MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 7,986
- 6,250
Kwani wale wanachama wa upinzani waliouwawa bure, kutekwa au wanaobambikiwa na polisi kesi za uongo za uhujumu uchumi, ugaidi wao si watanzania? sio ndugu zetu? hawana mioyo, au hawana damu?? Au ndo mkuki kwa nguruwe....?Ni mawazo yako ya kijinga tu
Ila huwezi kufurahi polisi kuuliwa/
Polisi ni mtanzania mwenzako anaweza kuwa baba ako,binamu,mjomba au hata rafiki yako.
Jaribu kuwa na akili japo ndogo yakufikiria police hawatoki nje ya tanzania ni hawa hawa ndugu Zetu