Rais Samia ataziweza 'fitina za Watanganyika'?

Umeandika upuuzi wa ajabu sana, tatizo la inferiority complex linawatesa sana, Magufuli atafanywa na nani kuwa mtakatifu? hivi mkiwa mnaandika huu upuuzi wenu huwa mnajipa muda kidogo wa kufikiri au mnakurupuka tu? unadhani mtu kuitwa mtakatifu ni suala la kuamka asubuhi na kumpachika hilo jina? huo ni mchakato ambao hata hivyo kwa Magufuli sijawahi kusikia kama upo zaidi ya kelele za mtaani tu ulizoandika hapa.

TEC hawajawahi kusema wanaanzisha huo mchakato, kama una ushahidi weka hapa, kwa haya mawazo yako hutaki Rais akosolewe hata akikosea, kwani wakifanya hivyo utasema wanamu-attack kwasababu ya dini yake, mambo ya imani unayachanganya na siasa kwa maneno ya kuokoteza mtaani, very small mind, halafu wanakuita great thinker!
mbona Nyerere hawajawahi kumkosea wala Mkapa wala Mugufuli
 
Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao..

Rais Mwinyi alikuwa 'victim' 'mkubwa Sana wa makundi haya. Ilifikia wakati alikuwa anaona kama mda wa kumaliza urais unachelewa. Rais akiwa mpole na muungwana na mstaarabu kama walivyo Wazanzibari wengi anaweza kujikuta anachezeshwa ngoma na asijue nani mpigaji wa ngoma hiyo.

Yafuatayo ni makundi ya fitina hatari mno kwa Rais yeyote anapaswa kuyajua na kujua namna ya ku-deal nao:

1. Viongozi wastaafu

Hapa Mama Samia ana changamoto kubwa. Hata kama ana support ya Kikwete bado kuna Kina Mzee Warioba
Mzee Butiku Lowassa .Sumaye ..mizengo Pinda n.k. Hawa Wana makundi Yao na watoto wao. Na wana maslahi yao.

2. Team JPM
Hawa wanajulikana. Advantage ni kuwa ushawishi wao utazidi kupungua lakini wana pose threat bado, hasa kama wataunganisha nguvu na makundi mengine.

3. Maaskofu na Baraza la Maaskofu
Hawa Wana uchungu. Mtoto wao hakumaliza miaka 10 na inafahamika alivyowadekeza Samia ategemee waraka na matamko. Sasa wanaona haya tu kum-attack waziwazi Kwa sababu ya ukimya waliompa mtoto wao ambae sitashangaa wakimtangaza 'Mtakatifu'

4. Wana CCM before JPM
Hawa ni wale waliozoea ule msemo CCM ina wenyewe. Hawa hasa hasa wanataka tu 'nafasi za kula' baada ya JPM kuwaweka pembeni mda mrefu.

5. Wanasiasa wa upinzani hasa wale wanafiki
Hapa kuna wanasiasa aina zote. Wenye maslahi yao binafsi hadi wale wa kutumika na makundi mengine hapo juu
Usishangae kuona mwanasiasa wa upinzani akibeba ajenda za Lowasa au Sumaye kuzipigania.

6. Asasi za kiraia (NGOs)
Hapa napo kuna watumikiao makundi mengine hapo juu. Kuna wanaotumikia taasisi za dini zao au hata taasisi za nje na kibano cha JPM ndo kitawafanya now waamke Kwa nguvu kufidia hasara za miaka ya JPM. Wengine ni matumbo yao tu ndo wanahangaikia.

7. Wasiotaka Muungano
Hawa Kwa upande wa Zanzibar watakuwa kimyaa..now wataamka WA upande wa Tanganyika. Rais Mwinyi alikumbana na G-55, nusura wamgeuze Gorbachev. Ili mradi Rais ni mzanzibari sasa utasikia kelele zao na fitina zao.

8. Wenye ndoto za Urais
Hili kundi nalo limepigika vibaya. Litajitahidi mno kuchafuana na hata kumchafua Rais, mradi waweke mazingira
ya wao kuja kuchukua kiti.

