Rais Samia ataziweza 'fitina za Watanganyika'?

Wameandaa fitna kuwa akiwapiga chini eti anasimamia kwenye udini,yaani mama aache kupanga safu ya kufanya nayo kazi aogope kuitwa mdini?

Watu wa hovyo sana,mama apige chini tuh tusonge mbele,meko alitugawa sanaa
Kitu pekee nilichopendea utawala wa Magu ni kuwaondoa magaidi kama wewe jf na pili kupambana na magaidi wa MKIRU kwa ufanisi mkubwa.
Naona mnaanza tena kuleta uharo wenu wa ugaidi humu ndani
 
Pole Sana,yeye kaondoka sisi tumebakia mungu mkubwa Sana ndug yangu,

Yeye kila aliempinga alimwona ni adui,sisi hatukutaka kumsumbua that's why hujawahi kutuskia tukimsema magu fool KWA udini pamoja na yote ya udini aliyafanya,tulimwacha afanye awamu yake,

Tumerudi KWA kuwa tunaona mama SAMIA Hana hata miez miwili jamaa zako wameshaanza kumwangalia KWA jicho la udini kila anapotaka kufanya uteuzi, that's tunauliza shida nini??

Kama wanataka kuleta michezo hiyo ya udini,basii wenye ujuz wa kuucheza michezo hiyo tupoo,hatujafa kama alivyokufa Pombe,and we are very ready to address the haters...!!we have got a bunch of envelopes here...bring it on..!!
 
Na magu fool,hakutuchukia magaid kama sisi tuh,hata waandishi wa habar ambao ni wakristo wenzake kama azory,na wengineo aliwapoteza,

Umesahau hadi maxence melo wa JF alimfunga mahabusu KWA kuwa tuh JF ilikuwa mwiba kwake KWA watu kusimama na kuongea openly??

Kama inauma Sana,ongea na Gwajima wa kabisa la ufufuo na uzima akamfufue aje aendeleze ubabe wake,go Bring him back to life...!!
 
Wameandaa fitna kuwa akiwapiga chini eti anasimamia kwenye udini,yaani mama aache kupanga safu ya kufanya nayo kazi aogope kuitwa mdini?

Watu wa hovyo sana,mama apige chini tuh tusonge mbele,meko alitugawa sanaa

Tuache kumuwekea mama maneno mdomoni. Mbona anafanya mabadiliko?
Tunajua watanzania wanachukia nini? Wizi wa mali zao unaofanywa na watu wachache. Kwa ujanja wanaanza kutumia vigezo kama chuki ya dini, au kabila au elimu mara nyingine.
Binafsi siamini katika hayo. Naamini katika uadilifu na kuwatumikia watu kwa haki.
Mapambano makubwa sasa hivi ni ya watu wachache ambao wanataka kupata nafasi za juu za utumishi ili wajineemeshe wao na watu walio nao.
Na pressure kubwa sana iko katika namna ya kupata madaraka ili wajineemeshe na fursa. Udini na haya mengine ni sanaa na viini macho
 
Pole Sana,yeye kaondoka sisi tumebakia mungu mkubwa Sana ndug yangu,

Yeye kila aliempinga alimwona ni adui,sisi hatukutaka kumsumbua that's why hujawahi kutuskia tukimsema magu fool KWA udini pamoja na yote ya udini aliyafanya,tulimwacha afanye awamu yake,

Tumerudi KWA kuwa tunaona mama SAMIA Hana hata miez miwili jamaa zako wameshaanza kumwangalia KWA jicho la udini kila anapotaka kufanya uteuzi, that's tunauliza shida nini??

Kama wanataka kuleta michezo hiyo ya udini,basii wenye ujuz wa kuucheza michezo hiyo tupoo,hatujafa kama alivyokufa Pombe,and we are very ready to address the haters...!!we have got a bunch of envelopes here...bring it on..!!

Nani anayemuangalia mama kwa jicho la udini? Why people don't have confidence?
Tanzania hii utaongoza bila kushikama na uwepowa dini zote?
I thought tumuache mama afanye kazi yake. Watu wenye inferiority complex ndio wanaosukumwa na haya mambo ya kila position iangalie dini. Hata kama mtu hafai lazima dini zibalance. What a joke!!!!
 
Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao..

Rais Mwinyi alikuwa 'victim' 'mkubwa Sana wa makundi haya. Ilifikia wakati alikuwa anaona kama mda wa kumaliza urais unachelewa. Rais akiwa mpole na muungwana na mstaarabu kama walivyo Wazanzibari wengi anaweza kujikuta anachezeshwa ngoma na asijue nani mpigaji wa ngoma hiyo.

