Kweli kabisa.Hili kundi la maaskofu lina ushawishi mkubwa mno! Ni vile tu hawajui.sana sana TEC kwa kuwa wana wafuasi wengi na wanaaminika kwao kuliko Samia na serikali yake.mfano mzuri ni issue ya covid 19.Mbaya zaidi Rais ameanza kuonyesha upendeleo wa kidini katika teuzi zake.Ni swala la muda tu.Na makundi ya kuogopa zaidi hapo kuna hilo
La watoa waraka (Maaskofu ) na la pili ni kundi la hao wa kutaka nafasi ya Urais ( hawa wanatumia silaha zote mpaka zingine nyingi ulizo ziweka hapo ktk mafungu)
Anajisikia aibuUnajisikiaje sasa hivi? Haupo “guilty conscious ” Maana wewe ulikuwa mstari wa mbele kusema COVID hakuna, na mkuu akawa anawasikiliza , sasa haya yaliyotokea unajisikiaje i mean your conscience
Kati ya viongozi watakao ongoza vizuri bila shida nadhani huyu pia yumohuyu mama asipokua makini atateseka sana kuliko watangulizi wake
Hakuna udini wowote wanafiq na wqfitin wakubwa nyieKweli kabisa.Hili kundi la maaskofu lina ushawishi mkubwa mno! Ni vile tu hawajui.sana sana TEC kwa kuwa wana wafuasi wengi na wanaaminika kwao kuliko Samia na serikali yake.mfano mzuri ni issue ya covid 19.Mbaya zaidi Rais ameanza kuonyesha upendeleo wa kidini katika teuzi zake.Ni swala la muda tu.
Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao..
Rais Mwinyi alikuwa 'victim' 'mkubwa Sana wa makundi haya. Ilifikia wakati alikuwa anaona kama mda wa kumaliza urais unachelewa. Rais akiwa mpole na muungwana na mstaarabu kama walivyo Wazanzibari wengi anaweza kujikuta anachezeshwa ngoma na asijue nani mpigaji wa ngoma hiyo.
Yafuatayo ni makundi ya fitina hatari mno kwa Rais yeyote anapaswa kuyajua na kujua namna ya ku-deal nao:
1. Viongozi wastaafu
Hapa Mama Samia ana changamoto kubwa. Hata kama ana support ya Kikwete bado kuna Kina Mzee Warioba
Mzee Butiku Lowassa .Sumaye ..mizengo Pinda n.k. Hawa Wana makundi Yao na watoto wao. Na wana maslahi yao.
2. Team JPM
Hawa wanajulikana. Advantage ni kuwa ushawishi wao utazidi kupungua lakini wana pose threat bado, hasa kama wataunganisha nguvu na makundi mengine.
3. Maaskofu na Baraza la Maaskofu
Hawa Wana uchungu. Mtoto wao hakumaliza miaka 10 na inafahamika alivyowadekeza Samia ategemee waraka na matamko. Sasa wanaona haya tu kum-attack waziwazi Kwa sababu ya ukimya waliompa mtoto wao ambae sitashangaa wakimtangaza 'Mtakatifu'
4. Wana CCM before JPM
Hawa ni wale waliozoea ule msemo CCM ina wenyewe. Hawa hasa hasa wanataka tu 'nafasi za kula' baada ya JPM kuwaweka pembeni mda mrefu.
5. Wanasiasa wa upinzani hasa wale wanafiki
Hapa kuna wanasiasa aina zote. Wenye maslahi yao binafsi hadi wale wa kutumika na makundi mengine hapo juu
Usishangae kuona mwanasiasa wa upinzani akibeba ajenda za Lowasa au Sumaye kuzipigania.
6. Asasi za kiraia (NGOs)
Hapa napo kuna watumikiao makundi mengine hapo juu. Kuna wanaotumikia taasisi za dini zao au hata taasisi za nje na kibano cha JPM ndo kitawafanya now waamke Kwa nguvu kufidia hasara za miaka ya JPM. Wengine ni matumbo yao tu ndo wanahangaikia.
7. Wasiotaka Muungano
Hawa Kwa upande wa Zanzibar watakuwa kimyaa..now wataamka WA upande wa Tanganyika. Rais Mwinyi alikumbana na G-55, nusura wamgeuze Gorbachev. Ili mradi Rais ni mzanzibari sasa utasikia kelele zao na fitina zao.
8. Wenye ndoto za Urais
Hili kundi nalo limepigika vibaya. Litajitahidi mno kuchafuana na hata kumchafua Rais, mradi waweke mazingira
ya wao kuja kuchukua kiti.
9. Makahaba wa siasa
Siku hizi hili kundi linazidi kukua hawana agenda maalum. Wao popote upepo unapoelekea wapo. Kimbelembele ndo sifa yao.
10. Wabunge wenye 'mabwana wengine' wa kuwatumikia.
Hawa wanafahamika. Mama kazi anayo.
12. Waandishi wa habari walionunuliwa
Katika hayo makundi baadhi yana waandishi wao na vyombo vyao vya habari.
13. 'Manipulated crowds'
Hayo makundi baadhi hufanikiwa kuzalisha makundi ya watu wengi kusemea agenda zao. Kupitia media
au matamasha ya kiimani. Tegemea migomo, maandamano na makelele ya kila aina baada ya mda mfupi tu hata mwaka usipite.
Umewasahau viongozi wa kiislamu hasa mashehe, bakwata watakaotaka mambo Yao yaingizwe kwenye katiba mfano mahakama ya Kadhi, kujiunga na OIC .Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao..
Rais Mwinyi alikuwa 'victim' 'mkubwa Sana wa makundi haya. Ilifikia wakati alikuwa anaona kama mda wa kumaliza urais unachelewa. Rais akiwa mpole na muungwana na mstaarabu kama walivyo Wazanzibari wengi anaweza kujikuta anachezeshwa ngoma na asijue nani mpigaji wa ngoma hiyo.
Yafuatayo ni makundi ya fitina hatari mno kwa Rais yeyote anapaswa kuyajua na kujua namna ya ku-deal nao:
1. Viongozi wastaafu
Hapa Mama Samia ana changamoto kubwa. Hata kama ana support ya Kikwete bado kuna Kina Mzee Warioba
Mzee Butiku Lowassa .Sumaye ..mizengo Pinda n.k. Hawa Wana makundi Yao na watoto wao. Na wana maslahi yao.
2. Team JPM
Hawa wanajulikana. Advantage ni kuwa ushawishi wao utazidi kupungua lakini wana pose threat bado, hasa kama wataunganisha nguvu na makundi mengine.
3. Maaskofu na Baraza la Maaskofu
Hawa Wana uchungu. Mtoto wao hakumaliza miaka 10 na inafahamika alivyowadekeza Samia ategemee waraka na matamko. Sasa wanaona haya tu kum-attack waziwazi Kwa sababu ya ukimya waliompa mtoto wao ambae sitashangaa wakimtangaza 'Mtakatifu'
4. Wana CCM before JPM
Hawa ni wale waliozoea ule msemo CCM ina wenyewe. Hawa hasa hasa wanataka tu 'nafasi za kula' baada ya JPM kuwaweka pembeni mda mrefu.
5. Wanasiasa wa upinzani hasa wale wanafiki
Hapa kuna wanasiasa aina zote. Wenye maslahi yao binafsi hadi wale wa kutumika na makundi mengine hapo juu
Usishangae kuona mwanasiasa wa upinzani akibeba ajenda za Lowasa au Sumaye kuzipigania.
6. Asasi za kiraia (NGOs)
Hapa napo kuna watumikiao makundi mengine hapo juu. Kuna wanaotumikia taasisi za dini zao au hata taasisi za nje na kibano cha JPM ndo kitawafanya now waamke Kwa nguvu kufidia hasara za miaka ya JPM. Wengine ni matumbo yao tu ndo wanahangaikia.
7. Wasiotaka Muungano
Hawa Kwa upande wa Zanzibar watakuwa kimyaa..now wataamka WA upande wa Tanganyika. Rais Mwinyi alikumbana na G-55, nusura wamgeuze Gorbachev. Ili mradi Rais ni mzanzibari sasa utasikia kelele zao na fitina zao.
8. Wenye ndoto za Urais
Hili kundi nalo limepigika vibaya. Litajitahidi mno kuchafuana na hata kumchafua Rais, mradi waweke mazingira
ya wao kuja kuchukua kiti.
9. Makahaba wa siasa
Siku hizi hili kundi linazidi kukua hawana agenda maalum. Wao popote upepo unapoelekea wapo. Kimbelembele ndo sifa yao.
10. Wabunge wenye 'mabwana wengine' wa kuwatumikia.
Hawa wanafahamika. Mama kazi anayo.
12. Waandishi wa habari walionunuliwa
Katika hayo makundi baadhi yana waandishi wao na vyombo vyao vya habari.
13. 'Manipulated crowds'
Hayo makundi baadhi hufanikiwa kuzalisha makundi ya watu wengi kusemea agenda zao. Kupitia media
au matamasha ya kiimani. Tegemea migomo, maandamano na makelele ya kila aina baada ya mda mfupi tu hata mwaka usipite.
Uko sahihi tena sana tena sana hasa hao maaskofu na nyaraka. Wao akiwa MTU wao hata angefanya mabaya hawaonagi shida maadam alinde maslahi yao.Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao..
Rais Mwinyi alikuwa 'victim' 'mkubwa Sana wa makundi haya. Ilifikia wakati alikuwa anaona kama mda wa kumaliza urais unachelewa. Rais akiwa mpole na muungwana na mstaarabu kama walivyo Wazanzibari wengi anaweza kujikuta anachezeshwa ngoma na asijue nani mpigaji wa ngoma hiyo.
Yafuatayo ni makundi ya fitina hatari mno kwa Rais yeyote anapaswa kuyajua na kujua namna ya ku-deal nao:
1. Viongozi wastaafu
Hapa Mama Samia ana changamoto kubwa. Hata kama ana support ya Kikwete bado kuna Kina Mzee Warioba
Mzee Butiku Lowassa .Sumaye ..mizengo Pinda n.k. Hawa Wana makundi Yao na watoto wao. Na wana maslahi yao.
2. Team JPM
Hawa wanajulikana. Advantage ni kuwa ushawishi wao utazidi kupungua lakini wana pose threat bado, hasa kama wataunganisha nguvu na makundi mengine.
3. Maaskofu na Baraza la Maaskofu
Hawa Wana uchungu. Mtoto wao hakumaliza miaka 10 na inafahamika alivyowadekeza Samia ategemee waraka na matamko. Sasa wanaona haya tu kum-attack waziwazi Kwa sababu ya ukimya waliompa mtoto wao ambae sitashangaa wakimtangaza 'Mtakatifu'
4. Wana CCM before JPM
Hawa ni wale waliozoea ule msemo CCM ina wenyewe. Hawa hasa hasa wanataka tu 'nafasi za kula' baada ya JPM kuwaweka pembeni mda mrefu.
5. Wanasiasa wa upinzani hasa wale wanafiki
Hapa kuna wanasiasa aina zote. Wenye maslahi yao binafsi hadi wale wa kutumika na makundi mengine hapo juu
Usishangae kuona mwanasiasa wa upinzani akibeba ajenda za Lowasa au Sumaye kuzipigania.
6. Asasi za kiraia (NGOs)
Hapa napo kuna watumikiao makundi mengine hapo juu. Kuna wanaotumikia taasisi za dini zao au hata taasisi za nje na kibano cha JPM ndo kitawafanya now waamke Kwa nguvu kufidia hasara za miaka ya JPM. Wengine ni matumbo yao tu ndo wanahangaikia.
7. Wasiotaka Muungano
Hawa Kwa upande wa Zanzibar watakuwa kimyaa..now wataamka WA upande wa Tanganyika. Rais Mwinyi alikumbana na G-55, nusura wamgeuze Gorbachev. Ili mradi Rais ni mzanzibari sasa utasikia kelele zao na fitina zao.
8. Wenye ndoto za Urais
Hili kundi nalo limepigika vibaya. Litajitahidi mno kuchafuana na hata kumchafua Rais, mradi waweke mazingira
ya wao kuja kuchukua kiti.
9. Makahaba wa siasa
Siku hizi hili kundi linazidi kukua hawana agenda maalum. Wao popote upepo unapoelekea wapo. Kimbelembele ndo sifa yao.
10. Wabunge wenye 'mabwana wengine' wa kuwatumikia.
Hawa wanafahamika. Mama kazi anayo.
12. Waandishi wa habari walionunuliwa
Katika hayo makundi baadhi yana waandishi wao na vyombo vyao vya habari.
13. 'Manipulated crowds'
Hayo makundi baadhi hufanikiwa kuzalisha makundi ya watu wengi kusemea agenda zao. Kupitia media
au matamasha ya kiimani. Tegemea migomo, maandamano na makelele ya kila aina baada ya mda mfupi tu hata mwaka usipite.
Mimi tia maoni yangu sehemu mbili za maelezo yako.Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao..

Hata ukiondoa makundi, huyu mama haiwezi hii inchi.
Kwan Magufuli aliiweza??
Ha ha ha,
Ndo ameshakuwa prezoo sasa, hutak jitie vidole
Wote mmefufuka ghafla, Ritz, FaizaFox, Bigshow!!
Kuna aliyewahi kuiweza?
Nyerere alifeli,mwinyi aliiweza na nyinyi ni mashahid,
Mkapa kidogo alijitahid,but kikwete was better than him na nyinyi mnajua,
Magufuli failed,he totally failed na nyinyi mnajua hilo,
So,muachen mama samia afanye kazi,tulizeni mishono
By GODs' grace she will prevail.Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao..
Rais Mwinyi alikuwa 'victim' 'mkubwa Sana wa makundi haya. Ilifikia wakati alikuwa anaona kama mda wa kumaliza urais unachelewa. Rais akiwa mpole na muungwana na mstaarabu kama walivyo Wazanzibari wengi anaweza kujikuta anachezeshwa ngoma na asijue nani mpigaji wa ngoma hiyo.
Yafuatayo ni makundi ya fitina hatari mno kwa Rais yeyote anapaswa kuyajua na kujua namna ya ku-deal nao:
1. Viongozi wastaafu
Hapa Mama Samia ana changamoto kubwa. Hata kama ana support ya Kikwete bado kuna Kina Mzee Warioba
Mzee Butiku Lowassa .Sumaye ..mizengo Pinda n.k. Hawa Wana makundi Yao na watoto wao. Na wana maslahi yao.
2. Team JPM
Hawa wanajulikana. Advantage ni kuwa ushawishi wao utazidi kupungua lakini wana pose threat bado, hasa kama wataunganisha nguvu na makundi mengine.
3. Maaskofu na Baraza la Maaskofu
Hawa Wana uchungu. Mtoto wao hakumaliza miaka 10 na inafahamika alivyowadekeza Samia ategemee waraka na matamko. Sasa wanaona haya tu kum-attack waziwazi Kwa sababu ya ukimya waliompa mtoto wao ambae sitashangaa wakimtangaza 'Mtakatifu'
4. Wana CCM before JPM
Hawa ni wale waliozoea ule msemo CCM ina wenyewe. Hawa hasa hasa wanataka tu 'nafasi za kula' baada ya JPM kuwaweka pembeni mda mrefu.
5. Wanasiasa wa upinzani hasa wale wanafiki
Hapa kuna wanasiasa aina zote. Wenye maslahi yao binafsi hadi wale wa kutumika na makundi mengine hapo juu
Usishangae kuona mwanasiasa wa upinzani akibeba ajenda za Lowasa au Sumaye kuzipigania.
6. Asasi za kiraia (NGOs)
Hapa napo kuna watumikiao makundi mengine hapo juu. Kuna wanaotumikia taasisi za dini zao au hata taasisi za nje na kibano cha JPM ndo kitawafanya now waamke Kwa nguvu kufidia hasara za miaka ya JPM. Wengine ni matumbo yao tu ndo wanahangaikia.
7. Wasiotaka Muungano
Hawa Kwa upande wa Zanzibar watakuwa kimyaa..now wataamka WA upande wa Tanganyika. Rais Mwinyi alikumbana na G-55, nusura wamgeuze Gorbachev. Ili mradi Rais ni mzanzibari sasa utasikia kelele zao na fitina zao.
8. Wenye ndoto za Urais
Hili kundi nalo limepigika vibaya. Litajitahidi mno kuchafuana na hata kumchafua Rais, mradi waweke mazingira
ya wao kuja kuchukua kiti.
9. Makahaba wa siasa
Siku hizi hili kundi linazidi kukua hawana agenda maalum. Wao popote upepo unapoelekea wapo. Kimbelembele ndo sifa yao.
10. Wabunge wenye 'mabwana wengine' wa kuwatumikia.
Hawa wanafahamika. Mama kazi anayo.
12. Waandishi wa habari walionunuliwa
Katika hayo makundi baadhi yana waandishi wao na vyombo vyao vya habari.
13. 'Manipulated crowds'
Hayo makundi baadhi hufanikiwa kuzalisha makundi ya watu wengi kusemea agenda zao. Kupitia media
au matamasha ya kiimani. Tegemea migomo, maandamano na makelele ya kila aina baada ya mda mfupi tu hata mwaka usipite.
Hahaha, you are better than that bro.
Good day.
Asipokuwa Magufuli part 2 she will be total mess and mess three times kwa sababu hata kiutendaji anaonekana hana uwezo and she is weak ukijumlisha na hizo figisu na hana msimamo ndio atakuwa worst president everMna hofu isiyo na msingi.
Nguvu ya nchi ni Rais ( Jeshi + Hazina )
Ukiona Rais amekuwa mstaarabu ujue ni maamuzi yake. Usifikiri Kikwete au Mkapa hawakuwa na uwezo wa kusema chukua bunduki kammalize Lissu au poreni chaguzi zote!!
Tatizo lenu mnataka Samia na yeye awe Magufuli No. 2 wakati Magu was a total mess.
Hao Team MAGU hawana mizizi, nguvu yao ilikuwa ni Dola na haipo tena. Wengi wao hata siasa za CCM majimboni hawataziweza.
Halafu unaposema eti maaskofu watamfanyia figisu, ni lini maaskofu walishawahi kunyamaza. Hukuwahi kuona mfulululizo wa nyaraka na ukosoaji mkubwa kutoka kwa maaskofu. Au wewe unadhani Askofu mkuu wa Jimbo DSM ndio maaskofu wote, au wakristo wote ukiachana na wachache. Hivi kuna watu walitulia tuli kama waislamu enzi za kwa Magu?
Tena hadi Makonda, maana kawahonga mnoo pesa.
Hao waliokuwa wananyenyekea Magu haikuwa sababu ya Ukatoliki wake baki nguvu ya mamlaka yake.
Kina warioba mnawaonea tu maana mtu kama Warioba sijawahi kuona akifanya figisu yoyote.
Ninachokiona labda mnatafuta defensive mechanism, akiboronga ionekane anafanyiwa figisu kwasababu ya Uzanzibar wake, Dini au mwanamke.
Kwasasa ngoja apange timu yake amalize ili asimlaumu mtu yeyote.
Urais hauko hivyo, kwamba unyamazishe kila mtu na akubali kunyamaza tuliii. Noooo.
Kama unajijua kuwa hupendwi kusemwa, kukosolewa, wala kuambiwa chochote ni bora usiwe Rais maana siyo lazima.
Watu wataongea tu hata nje ya nchi.
Acha uongo nani kakudanganya kuwa hahangaiki nao? Miluzi mingi anageuka huku na huko! Juzi tu kasema mwenyewe huko mitandaoni kasumbuliwa kuhusu vifurushi... sasa jiulize huko mitandaoni kuna mambo mangapi? Je atasikiliza mangapi na kuacha mangapi? Kwa hiyo anaongozwa kwa mitandao ya kijamii?.JPM hakuwa mjinga kufocus katika maendeleo na kupuuza maneno maneno sanasana ya wapinzani ndio maana akawa best president na akaacha legacy za heshima.Sasa ngoja tuendelee kula mtori tusubiri nyama chini...Uzuri hahangaiki nao, ana focus, na mambo ya msingi. Wenye fitina binafsi naona hana muda nao. Watajimaliza wenyewe!
Everyday is Saturday................................[emoji41]