9. Makahaba wa siasa
Siku hizi hili kundi linazidi kukua hawana agenda maalum. Wao popote upepo unapoelekea wapo. Kimbelembele ndo sifa yao.

10. Wabunge wenye 'mabwana wengine' wa kuwatumikia.
Hawa wanafahamika. Mama kazi anayo.

12. Waandishi wa habari walionunuliwa
Katika hayo makundi baadhi yana waandishi wao na vyombo vyao vya habari.

13. 'Manipulated crowds'
Hayo makundi baadhi hufanikiwa kuzalisha makundi ya watu wengi kusemea agenda zao. Kupitia media
au matamasha ya kiimani. Tegemea migomo, maandamano na makelele ya kila aina baada ya mda mfupi tu hata mwaka usipite.
Uzuri anasoma haya yote na kukonsaltu sana watu mbalimbali,najua atawashangaza wengi sana
 
mbona Nyerere hawajawahi kumkosea wala Mkapa wala Mugufuli
Binafsi nilikuwa mdogo wakati wa tawala za Nyerere, Mwinyi na Mkapa.

Sijawahi kukutana na documrnt yoyote ya TEC wakimkosoa Rais mstaafu. Kama ipo, kindly share.

Na kama kuna Rais aliyeko madarakani ambaye hawakuwahi kumkosoa pia, share!
 
Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao..

Rais Mwinyi alikuwa 'victim' 'mkubwa Sana wa makundi haya. Ilifikia wakati alikuwa anaona kama mda wa kumaliza urais unachelewa. Rais akiwa mpole na muungwana na mstaarabu kama walivyo Wazanzibari wengi anaweza kujikuta anachezeshwa ngoma na asijue nani mpigaji wa ngoma hiyo.

Yafuatayo ni makundi ya fitina hatari mno kwa Rais yeyote anapaswa kuyajua na kujua namna ya ku-deal nao:

1. Viongozi wastaafu

Hapa Mama Samia ana changamoto kubwa. Hata kama ana support ya Kikwete bado kuna Kina Mzee Warioba
Mzee Butiku Lowassa .Sumaye ..mizengo Pinda n.k. Hawa Wana makundi Yao na watoto wao. Na wana maslahi yao.

2. Team JPM
Hawa wanajulikana. Advantage ni kuwa ushawishi wao utazidi kupungua lakini wana pose threat bado, hasa kama wataunganisha nguvu na makundi mengine.

3. Maaskofu na Baraza la Maaskofu
Hawa Wana uchungu. Mtoto wao hakumaliza miaka 10 na inafahamika alivyowadekeza Samia ategemee waraka na matamko. Sasa wanaona haya tu kum-attack waziwazi Kwa sababu ya ukimya waliompa mtoto wao ambae sitashangaa wakimtangaza 'Mtakatifu'

4. Wana CCM before JPM
Hawa ni wale waliozoea ule msemo CCM ina wenyewe. Hawa hasa hasa wanataka tu 'nafasi za kula' baada ya JPM kuwaweka pembeni mda mrefu.

5. Wanasiasa wa upinzani hasa wale wanafiki
Hapa kuna wanasiasa aina zote. Wenye maslahi yao binafsi hadi wale wa kutumika na makundi mengine hapo juu
Usishangae kuona mwanasiasa wa upinzani akibeba ajenda za Lowasa au Sumaye kuzipigania.

6. Asasi za kiraia (NGOs)
Hapa napo kuna watumikiao makundi mengine hapo juu. Kuna wanaotumikia taasisi za dini zao au hata taasisi za nje na kibano cha JPM ndo kitawafanya now waamke Kwa nguvu kufidia hasara za miaka ya JPM. Wengine ni matumbo yao tu ndo wanahangaikia.

7. Wasiotaka Muungano
Hawa Kwa upande wa Zanzibar watakuwa kimyaa..now wataamka WA upande wa Tanganyika. Rais Mwinyi alikumbana na G-55, nusura wamgeuze Gorbachev. Ili mradi Rais ni mzanzibari sasa utasikia kelele zao na fitina zao.

8. Wenye ndoto za Urais
Hili kundi nalo limepigika vibaya. Litajitahidi mno kuchafuana na hata kumchafua Rais, mradi waweke mazingira
ya wao kuja kuchukua kiti.

