Kwani Zanzibar hawahitaji mtu mpole? arudi hukoNyie hamjui mnachotaka au msichokitaka mpo mpo tu. Magufuli mlimpigia kelele mkali, Samia mnapiga kelele mpole.
Dikteta yule.Chuma/Jiwe alikua na sauti ya mamlaka, akizungumza hadi sisimizi wanatii.
Usituingize kwenye bifu zako.Hatuna
Easy babu tengeneza limfalme kwenye ukoo wenu likitoa amri uwe unatetemeka na kuharisha papo hapo, usitake kutulazimisha tuwe na limungu mtu la nchi, maza anafaa na anatosha.Sisi tulishatoka huko kitambo.
Umebaki wewe tu guluguja unayebabaika na mizimu.
Huwa anakutokea usiku?
Unapata taabu Uchwara wewe.Ni mara kadhaa sasa nimekuwa nikimfuatilia huyu samia, nikagundua lugha yake ni nyepesi sana haina mamlaka ya mtu mwenye hadhi ya Rais au mtu "anayedhaniwa" kuwa Amiri Jeshi Mkuu.
Si zaidi ya mara moja nimemsikia akitoa lugha dhaifu kama vile "nadhani hili tutalifanyia kazi" , au "hili nalo nadhani tutaenda kulitizama".
Lugha za sampuli hii ni lugha zisizo na amri ya kuchagiza utekelezaji.
Ni aina ya lugha ambazo mara nyingi nimezisikia zikitumika kwenye 'Kitchen parties' na matamasha ya kina mama ya kuhamasishana.
Kwa mtu "anayejiita" au "anayedhaniwa" kuwa ni Amiri jeshi mkuu wa nchi, anatarajiwa kuwa na ulimi wenye mamlaka na unaotoa amri.
Vinginevyo tutaanza kusikia wale wapambe wanajiliza humu, oooh mama anahujumiwa, mara oohh mama karogwa!!!
Hakuna cha mama anahujumiwa, anajiroga mwenyewe kwa ulegevu wa lugha zake.
Yeye mwenyewe alisema hawezi kuongea, ati anatenda kwa kalamu!!
Yaap, mamlaka yake yangemsaidia basi asife kizembe namna ileChuma/Jiwe alikua na sauti ya mamlaka, akizungumza hadi sisimizi wanatii.
Msaliti hachekewi Hata jeshini!!!Unataka aseme hao watu wasaliti wa vita vya kiuchumi halafu watandikwe kama ilivyotokea kule kwa mtu fulani.
Kuna moja Jana alisema, huko Mbeya, ametoa agizo mara ya Tatu sasa jambo halijafanyika!Maendeleo yanakuja vipi kama huwezi kutoa amri zinazotekelezwa?
Rais sio karani wa vikoba..
Rais ni kiongozi wa nchi mwenye mamlaka ya KUAGIZA na KUAMRISHA. (at some point in time).
Amiri jeshi mkuu unabembelezana? nadhani hii, nadhani tuta... nadhani... nadhani!!!!!!!!!!!!! ???
Hata sekretari wa mahakama aliyeishia fom foo hawezi kuwa na lugha ya aina hii!
wasukuma mmezoea kufokeanaNi mara kadhaa sasa nimekuwa nikimfuatilia huyu samia, nikagundua lugha yake ni nyepesi sana haina mamlaka ya mtu mwenye hadhi ya Rais au mtu "anayedhaniwa" kuwa Amiri Jeshi Mkuu.
Si zaidi ya mara moja nimemsikia akitoa lugha dhaifu kama vile "nadhani hili tutalifanyia kazi" , au "hili nalo nadhani tutaenda kulitizama".
Lugha za sampuli hii ni lugha zisizo na amri ya kuchagiza utekelezaji.
Ni aina ya lugha ambazo mara nyingi nimezisikia zikitumika kwenye 'Kitchen parties' na matamasha ya kina mama ya kuhamasishana.
Kwa mtu "anayejiita" au "anayedhaniwa" kuwa ni Amiri jeshi mkuu wa nchi, anatarajiwa kuwa na ulimi wenye mamlaka na unaotoa amri.
Vinginevyo tutaanza kusikia wale wapambe wanajiliza humu, oooh mama anahujumiwa, mara oohh mama karogwa!!!
Hakuna cha mama anahujumiwa, anajiroga mwenyewe kwa ulegevu wa lugha zake.
Yeye mwenyewe alisema hawezi kuongea, ati anatenda kwa kalamu!!
kwa sasa mamlaka yake yapo kuzimuChuma/Jiwe alikua na sauti ya mamlaka, akizungumza hadi sisimizi wanatii.
Kuzimu ndio nini?Ulitaka lugha Za kupigana mieleka ? Mfuate Magufuli Uwe malaika wake Kuzimu
Kuzimu ndio nini?
Tanzania wanahitaji sio vitisho tu ni risasi kabisa ili walioko chini wajifunze jambo flani na sio kukimbilia siasa. Mwanasiasa akifanya ujinga ale shaba maana watu wamempa wadhifa na imani atekeleze jambo fulani. Hio ndio katiba inayotakiwa kuanzia sasa.Du kwa hiyo tumeshazoea lugha za ukali ndio maana tunatengeneza familia zilizojaa ukatili, PM wa NZ wadau tafuteni speech zake, hana tofauti kabisa with our president, nchi inahitaji maendeleo yanayoletwa na ari ya kujituma sio vitisho, binafsi my president so far so good, thanks