Yafuatayo ni makundi ya fitina hatari mno kwa Rais yeyote anapaswa kuyajua na kujua namna ya ku-deal nao:

1. Viongozi wastaafu

Hapa Mama Samia ana changamoto kubwa. Hata kama ana support ya Kikwete bado kuna Kina Mzee Warioba
Mzee Butiku Lowassa .Sumaye ..mizengo Pinda n.k. Hawa Wana makundi Yao na watoto wao. Na wana maslahi yao.

2. Team JPM
Hawa wanajulikana. Advantage ni kuwa ushawishi wao utazidi kupungua lakini wana pose threat bado, hasa kama wataunganisha nguvu na makundi mengine.

3. Maaskofu na Baraza la Maaskofu
Hawa Wana uchungu. Mtoto wao hakumaliza miaka 10 na inafahamika alivyowadekeza Samia ategemee waraka na matamko. Sasa wanaona haya tu kum-attack waziwazi Kwa sababu ya ukimya waliompa mtoto wao ambae sitashangaa wakimtangaza 'Mtakatifu'

4. Wana CCM before JPM
Hawa ni wale waliozoea ule msemo CCM ina wenyewe. Hawa hasa hasa wanataka tu 'nafasi za kula' baada ya JPM kuwaweka pembeni mda mrefu.

5. Wanasiasa wa upinzani hasa wale wanafiki
Hapa kuna wanasiasa aina zote. Wenye maslahi yao binafsi hadi wale wa kutumika na makundi mengine hapo juu
Usishangae kuona mwanasiasa wa upinzani akibeba ajenda za Lowasa au Sumaye kuzipigania.

6. Asasi za kiraia (NGOs)
Hapa napo kuna watumikiao makundi mengine hapo juu. Kuna wanaotumikia taasisi za dini zao au hata taasisi za nje na kibano cha JPM ndo kitawafanya now waamke Kwa nguvu kufidia hasara za miaka ya JPM. Wengine ni matumbo yao tu ndo wanahangaikia.

7. Wasiotaka Muungano
Hawa Kwa upande wa Zanzibar watakuwa kimyaa..now wataamka WA upande wa Tanganyika. Rais Mwinyi alikumbana na G-55, nusura wamgeuze Gorbachev. Ili mradi Rais ni mzanzibari sasa utasikia kelele zao na fitina zao.

8. Wenye ndoto za Urais
Hili kundi nalo limepigika vibaya. Litajitahidi mno kuchafuana na hata kumchafua Rais, mradi waweke mazingira
ya wao kuja kuchukua kiti.

9. Makahaba wa siasa
Siku hizi hili kundi linazidi kukua hawana agenda maalum. Wao popote upepo unapoelekea wapo. Kimbelembele ndo sifa yao.

10. Wabunge wenye 'mabwana wengine' wa kuwatumikia.
Hawa wanafahamika. Mama kazi anayo.

12. Waandishi wa habari walionunuliwa
Katika hayo makundi baadhi yana waandishi wao na vyombo vyao vya habari.

13. 'Manipulated crowds'
Hayo makundi baadhi hufanikiwa kuzalisha makundi ya watu wengi kusemea agenda zao. Kupitia media
au matamasha ya kiimani. Tegemea migomo, maandamano na makelele ya kila aina baada ya mda mfupi tu hata mwaka usipite.
Mlango huu ujue Giza na Nuru ulipigania kupitisha mambo yao. Mwombee Giza lisifanikiwe kupitisha weusi wake
 
Mzandiki umetajwa Leo. Mengi unaotaaa tu.
 
Tuache kumuwekea mama maneno mdomoni. Mbona anafanya mabadiliko?
Tunajua watanzania wanachukia nini? Wizi wa mali zao unaofanywa na watu wachache. Kwa ujanja wanaanza kutumia vigezo kama chuki ya dini, au kabila au elimu mara nyingine.
Binafsi siamini katika hayo. Naamini katika uadilifu na kuwatumikia watu kwa haki.
Mapambano makubwa sasa hivi ni ya watu wachache ambao wanataka kupata nafasi za juu za utumishi ili wajineemeshe wao na watu walio nao.
Na pressure kubwa sana iko katika namna ya kupata madaraka ili wajineemeshe na fursa. Udini na haya mengine ni sanaa na viini macho

Hayo makundi yote yaliyoainishwa na BOSS Kweli yapo katika jamii yetu lakini silioni kundi hata moja litakaloweza kumyumbisha Rais Samia iwapo utawala wake utazingatia kuwatendea HAKI wananchi. Akitawala kwa haki; atapata kuungwa mkono na watu wengi, na hakuna silaha kubwa katika utawala kama kuwa na wafuasi wengi wanaoamini kuwa mtawala ni mtetezi wao!

Lakini ili Rais atawale kwa HAKI ni lazima awe na TAASISI imara ambazo zinaelewa maana ya HAKI . Haki itapatikana kwa mwananchi kama utawala utafuata sheria ambazo zita tafsiriwa kwa haki na mahakama [ kuwa na mahakama sisizokua na mahakimu wala rushwa]. Bunge pia kuwa muhimili utakaotunga sheria zitakazozingatia wananchi kutendewa haki na sio kutunga sheria ambazo zitakandamiza haki za watu na kulinda ufisadi.

Kwa Kifupi Rais Samia Suluhu Hassan atafanikiwa kama utawala wake utalinda HAKI za wananchi wote bila ubaguzi.
 
Kipaumbele cha taifa kwa sasa ni kujikwamua kiuchumi na sio demokrasia.Hakuna demokrasia na uhuru wa kweli kwenye umasikini.Ili Taifa liwe salama lazima tujikwamue kiuchumi kwanza!

Basi kuweni wapole mama naye awanyooshe tutaelewana tu kidogokidogo.

Awateue anaoona wanamfaa na akajenge uwanja wa ndege wa kimataifa kwake na Daraja kutoka Dsm kwenda Zenji.

Mkae kimya mnyolewe sio kuanza oooh, anateua wa dini yake ,na ujinga mwingine utafikiri wao sio watanzania.
Mnyamaze kama mlivyonyamaza kwa yule wa Tanzania yake. Huyu ni wa Watanzania wote na serikali ni ya Jamhuri sio ya kwake kama yule serikali yake mwenyewe na Kundi lake.

Mkileta mdomo na nyie pyuu pyuuu.
Sio mnaitisha mpaka vyombo vya habari kumkosoa CAG na maamuzi ya Rais kwa sababu munaona mirija yenu iko karibu kukatwa.
Mirija ya wizi sio ya wazungu ni ya mawaziri na wateule waliokosa uaminifu ambao walikua wanajificha kwenye mgongo wa ukabila na upambe.

Mtaitafuta tu katiba wenyewe mana ubaya hua hauishi kwa sababu ya kujenga daraja. Unaya ni unaya unalipwa na Mungu mwenyewe. Hata mizimu haipendi kumtendea binadamu ubaya kwa sababu yoyote.
 
Unataka kusema kanisa na maaskofu hawakunyamaza kabisa wakati
WA JPM?
Watu waliuwawa na kupotezwa na kulikuwa hakuna matamko wala waraka
Kama walitoa unaweza tuonesha hapa?
Except Corona maaskofu waliunga mkono kilakitu. ..
2018 walitoa Waraka wa Pasaka kanisa Katoliki na Walutheri.
 
Kwani ule waraka wa pasaka uliopelekea Magufuli aseme hiiiiiiii nawatazama tu ulikuwa sio wa kumkosoa?
Naona mnajiandaa kujitetea mkifeli.
Kwenye orodha yako hoja ya maaskofu haina mantiki ila ongezea makundi ya misimamo mikali ya kiislamu kupata nguvu
Ilikuwa 2018 walikosoa sana mpaka kukawa na mgawanyiko kwa Maaskofu baada ya hapo walianza kushughulikiwa mmoja baada ya mwingine.
 
Hayo makundi yote yaliyoainishwa na BOSS Kweli yapo katika jamii yetu lakini silioni kundi hata moja litakaloweza kumyumbisha Rais Samai iwapo utawala wake utazingatia kuwatendea HAKI mwananchi. Akitawala kwa haki; atapata kuungwa mkono na watu weng, na hakuna silaha kubwa katika utawala kama kuwa na wafuasi Wengi wanaoamini kuwa mtawala ni mtetezi wao!

Lakini ili Rais atawale kwa HAKI ni lazima awe na TAASISI imara ambazo ninaelewa maana ya HAKI . Haki itapatikana kwa mwananchi kama utawala utafuata sheria ambazo zita tafsiriwa kwa haki na mahakama [ kuwa na mahakama sisizokua na mahakimu wala rushwa]. Bunge pia kuwa muhimili utakaotunga sheria yalezitakazozingatia wananchi kutendewa haki na sio kutunga sheria ambazo zitakandamiza haki za watu na kulinda ufisadi.

Kwa Kifupi Rais Samia Suluhu Hassan atafanikiwa kama utawala wake utalinda HAKI za wananchi wote bila ubaguzi.

Kabisa. Hana sababu ya kuwa na wasiwasi kama dhamira yake ni kutupeleka mbele.

Short of that, no kuleta taharuki tu. Na watu watasema tu.
Awaogope sana wajanja wanaoenda na agenda zao ambazo wala si za haki na hazina tija kwa umma wa watanzania
 
Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao..

Rais Mwinyi alikuwa 'victim' 'mkubwa Sana wa makundi haya. Ilifikia wakati alikuwa anaona kama mda wa kumaliza urais unachelewa. Rais akiwa mpole na muungwana na mstaarabu kama walivyo Wazanzibari wengi anaweza kujikuta anachezeshwa ngoma na asijue nani mpigaji wa ngoma hiyo.

Yafuatayo ni makundi ya fitina hatari mno kwa Rais yeyote anapaswa kuyajua na kujua namna ya ku-deal nao:

1. Viongozi wastaafu

Hapa Mama Samia ana changamoto kubwa. Hata kama ana support ya Kikwete bado kuna Kina Mzee Warioba
Mzee Butiku Lowassa .Sumaye ..mizengo Pinda n.k. Hawa Wana makundi Yao na watoto wao. Na wana maslahi yao.

2. Team JPM
Hawa wanajulikana. Advantage ni kuwa ushawishi wao utazidi kupungua lakini wana pose threat bado, hasa kama wataunganisha nguvu na makundi mengine.

3. Maaskofu na Baraza la Maaskofu
Hawa Wana uchungu. Mtoto wao hakumaliza miaka 10 na inafahamika alivyowadekeza Samia ategemee waraka na matamko. Sasa wanaona haya tu kum-attack waziwazi Kwa sababu ya ukimya waliompa mtoto wao ambae sitashangaa wakimtangaza 'Mtakatifu'

4. Wana CCM before JPM
Hawa ni wale waliozoea ule msemo CCM ina wenyewe. Hawa hasa hasa wanataka tu 'nafasi za kula' baada ya JPM kuwaweka pembeni mda mrefu.

5. Wanasiasa wa upinzani hasa wale wanafiki
Hapa kuna wanasiasa aina zote. Wenye maslahi yao binafsi hadi wale wa kutumika na makundi mengine hapo juu
Usishangae kuona mwanasiasa wa upinzani akibeba ajenda za Lowasa au Sumaye kuzipigania.

6. Asasi za kiraia (NGOs)
Hapa napo kuna watumikiao makundi mengine hapo juu. Kuna wanaotumikia taasisi za dini zao au hata taasisi za nje na kibano cha JPM ndo kitawafanya now waamke Kwa nguvu kufidia hasara za miaka ya JPM. Wengine ni matumbo yao tu ndo wanahangaikia.

7. Wasiotaka Muungano
Hawa Kwa upande wa Zanzibar watakuwa kimyaa..now wataamka WA upande wa Tanganyika. Rais Mwinyi alikumbana na G-55, nusura wamgeuze Gorbachev. Ili mradi Rais ni mzanzibari sasa utasikia kelele zao na fitina zao.

8. Wenye ndoto za Urais
Hili kundi nalo limepigika vibaya. Litajitahidi mno kuchafuana na hata kumchafua Rais, mradi waweke mazingira
ya wao kuja kuchukua kiti.

9. Makahaba wa siasa
Siku hizi hili kundi linazidi kukua hawana agenda maalum. Wao popote upepo unapoelekea wapo. Kimbelembele ndo sifa yao.

10. Wabunge wenye 'mabwana wengine' wa kuwatumikia.
Hawa wanafahamika. Mama kazi anayo.

12. Waandishi wa habari walionunuliwa
Katika hayo makundi baadhi yana waandishi wao na vyombo vyao vya habari.

13. 'Manipulated crowds'
Hayo makundi baadhi hufanikiwa kuzalisha makundi ya watu wengi kusemea agenda zao. Kupitia media
au matamasha ya kiimani. Tegemea migomo, maandamano na makelele ya kila aina baada ya mda mfupi tu hata mwaka usipite.
sitii neno
 
Nyerere alifeli,mwinyi aliiweza na nyinyi ni mashahid,

Mkapa kidogo alijitahid,but kikwete was better than him na nyinyi mnajua,

Magufuli failed,he totally failed na nyinyi mnajua hilo,

So,muachen mama samia afanye kazi,tulizeni mishono

Watu wa ajabu sana hao.
Mama anatakiwa awatimue wote mana watamharibia sana malengo yake.

Wamejawa na ubinafsi mkubwa sana.
Wao ni mabepari kwa kodi za wananchi na hawako tayari kupunguza mishahara yao ili wajenge nchi kama kweli ni wazalendo wenye uchungu na nchi. Wanafiki na wapigania matumbo yao tu huku wakiwauza watu wengine.
 
Back
Top Bottom