9. Makahaba wa siasa
Siku hizi hili kundi linazidi kukua hawana agenda maalum. Wao popote upepo unapoelekea wapo. Kimbelembele ndo sifa yao.

10. Wabunge wenye 'mabwana wengine' wa kuwatumikia.
Hawa wanafahamika. Mama kazi anayo.

12. Waandishi wa habari walionunuliwa
Katika hayo makundi baadhi yana waandishi wao na vyombo vyao vya habari.

13. 'Manipulated crowds'
Hayo makundi baadhi hufanikiwa kuzalisha makundi ya watu wengi kusemea agenda zao. Kupitia media
au matamasha ya kiimani. Tegemea migomo, maandamano na makelele ya kila aina baada ya mda mfupi tu hata mwaka usipite.

Naona umewataja maaskofu mbona umewasahau BAKWATA? Hawa walikuwa na nguvu sana enzi za mwendazake [ aliwajengea misikiti mikubwa Dar. na Dodoma] na hata siku hizi wanataka kuendeleza influence yao na ndio maana wanamdai RAIS mpaka TENDE!!

Hao wazee wastaafu wengi wao hawana influence sana kwani wamechoka wanakula pension zao kimya kimya; na watu kama Butiku wanapiga piga kelele kupitia Mwalimu's foundation kama mbinu za kuganga njaa tu!!!!

Salama ya SSH ni kuwa beneti na vigogo imara wa ccm hasa mzee wa mafaili kwani yule hana makundi hivyo atampa ushauri utakao mpatia usingizi!!! Makundi yote akiwemo Kikwete wanataka mzee yule aondoke ili iwe rahisi kuwa na total control ya mama!!! Mama usikubali yule mzee aondoke haraka haraka ngoja ukomae kidogo na uenyekiti kwani hata Hussein nae bado bado kwenye Uongozi wa chama!!!
 
1.polepele
2.Gwajima
3.mwingira
4.mzee wa Upako

Naona fitna team inazidi ongezeka
 
Mna hofu isiyo na msingi.

Nguvu ya nchi ni Rais ( Jeshi + Hazina )

Ukiona Rais amekuwa mstaarabu ujue ni maamuzi yake. Usifikiri Kikwete au Mkapa hawakuwa na uwezo wa kusema chukua bunduki kammalize Lissu au poreni chaguzi zote!!

Tatizo lenu mnataka Samia na yeye awe Magufuli No. 2 wakati Magu was a total mess.

Hao Team MAGU hawana mizizi, nguvu yao ilikuwa ni Dola na haipo tena. Wengi wao hata siasa za CCM majimboni hawataziweza.

Halafu unaposema eti maaskofu watamfanyia figisu, ni lini maaskofu walishawahi kunyamaza. Hukuwahi kuona mfulululizo wa nyaraka na ukosoaji mkubwa kutoka kwa maaskofu. Au wewe unadhani Askofu mkuu wa Jimbo DSM ndio maaskofu wote, au wakristo wote ukiachana na wachache. Hivi kuna watu walitulia tuli kama waislamu enzi za kwa Magu?

Tena hadi Makonda, maana kawahonga mnoo pesa.

Hao waliokuwa wananyenyekea Magu haikuwa sababu ya Ukatoliki wake baki nguvu ya mamlaka yake.

Kina warioba mnawaonea tu maana mtu kama Warioba sijawahi kuona akifanya figisu yoyote.

Ninachokiona labda mnatafuta defensive mechanism, akiboronga ionekane anafanyiwa figisu kwasababu ya Uzanzibar wake, Dini au mwanamke.

Kwasasa ngoja apange timu yake amalize ili asimlaumu mtu yeyote.

Urais hauko hivyo, kwamba unyamazishe kila mtu na akubali kunyamaza tuliii. Noooo.

Kama unajijua kuwa hupendwi kusemwa, kukosolewa, wala kuambiwa chochote ni bora usiwe Rais maana siyo lazima.

Watu wataongea tu hata nje ya nchi.
Wanataka watu wakae kimya kabisa mtu yeyote yule asiongee jambo lolote.

Hiyo haiwezi tokea, binadamu lazima atazungumza tu.

