Kama ukali ndio utendaji Miaka 24 ya Nyerere angetuacha kana Ulaya magharibi
Chuma/Jiwe alikua na sauti ya mamlaka, akizungumza hadi sisimizi wanatii.
Chuma/Jiwe alikua na sauti ya mamlaka, akizungumza hadi sisimizi wanatii.
Sisi tulishatoka huko kitambo.Harudi yule jamani, keshaumaliza mwendo inabidi tujifunze kukubali matokeo.
Nchi imepoa na kutulia saivi
Hahahaaa...S Gang mnateseka sana.
SSH anachapa kazi sana,
Mawaziri wawili pekee wanamwangusha (Mwigulu na February)
Wachungaji na mashekhe wa siku hizi ni wakali sembuse yeye.....ajifunze humor humo mbele ya safari.amesema hajaumbwa kuwa mkali
Matendo yapi kwa mfano?action speaks louder than words matendo yake yana mbeba
Sijui kama huyu samia anawaelewa vizuri hawa watu![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbongo unamwambia kwa lugha ya kuombaaa utajua hujuii
Watazungumzia mambo ya Magufuli tena! Maana mpaka CAG mwenyewe ashakuwa chawa!Nasubiri report ya CAG mwakan kwa hamu
So many times anasubiri maamzi ya JK au Rostam AziziNi mara kadhaa sasa nimekuwa nikimfuatilia huyu samia, nikagundua lugha yake ni nyepesi sana haina mamlaka ya mtu mwenye hadhi ya Rais au mtu "anayedhaniwa" kuwa Amiri Jeshi Mkuu.
Si zaidi ya mara moja nimemsikia akitoa lugha dhaifu kama vile "nadhani hili tutalifanyia kazi" , au "hili nalo nadhani tutaenda kulitizama".
Lugha za sampuli hii ni lugha zisizo na amri ya kuchagiza utekelezaji.
Ni aina ya lugha ambazo mara nyingi nimezisikia zikitumika kwenye 'Kitchen parties' na matamasha ya kina mama ya kuhamasishana.
Kwa mtu "anayejiita" au "anayedhaniwa" kuwa ni Amiri jeshi mkuu wa nchi, anatarajiwa kuwa na ulimi wenye mamlaka na unaotoa amri.
Vinginevyo tutaanza kusikia wale wapambe wanajiliza humu, oooh mama anahujumiwa, mara oohh mama karogwa!!!
Hakuna cha mama anahujumiwa, anajiroga mwenyewe kwa ulegevu wa lugha zake.
Yeye mwenyewe alisema hawezi kuongea, ati anatenda kwa kalamu!!
Aondoke arudi kwao Zanzibar hatumtaki hukuAkiwakaripia na kuwashikia fimbo mtapiga kelele Mama wa Kizanzibari, Mama wa Kiarabu anawafanya watwana.