Rais Samia atoa pole kufuatia mauaji Daraja la Salender, ataka uchunguzi ufanyike

..kwenye tukio lile Polisi / Jamhuri ndio wenye wajibu na mamlaka ya kutuhumu mahakamani.

..Polisi wanatakiwa wamkamate aliyeondoa ulinzi na wengine alioshirikiana nao kuwezesha tukio lile la ugaidi.

..Lissu ataitwa mahakamani kama mhanga wa tukio na shahidi wa serikali / jamhuri ktk shauri husika.
Nani aliondoa ulinzi? Nani anatuhumu ulinzi kuondolewa?
 
..aliyeshambuliwa ndio amesema walinzi hawakuwepo.

..kwa hiyo polisi wanatakiwa kuwahoji waliokuwa na majukumu ya kuweka ulinzi eneo la tukio.

..polisi, au jamhuri, watakapokuwa wanajenga kesi mahakamani, watamtumia Lissu kama shahidi dhidi ya aliyeondoa walinzi, aliyemtuma kuondoa walinzi, pamoja na washambuliaji.

..Lissu, kama victim wa tukio, ndiye shahidi muhimu, na anayeaminika kuliko wote, ikiwa suala lake litafika mahakamani.
 
Victim aache longo longo arudi kuandika maelezo na kusaidia upelelezi
 
..victim wa tukio la kigaidi kama lile ni lazima apewe ulinzi ili aweze kujitokeza kutoa ushahidi wakati wa uchunguzi, na wakati shauri liko mahakamani.

..sio jambo la kawaida, na inashangaza, Polisi kukataa kumhakikishia ulinzi shahidi muhimu kama Tundu Lissu. Hali hiyo inajenga hisia kwamba Polisi hawataki kuchunguza, au kuna nguvu kubwa inawashinikiza wasichunguze.
 
Nchi iko salama arudi tu
 
..nchi iko salama hilo halina ubishi.

..Lissu hayuko salama hilo halina ubishi pia.

..angekuwa salama asingeshambuliwa kinyama namna ile.
Alikuja akafanya kampeni za urais akaondik kurudi ambako sasa amezoea kuishi😁😁😁😁
 
..Polisi walimkamata Lissu baada ya kampeni sasa walishindwa nini kumhoji?

..jeshi la polisi wanapendelea Lissu akae nje maana akiwa hapa nchini watakosa kisingizio cha kutochunguza.
 
R.I.P Hamza umeonyesha ulimwengu wakaa mabanda ya mabati wepesi Kama pamba ungekuwa na "wanao" watatu tu ungewauwa mafala wote ..RESPECT
 
Back
Top Bottom