Rais Samia ataziweza 'fitina za Watanganyika'?

Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao..

Rais Mwinyi alikuwa 'victim' 'mkubwa Sana wa makundi haya...ilifikia wakati
Alikuwa anaona kama mda WA kumaliza
Urais unachelewa.. Rais akiwa mpole na muungwana na mstaarabu kama walivyo
Wazanzibari wengi anaweza kujikuta anachezeshwa ngoma na asijue nani mpigaji wa ngoma hiyo...

Yafuatayo ni makundi ya fitina hatari mno
Kwa Rais yeyote anapaswa kuyajua..na kujua namna ya Ku deal nao..

1.Viongozi wastaafu..
Hapa Mama Samia ana changamoto kubwa. Hata kama ana support ya Kikwete bado kuna Kina Mzee Warioba
Mzee Butiku Lowassa .Sumaye ..mizengo Pinda n.k..
Hawa Wana makundi Yao na watoto wao..
Na Wana masilahi yao..

2. Team JPM
hawa wanajulikana ..
Advantage ni kuwa ushawishi wao utazidi
Kupungua lakini wana pose threat bado
Hasa kama wataunganisha nguvu na makundi mengine..

3. Maaskofu na Baraza la Maaskofu..
Hawa Wana uchungu ..
Mtoto wao hakumaliza miaka 10
Na inafahamika alivyowadekeza..
Samia ategemee waraka na matamko
Sasa wanaona haya Tu kum attack waziwazi Kwa sababu ya ukimya waliompa
Mtoto wao ambae sitashangaa wakimtangaza 'Mtakatifu'..

4.wana CCM before JPM
Hawa ni wale waliozoea ule msemo CCM ina wenyewe..hawa hasa hasa wanataka Tu 'nafasi za kula' baada ya JPM kuwaweka pembeni mda mrefu..

5.wanasiasa wa upinzani hasa wale wanafiki..

Hapa kuna wanasiasa aina zote
Wenye maslahi yao binafsi Hadi wale wa kutumika na makundi mengine hapo juu
Usishangae kuona mwanasiasa wa upinzani akibeba ajenda za Lowasa au Sumaye kuzipigania...

6.Asasi za kiraia..NGOs

Hapa napo kuna watumikiao makundi mengine hapo juu
Kuna wanaotumikia taasisi za dini zao
Au hata taasisi za nje..na kibano cha JPM
Ndo kitawafanya now waamke Kwa nguvu kufidia hasara za miaka ya JPM..
Wengine ni matumbo Yao Tu ndo wanahangaikia..

7.Wasiotaka Muungano..
Hawa Kwa upande wa Zanzibar watakuwa kimyaa..now wataamka WA upande wa Tanganyika...Rais Mwinyi alikumbana na G-55...nusura wamgeuze Gorbachev..
Ili mradi Rais ni mzanzibari sasa utasikia kelele zao ..na fitina zao..

8.Wenye ndoto za Urais..
Hili kundi nalo limepigika vibaya ..
Litajitahidi mno kuchafuana na hata kumchafua Rais..mradi waweke mazingira
Ya wao kuja kuchukua kiti

9.Makahaba wa siasa..
Siku hizi hili kundi linazidi kukua
Hawana agenda maalum
Wao popote upepo unapoelekea wapo..
Kimbelembele ndo sifa yao..

10.wabunge wenye 'mabwana wengine'
Wa kuwatumikia..
Hawa wanafahamika ..mama kazi anayo..

12.waandishi wa habari walionunuliwa..
Katika hayo makundi baadhi yana waandishi wao na vyombo vyao vya habari..

13. 'manipulated crowds'
Hayo makundi baadhi hufanikiwa kuzalisha makundi ya watu wengi kusemea agenda zao.. kupitia media
Au matamasha ya kiimani..
Tegeemea migomo.. maandamano
Na makelele ya kila aina baada ya mda mfupi Tu hata mwaka usipite....
Pongezi Mkuu
Ukweli mchungu lakini bado ni ukweli
Umesema yote ni swala la muda
Mama ana kazi kubwa
Akamate Fagio la chuma mapema Asiamini kila analoambiwa ni jema
Chama chake kitamfitinisha sana tena sana
Imani Dini hapa patakuwa na mahubiri matamko pingamizi kukosoa kwa sana
 
The Boss,you re really Great thinker, thank you,but wakae wakijua kuwa katiba inampa nafas mama kuhombea muhula mwingine after 2025,so kama mungu akipenda na mama akiwa na nia hiyo basi asiletewe mizengwe kisa yeye ni mwanamke,she is very smart upstairs compared to many many among men
 
Wote mmefufuka ghafla, Ritz, FaizaFox, Bigshow!!
 
Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao..

Rais Mwinyi alikuwa 'victim' 'mkubwa Sana wa makundi haya. Ilifikia wakati alikuwa anaona kama mda wa kumaliza urais unachelewa. Rais akiwa mpole na muungwana na mstaarabu kama walivyo Wazanzibari wengi anaweza kujikuta anachezeshwa ngoma na asijue nani mpigaji wa ngoma hiyo.

Yafuatayo ni makundi ya fitina hatari mno kwa Rais yeyote anapaswa kuyajua na kujua namna ya ku-deal nao:

1. Viongozi wastaafu

Hapa Mama Samia ana changamoto kubwa. Hata kama ana support ya Kikwete bado kuna Kina Mzee Warioba
Mzee Butiku Lowassa .Sumaye ..mizengo Pinda n.k. Hawa Wana makundi Yao na watoto wao. Na wana maslahi yao.

2. Team JPM
Hawa wanajulikana. Advantage ni kuwa ushawishi wao utazidi kupungua lakini wana pose threat bado, hasa kama wataunganisha nguvu na makundi mengine.

3. Maaskofu na Baraza la Maaskofu
Hawa Wana uchungu. Mtoto wao hakumaliza miaka 10 na inafahamika alivyowadekeza Samia ategemee waraka na matamko. Sasa wanaona haya tu kum-attack waziwazi Kwa sababu ya ukimya waliompa mtoto wao ambae sitashangaa wakimtangaza 'Mtakatifu'

4. Wana CCM before JPM
Hawa ni wale waliozoea ule msemo CCM ina wenyewe. Hawa hasa hasa wanataka tu 'nafasi za kula' baada ya JPM kuwaweka pembeni mda mrefu.

5. Wanasiasa wa upinzani hasa wale wanafiki
Hapa kuna wanasiasa aina zote. Wenye maslahi yao binafsi hadi wale wa kutumika na makundi mengine hapo juu
Usishangae kuona mwanasiasa wa upinzani akibeba ajenda za Lowasa au Sumaye kuzipigania.

6. Asasi za kiraia (NGOs)
Hapa napo kuna watumikiao makundi mengine hapo juu. Kuna wanaotumikia taasisi za dini zao au hata taasisi za nje na kibano cha JPM ndo kitawafanya now waamke Kwa nguvu kufidia hasara za miaka ya JPM. Wengine ni matumbo yao tu ndo wanahangaikia.

7. Wasiotaka Muungano
Hawa Kwa upande wa Zanzibar watakuwa kimyaa..now wataamka WA upande wa Tanganyika. Rais Mwinyi alikumbana na G-55, nusura wamgeuze Gorbachev. Ili mradi Rais ni mzanzibari sasa utasikia kelele zao na fitina zao.

8. Wenye ndoto za Urais
Hili kundi nalo limepigika vibaya. Litajitahidi mno kuchafuana na hata kumchafua Rais, mradi waweke mazingira
ya wao kuja kuchukua kiti.

9. Makahaba wa siasa
Siku hizi hili kundi linazidi kukua hawana agenda maalum. Wao popote upepo unapoelekea wapo. Kimbelembele ndo sifa yao.