Huwezi nyamazisha nchi nzima.
 
Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao..

Rais Mwinyi alikuwa 'victim' 'mkubwa Sana wa makundi haya. Ilifikia wakati alikuwa anaona kama mda wa kumaliza urais unachelewa. Rais akiwa mpole na muungwana na mstaarabu kama walivyo Wazanzibari wengi anaweza kujikuta anachezeshwa ngoma na asijue nani mpigaji wa ngoma hiyo.

Yafuatayo ni makundi ya fitina hatari mno kwa Rais yeyote anapaswa kuyajua na kujua namna ya ku-deal nao:

1. Viongozi wastaafu

Hapa Mama Samia ana changamoto kubwa. Hata kama ana support ya Kikwete bado kuna Kina Mzee Warioba
Mzee Butiku Lowassa .Sumaye ..mizengo Pinda n.k. Hawa Wana makundi Yao na watoto wao. Na wana maslahi yao.

2. Team JPM
Hawa wanajulikana. Advantage ni kuwa ushawishi wao utazidi kupungua lakini wana pose threat bado, hasa kama wataunganisha nguvu na makundi mengine.

3. Maaskofu na Baraza la Maaskofu
Hawa Wana uchungu. Mtoto wao hakumaliza miaka 10 na inafahamika alivyowadekeza Samia ategemee waraka na matamko. Sasa wanaona haya tu kum-attack waziwazi Kwa sababu ya ukimya waliompa mtoto wao ambae sitashangaa wakimtangaza 'Mtakatifu'

4. Wana CCM before JPM
Hawa ni wale waliozoea ule msemo CCM ina wenyewe. Hawa hasa hasa wanataka tu 'nafasi za kula' baada ya JPM kuwaweka pembeni mda mrefu.

5. Wanasiasa wa upinzani hasa wale wanafiki
Hapa kuna wanasiasa aina zote. Wenye maslahi yao binafsi hadi wale wa kutumika na makundi mengine hapo juu
Usishangae kuona mwanasiasa wa upinzani akibeba ajenda za Lowasa au Sumaye kuzipigania.

6. Asasi za kiraia (NGOs)
Hapa napo kuna watumikiao makundi mengine hapo juu. Kuna wanaotumikia taasisi za dini zao au hata taasisi za nje na kibano cha JPM ndo kitawafanya now waamke Kwa nguvu kufidia hasara za miaka ya JPM. Wengine ni matumbo yao tu ndo wanahangaikia.

7. Wasiotaka Muungano
Hawa Kwa upande wa Zanzibar watakuwa kimyaa..now wataamka WA upande wa Tanganyika. Rais Mwinyi alikumbana na G-55, nusura wamgeuze Gorbachev. Ili mradi Rais ni mzanzibari sasa utasikia kelele zao na fitina zao.

8. Wenye ndoto za Urais
Hili kundi nalo limepigika vibaya. Litajitahidi mno kuchafuana na hata kumchafua Rais, mradi waweke mazingira
ya wao kuja kuchukua kiti.

9. Makahaba wa siasa
Siku hizi hili kundi linazidi kukua hawana agenda maalum. Wao popote upepo unapoelekea wapo. Kimbelembele ndo sifa yao.

10. Wabunge wenye 'mabwana wengine' wa kuwatumikia.
Hawa wanafahamika. Mama kazi anayo.

12. Waandishi wa habari walionunuliwa
Katika hayo makundi baadhi yana waandishi wao na vyombo vyao vya habari.

13. 'Manipulated crowds'
Hayo makundi baadhi hufanikiwa kuzalisha makundi ya watu wengi kusemea agenda zao. Kupitia media
au matamasha ya kiimani. Tegemea migomo, maandamano na makelele ya kila aina baada ya mda mfupi tu hata mwaka usipite.
Ulinena kweli mkuu.Majungu huku Bara ni sehemu ya maisha ila anabidi akomae
 
Aiseeee . . .😗🙌🙌🙌🙌👍👍👍👍
 
Mungu ampe ujasiri katika utekelezaji wa majukumu yake kama ujasiri alio uonyesha kwenye tozo na kauli za spika japo tunashukuru kaomba radhi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom