Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,189
- 6,139
Kweli kabisaHata ukiondoa makundi, huyu mama haiwezi hii inchi.
Kweli kabisaHata ukiondoa makundi, huyu mama haiwezi hii inchi.
Huna akili. Your fellow sadist is gone. COVID-19, has been a blessing in disguise.Asipokuwa Magufuli part 2 she will be total mess and mess three times kwa sababu hata kiutendaji anaonekana hana uwezo and she is weak ukijumlisha na hizo figisu na hana msimamo ndio atakuwa worst president ever
Usisahau vilevile atuhumiwe kwa kuwatelekeza wapiga kura wake,kwa kuzunguka nchi za nje kuitangaza vibaya nchi yake,Kutukana matusi serikali,Kusingizia swala lake binafsi lililopelekea kupigwa risasi baada ya kutapeli kuwa ishu ya kisiasa na mengineyo afikishwe kwenye vyombo vya dola na achukuliwe hatua kaliLissu aombwe arejee nchini aendelee na maisha kama zamani.Alipwe pesa za matibabu,marupurupu na mishahara yake alizozulumiwa na Ndugai.
Alipwe fidia kwa usumbufu uliojitokeza.
Kesi ya kushambuliwa kwake ifutwe kwakuwa mhusika mkuu ameshatangulia kwenye hukumu,washirika wake wasamehewe bure.
Hapo Tundu Lissu atakuwa wa msaada sana eneo atakalo tumika.
Kweli kabisa... vinginevyo tutaishia kupiga soga na siasa tu na maendeleo tutasikia kwenye bomba! Ona jinsi alivyoipeleka Tanzania uchumi wa kati haraka sana ndani ya miaka mitano tu! Je angetimiza kumi yote? Kipaumbele cha nchi kwa sasa ni maendeleo hakuna uhuru wa kweli kwenye umasikini!Tanzania inahitaji raisi mkali mwenye maaamuzi ya haraka dizaoni ya akina magufuri hivi lakini ukiwa mpole sana utapata shida sana .....uwe
Kipaumbele cha taifa kwa sasa ni kujikwamua kiuchumi na sio demokrasia.Hakuna demokrasia na uhuru wa kweli kwenye umasikini.Ili Taifa liwe salama lazima tujikwamue kiuchumi kwanza!Ni lazima tukubali kuwa ili Taifa letu liwe salama kiroho na kimwili ni lazima tuelekee kwenye demokrasia ya kweli kulingana na Desturi zetu.
Hakuna nchi ya kidemokrasia duniani inayoweza kubaki na kiongozi wa aina na mfumo mmoja tuuu. No ,lazima panakua na mabadiliko na mabadiliko hayawezi kumfurahisha kila mtu.
Nchi hii ina watu wa makabila 128 , dini tofauti na mila tofauti.
Sasa mfumo wa kihutu na kitusi uliokua unataka kuenezwa Tanzania kwa nguvu kubwa haungefaa kabisa.
Makundi yatakuwepo lakini yatamalizwa na katiba mpya yenye misingi ya uadilifu.
Uadilifu ulipewa kipaombele waovu watajiondoa wenyewe.
Rais aweze kushitakiwa akiharibu na kufungwa na hata mali zake kutaifishwa itawafanya waovu wengi kuikwepa ikulu.
Kwa sasa kila tauzi ni dili mana wanalindwa na mteuzi na sio uadilifu. Kuna waliokuwa na vyeti feki lakini wakapewa ofisi na kujitajirisha na sasa ni mabilionea wanaota uraisi kupitua makundi ya kikabila.
Magufuli failed? How?Nyerere alifeli,mwinyi aliiweza na nyinyi ni mashahid,
Mkapa kidogo alijitahid,but kikwete was better than him na nyinyi mnajua,
Magufuli failed,he totally failed na nyinyi mnajua hilo,
So,muachen mama samia afanye kazi,tulizeni mishono
Muongo mwenyewe!Acha uongo nani kakudanganya kuwa hahangaiki nao? Miluzi mingi anageuka huku na huko! Juzi tu kasema mwenyewe huko mitandaoni kasumbuliwa kuhusu vifurushi... sasa jiulize huko mitandaoni kuna mambo mangapi? Je atasikiliza mangapi na kuacha mangapi? Kwa hiyo anaongozwa kwa mitandao ya kijamii?.JPM hakuwa mjinga kufocus katika maendeleo na kupuuza maneno maneno sanasana ya wapinzani ndio maana akawa best president na akaacha legacy za heshima.Sasa ngoja tuendelee kula mtori tusubiri nyama chini...
Asipokuwa Magufuli part 2 she will be total mess and mess three times kwa sababu hata kiutendaji anaonekana hana uwezo and she is weak ukijumlisha na hizo figisu na hana msimamo ndio atakuwa worst president ever
Magufuli failed? How?
Nawasubiria kwa hamu kundi no 3 la viongozi wa kanisa,safari hii wakileta unafiki wao tutakufa nao. Kipindi cha JK ilikuwa kila siku wanakuja na waraka. Lakin huyu dikteta uchwara Magu kwasababu amesoma kwenye seminary zao ametesa,ameteka,ameua,amepora,amefilisi.. amefanya kila aina ya ufedhuli na kuinajisi nchi, hakuna hata siku moja wamekuja na waraka. TUNAWASUBIRI KWA HAMU TUWAUMBUE.
Watanganyika tatizo lenu ni wizi, unafiki na ujanja usio na maana.
Wewe bado uko hai?Good stuff.
Thanks for this.
P
Na hawana aibu wale,ole wao waje na miwaraka yao isiyo na mbele wala nyuma
Mama ilitakiwa awapige chini wateuliwa wote wa marehemu JPM warudi kwao wakafanye kazi zingine mfano Bashiru, Dotto James, n.k.Badala ya kupambana kupata fursa za kiuchumi wao wanapambana wapate madaraka ili waishi kama wafalme.
Watanganyika ni wapigaji sana. Mama akae nao kwa akili.
Mama ilitakiwa awapige chini wateuliwa wote wa marehemu JPM warudi kwao wakafanye kazi zingine mfano Bashiru, Dotto James, n.k.
Mama ilitakiwa awapige chini wateuliwa wote wa marehemu JPM warudi kwao wakafanye kazi zingine mfano Bashiru, Dotto James, n.k.
Tunachotaka viongozi wenye maadili hata kama watakuwa Muslims or whatever. Ila hawa waliokuwa wateule wa Jiwe ni zaidi ya majizi na watu wenye roho mbaya.Wameandaa fitna kuwa akiwapiga chini eti anasimamia kwenye udini,yaani mama aache kupanga safi ya kufanya nayo kazi aogope kuitwa mdini?
Watu wa hovyo sana,mama apige chini tuh tusonge mbele,meko alitugawa sanaa
Kwanini hamkuandamana wakati wa JPM?Kwanza wanafunzi na walionufaika na bodi ya mikopo HESLB soon tunaliamsha! Lazima tuandamane
Try to thnk outside the boxMna hofu isiyo na msingi.
Nguvu ya nchi ni Rais ( Jeshi + Hazina )
Ukiona Rais amekuwa mstaarabu ujue ni maamuzi yake. Usifikiri Kikwete au Mkapa hawakuwa na uwezo wa kusema chukua bunduki kammalize Lissu au poreni chaguzi zote!!
Tatizo lenu mnataka Samia na yeye awe Magufuli No. 2 wakati Magu was a total mess.
Hao Team MAGU hawana mizizi, nguvu yao ilikuwa ni Dola na haipo tena. Wengi wao hata siasa za CCM majimboni hawataziweza.
Halafu unaposema eti maaskofu watamfanyia figisu, ni lini maaskofu walishawahi kunyamaza. Hukuwahi kuona mfulululizo wa nyaraka na ukosoaji mkubwa kutoka kwa maaskofu. Au wewe unadhani Askofu mkuu wa Jimbo DSM ndio maaskofu wote, au wakristo wote ukiachana na wachache. Hivi kuna watu walitulia tuli kama waislamu enzi za kwa Magu?
Tena hadi Makonda, maana kawahonga mnoo pesa.
Hao waliokuwa wananyenyekea Magu haikuwa sababu ya Ukatoliki wake baki nguvu ya mamlaka yake.
Kina warioba mnawaonea tu maana mtu kama Warioba sijawahi kuona akifanya figisu yoyote.
Ninachokiona labda mnatafuta defensive mechanism, akiboronga ionekane anafanyiwa figisu kwasababu ya Uzanzibar wake, Dini au mwanamke.
Kwasasa ngoja apange timu yake amalize ili asimlaumu mtu yeyote.
Urais hauko hivyo, kwamba unyamazishe kila mtu na akubali kunyamaza tuliii. Noooo.
Kama unajijua kuwa hupendwi kusemwa, kukosolewa, wala kuambiwa chochote ni bora usiwe Rais maana siyo lazima.
Watu wataongea tu hata nje ya nchi.
Figisu pekee unayoweza kumfanyia Rais ni either kusababisha uasi Jeshini au kuhamasisha watu wasilipe kodi.Try to thnk outside the box