10. Wabunge wenye 'mabwana wengine' wa kuwatumikia.
Hawa wanafahamika. Mama kazi anayo.

12. Waandishi wa habari walionunuliwa
Katika hayo makundi baadhi yana waandishi wao na vyombo vyao vya habari.

13. 'Manipulated crowds'
Hayo makundi baadhi hufanikiwa kuzalisha makundi ya watu wengi kusemea agenda zao. Kupitia media
au matamasha ya kiimani. Tegemea migomo, maandamano na makelele ya kila aina baada ya mda mfupi tu hata mwaka usipite.
Hapo kwa maaskofu umepotosha mkuu, hivi kwenye awamu zote za utawala toka Uhuru uliwahisikia Askofu wa kanisa katoliki anadhalilishwa kuhojiwa na vyombo vya Dora na kunyang'anywa pasipoti?
Ufanisi wa utawala wowote unahitaji political torelance na siyo kuendesha nchi kwa mihemuko.
Uzi wako una logic ila una viashiria vya udini.
 
am sure Rais wetu Mama Samia atakuwa IMARA na MADHUBUTI zaidi.

Kamwe hato vumilia, FITINA, MAJUNGU NA UNAFIKI kutoka kwa kikundi chochote kile au mtu yeyote yule.
Huu ni wakati wa HAKI bin HAKI.
 
Uzi bora kwa wakati tuliopo

Ila hapo kwenye no 3 umeingia chaka,sidhan maaskofu kama walikuwa pamoja nae
 
Mna hofu isiyo na msingi.

Nguvu ya nchi ni Rais ( Jeshi + Hazina )

Ukiona Rais amekuwa mstaarabu ujue ni maamuzi yake. Usifikiri Kikwete au Mkapa hawakuwa na uwezo wa kusema chukua bunduki kammalize Lissu au poreni chaguzi zote!!

Tatizo lenu mnataka Samia na yeye awe Magufuli No. 2 wakati Magu was a total mess.

Hao Team MAGU hawana mizizi, nguvu yao ilikuwa ni Dola na haipo tena. Wengi wao hata siasa za CCM majimboni hawataziweza.

Halafu unaposema eti maaskofu watamfanyia figisu, ni lini maaskofu walishawahi kunyamaza. Hukuwahi kuona mfulululizo wa nyaraka na ukosoaji mkubwa kutoka kwa maaskofu. Au wewe unadhani Askofu mkuu wa Jimbo DSM ndio maaskofu wote, au wakristo wote ukiachana na wachache. Hivi kuna watu walitulia tuli kama waislamu enzi za kwa Magu?

Tena hadi Makonda, maana kawahonga mnoo pesa.

Hao waliokuwa wananyenyekea Magu haikuwa sababu ya Ukatoliki wake baki nguvu ya mamlaka yake.

Kina warioba mnawaonea tu maana mtu kama Warioba sijawahi kuona akifanya figisu yoyote.

Ninachokiona labda mnatafuta defensive mechanism, akiboronga ionekane anafanyiwa figisu kwasababu ya Uzanzibar wake, Dini au mwanamke.

Kwasasa ngoja apange timu yake amalize ili asimlaumu mtu yeyote.

Urais hauko hivyo, kwamba unyamazishe kila mtu na akubali kunyamaza tuliii. Noooo.

Kama unajijua kuwa hupendwi kusemwa, kukosolewa, wala kuambiwa chochote ni bora usiwe Rais maana siyo lazima.

Watu wataongea tu hata nje ya nchi.
HUO NDIO UKWELI MTU WA MUNGU
 
Ahsante sana Mkuu. Umeandika vizuri sana.
BIG UP! 👍🏽
Wamisheni watanganyika hata hawajui Zanzibar iko wapi sembuse kuanza kumtilia fitna Rais mwanamke wa kwanza. Huyu pamoja na kuwa mwanamke muislamu amepigiwa kura na watanganyika kuwa makamu wao wa rais. Angekuwa Zanzibar umakamu angeusikia redioni. Acheni kuleta fitna zenu za kawaida na mwacheni Mheshimiwa Rais wa Tanzania afanye kazi aliyoiomba. Samia ni rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sio Rais mwingine wa Zanzibar. Atapimwa kwa utekelezaji wake na sio dini au uzanzibari wake. Watu wanaoongoza kumsema Mwendazake ni wamisheni wenzake watanganyika wakati wakina Zito na mwendazake Maalim zamani waliunga juhudi. Ukweli ni kuwa watakaomharibia Mheshimiwa Rais ni nyinyi ambao sasa mnategemea awapendelee kwa sababu ni mwenzenu. Akikataa kuyumba hamtachelea kumchimba.

Amandla...
 
Mna hofu isiyo na msingi.

Nguvu ya nchi ni Rais ( Jeshi + Hazina )

Ukiona Rais amekuwa mstaarabu ujue ni maamuzi yake. Usifikiri Kikwete au Mkapa hawakuwa na uwezo wa kusema chukua bunduki kammalize Lissu au poreni chaguzi zote!!

Tatizo lenu mnataka Samia na yeye awe Magufuli No. 2 wakati Magu was a total mess.

Hao Team MAGU hawana mizizi, nguvu yao ilikuwa ni Dola na haipo tena. Wengi wao hata siasa za CCM majimboni hawataziweza.

Halafu unaposema eti maaskofu watamfanyia figisu, ni lini maaskofu walishawahi kunyamaza. Hukuwahi kuona mfulululizo wa nyaraka na ukosoaji mkubwa kutoka kwa maaskofu. Au wewe unadhani Askofu mkuu wa Jimbo DSM ndio maaskofu wote, au wakristo wote ukiachana na wachache. Hivi kuna watu walitulia tuli kama waislamu enzi za kwa Magu?

Tena hadi Makonda, maana kawahonga mnoo pesa.

Hao waliokuwa wananyenyekea Magu haikuwa sababu ya Ukatoliki wake baki nguvu ya mamlaka yake.

Kina warioba mnawaonea tu maana mtu kama Warioba sijawahi kuona akifanya figisu yoyote.

Ninachokiona labda mnatafuta defensive mechanism, akiboronga ionekane anafanyiwa figisu kwasababu ya Uzanzibar wake, Dini au mwanamke.

Kwasasa ngoja apange timu yake amalize ili asimlaumu mtu yeyote.

Urais hauko hivyo, kwamba unyamazishe kila mtu na akubali kunyamaza tuliii. Noooo.

Kama unajijua kuwa hupendwi kusemwa, kukosolewa, wala kuambiwa chochote ni bora usiwe Rais maana siyo lazima.

Watu wataongea tu hata nje ya nchi.

Unataka kusema kanisa na maaskofu hawakunyamaza kabisa wakati
WA JPM?
Watu waliuwawa na kupotezwa na kulikuwa hakuna matamko wala waraka
Kama walitoa unaweza tuonesha hapa?
Except Corona maaskofu waliunga mkono kilakitu. ..
 
Kwani ule waraka wa pasaka uliopelekea Magufuli aseme hiiiiiiii nawatazama tu ulikuwa sio wa kumkosoa?
Naona mnajiandaa kujitetea mkifeli.
Kwenye orodha yako hoja ya maaskofu haina mantiki ila ongezea makundi ya misimamo mikali ya kiislamu kupata nguvu
 
Unataka kusema kanisa na maaskofu hawakunyamaza kabisa wakati
WA JPM?
Watu waliuwawa na kupotezwa na kulikuwa hakuna matamko wala waraka
Kama walitoa unaweza tuonesha hapa?
Except Corona maaskofu waliunga mkono kilakitu. ..
TEC siyo mtu mmoja, ni umoja wa maaskofu huru nchi nzima. Kwahiyo usitegemee watakuwa wanaobgea kila wiki.

Unasema walikuwa wanaunga mkono kila kitu, kipi !??

Leta hapa tamko la TEC linakomuunga mkono Magufuli.

👇👇👇

Kuhusu haki za binadamu,
👇👇

Utawala wa kisiasa, uwe unatekelezwa na jumuiya yenyewe au na vyombo vinavyowakilisha dola, ni lazima daima ufanyike ndani ya mipaka ya sheria ya kimaadili. Lengo lake ni kuyafikia manufaa ya wote, tena manufaa yenye maendeleo yake, kadiri ya kanuni za utaratibu wa kisheria uliokwisha kuwekwa, au wa kuwekwa👉👉👇

Kuhusu KKKT
👇👇

JK na Mwinyi sio Viongozi wastaafu
Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao..

Rais Mwinyi alikuwa 'victim' 'mkubwa Sana wa makundi haya. Ilifikia wakati alikuwa anaona kama mda wa kumaliza urais unachelewa. Rais akiwa mpole na muungwana na mstaarabu kama walivyo Wazanzibari wengi anaweza kujikuta anachezeshwa ngoma na asijue nani mpigaji wa ngoma hiyo.

Yafuatayo ni makundi ya fitina hatari mno kwa Rais yeyote anapaswa kuyajua na kujua namna ya ku-deal nao:

1. Viongozi wastaafu

Hapa Mama Samia ana changamoto kubwa. Hata kama ana support ya Kikwete bado kuna Kina Mzee Warioba
Mzee Butiku Lowassa .Sumaye ..mizengo Pinda n.k. Hawa Wana makundi Yao na watoto wao. Na wana maslahi yao.

2. Team JPM
Hawa wanajulikana. Advantage ni kuwa ushawishi wao utazidi kupungua lakini wana pose threat bado, hasa kama wataunganisha nguvu na makundi mengine.

3. Maaskofu na Baraza la Maaskofu
Hawa Wana uchungu. Mtoto wao hakumaliza miaka 10 na inafahamika alivyowadekeza Samia ategemee waraka na matamko. Sasa wanaona haya tu kum-attack waziwazi Kwa sababu ya ukimya waliompa mtoto wao ambae sitashangaa wakimtangaza 'Mtakatifu'

4. Wana CCM before JPM
Hawa ni wale waliozoea ule msemo CCM ina wenyewe. Hawa hasa hasa wanataka tu 'nafasi za kula' baada ya JPM kuwaweka pembeni mda mrefu.

5. Wanasiasa wa upinzani hasa wale wanafiki
Hapa kuna wanasiasa aina zote. Wenye maslahi yao binafsi hadi wale wa kutumika na makundi mengine hapo juu
Usishangae kuona mwanasiasa wa upinzani akibeba ajenda za Lowasa au Sumaye kuzipigania.

6. Asasi za kiraia (NGOs)
Hapa napo kuna watumikiao makundi mengine hapo juu. Kuna wanaotumikia taasisi za dini zao au hata taasisi za nje na kibano cha JPM ndo kitawafanya now waamke Kwa nguvu kufidia hasara za miaka ya JPM. Wengine ni matumbo yao tu ndo wanahangaikia.

7. Wasiotaka Muungano
Hawa Kwa upande wa Zanzibar watakuwa kimyaa..now wataamka WA upande wa Tanganyika. Rais Mwinyi alikumbana na G-55, nusura wamgeuze Gorbachev. Ili mradi Rais ni mzanzibari sasa utasikia kelele zao na fitina zao.

8. Wenye ndoto za Urais
Hili kundi nalo limepigika vibaya. Litajitahidi mno kuchafuana na hata kumchafua Rais, mradi waweke mazingira
ya wao kuja kuchukua kiti.

9. Makahaba wa siasa
Siku hizi hili kundi linazidi kukua hawana agenda maalum. Wao popote upepo unapoelekea wapo. Kimbelembele ndo sifa yao.

10. Wabunge wenye 'mabwana wengine' wa kuwatumikia.
Hawa wanafahamika. Mama kazi anayo.

12. Waandishi wa habari walionunuliwa
Katika hayo makundi baadhi yana waandishi wao na vyombo vyao vya habari.

13. 'Manipulated crowds'
Hayo makundi baadhi hufanikiwa kuzalisha makundi ya watu wengi kusemea agenda zao. Kupitia media
au matamasha ya kiimani. Tegemea migomo, maandamano na makelele ya kila aina baada ya mda mfupi tu hata mwaka usipite.
 
Cha muhimu akae makini na Lissu, hizi nyngne ni minor issues
Lissu aombwe arejee nchini aendelee na maisha kama zamani.Alipwe pesa za matibabu,marupurupu na mishahara yake alizozulumiwa na Ndugai.
Alipwe fidia kwa usumbufu uliojitokeza.
Kesi ya kushambuliwa kwake ifutwe kwakuwa mhusika mkuu ameshatangulia kwenye hukumu,washirika wake wasamehewe bure.
Hapo Tundu Lissu atakuwa wa msaada sana eneo atakalo tumika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom