Rais Samia: Hili nalo nendeni mkalitizame

Rais Samia: Hili nalo nendeni mkalitizame

Kila binadamu kaumbwa tofauti. Unataka a force nature kwa kufoka wakati hakuumbwa hivyo? Na alishasema, akikwambia naomba mkafanye hivi...haimaanishi ni udhalili# Tuheshimu kila kiongozi na tabia zake za uongozi. 🙏🙏🙏
Kweli kabisa !!
 
Kila binadamu kaumbwa tofauti. Unataka a force nature kwa kufoka wakati hakuumbwa hivyo? Na alishasema, akikwambia naomba mkafanye hivi...haimaanishi ni udhalili# Tuheshimu kila kiongozi na tabia zake za uongozi. [emoji120][emoji120][emoji120]

Kama anaweza lugha za kwenye kanga, anashindwaje kuwa na lugha zenye mamlaka? Nani kamuambia Ikulu yetu inahitaji mtunzi wa nyimbo za taarab?
 
unataka Rais hawe anamwaga matusi Kama yule mwehu wenu, Samia ana hekima
Sio kwamba atukane ila asimuonee haya mbadhirifu yeyote yule !! Nyerere alikuwa akiwaambia chezea mshahara wako! Ukichezea kazi niliyokupa ntakufukuza !!
 
Sio kwamba atukane ila asimuonee haya mbadhirifu yeyote yule !! Nyerere alikuwa akiwaambia chezea mshahara wako! Ukichezea kazi niliyokupa ntakufukuza !!
kila mtu na stahili yake ya uongozi, hawezi kubwatabwata Kama chizi
 
Hekima gani kucheka na kima kama nyie atavuna mabua.
Nani asiyejua mnaompamba hapa ndio mijizi iliyotapakaa kila kona.
Nawewe tafuta hiyo fursa uibe Kama unahisi Ni simple sanaaa,

Elimu huna,ujuzi huna, connection huna,
 
Rais anatakiwa atoe maelekezo ya kiutendaji yanayohitaji utekelezaji , wala sio kuombana na kubembelezana!.

NB: nikukumbushe kuwa ni "Rais" na sio "Raisi"
Rais ni kiarabu,Raisi ni kiswahili,mimi ni mswahili wa Zanzibar....kiswahili ndio lugha yangu,sizungumzi lugha nyengine

Habar=kiarabu,Habari=kiswahili
Tafadhal=kiarabu,Tafadhali=Kiswahili
Hatar=Kiarabu,Hatari=Kiswahili
Sukar=Kiarabu,Sukari=?
Nafikiri umesoma kitu hapo!!

Nyie ndio mnaoandika vita ya pili ya dunia badala
kuandika vita vya pili vya dunia

Viti nane badala ya kusema viti vinane

Hebu tunga sentensi kwa kutumia neno tupu..

Mmezoea kuburuzwa,mmempata muungwana,mtu mwenye busara hamumfahamu....
 
Pia tujifunze kuishi na nyakati labda pia na aina ya kiongozi aliyekuwepo.

Rais wa awamu ya pili alisema ombi la mkubwa ni amri. Unaafiki au huafiki?

Sina hakika, lakini nasikia Chifu Mkwawa alikuwa anatoa amri kwa kunong'ona. Wasaidizi walitumika kama kipaza sauti. Na utekelezaji ulikuwa wa viwango.

Upande mwingine kufokafoka ni kujiongezea masonono tu na kuharibu afya.

Mtu akikushikia mtutu au panga na kuelekeza kwako bila kufoka huamini kuwa utadhurika? Utapuuza?

Mvumo na mapigo ya sauti ya kiongozi wetu si kitu cha kusumbua. Suala ni kuwa upo utii na utekelezaji?
 
Nawewe tafuta hiyo fursa uibe Kama unahisi Ni simple sanaaa,

Elimu huna,ujuzi huna, connection huna,
Pole sana,sina haja ya kuajiriwa kusubiri mshahara na kuiba nilipita siku nyingi.
Ww nakuajiri na kukulisha ukalishe matako tu na kukuna pumbu za mzee.
 
Kama anaweza lugha za kwenye kanga, anashindwaje kuwa na lugha zenye mamlaka? Nani kamuambia Ikulu yetu inahitaji mtunzi wa nyimbo za taarab?
Kakaa! Hebu wacha hizi lugha zako kwa Rais wa nchi. Tafadhali sana. Jenga hoja kwa staha.🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom