kitu hapo, huu ni uzushi tu.

Jamani wanaharakati kama mnataka kumsema Samia ana mambo lukuki ya kweli ya kumsema, kumzushia uongo kunaondoa kuaminika kwenu tu.

View attachment 3490274
Ukiwa kiongozi kubali Kutupiwa kila Uchafu na inatakiwa hekima na busara ikutawale kwenye maamuzi yako bila kuwa na mihemko au hasira. Kwa tatiba yetu Rais yuko juu ya kila kitu. Tanzania itapata maendeleo siku ikipata katiba Mpya. Hata mimi ya BOT kuprint not nilikataa maana vibali vya kuprint noti sio rahisi ivyo
 
Back
Top Bottom