Wadau Kabla ya Baraza la Mawaziri kutangazwa Tuliambiwa kuwa Mambo hayaendi kwani kuna Mawaziri wamepatwa na HOMA ya URAIS 2025 Hawawajibiki ktk Majukumu yao ya KIWAZIRI na tukaambiwa WATAACHWA nje ya Baraza la Mawaziri ili WAKAJIANDAE vizuri na URAIS 2025.

Baada ya Baraza kutangazwa Baadhi ya Mawaziri WAMEACHWA Wakiwemo kina LUKUVI,KABUDI,WAITARA,MKUMBO na MWAMBE
Je Mawaziri hao ndio Wenye HOMA ya URAIS 2025?
 
Ilikuwa gia
Wadau Kabla ya Baraza la Mawaziri kutangazwa Tuliambiwa kuwa Mambo hayaendi kwani kuna Mawaziri wamepatwa na HOMA ya URAIS 2025 Hawawajibiki ktk Majukumu yao ya KIWAZIRI na tukaambiwa WATAACHWA nje ya Baraza la Mawaziri ili WAKAJIANDAE vizuri na URAIS 2025
Baada ya Baraza kutangazwa Baadhi ya Mawaziri WAMEACHWA Wakiwemo kina LUKUVI,KABUDI,WAITARA,MKUMBO na MWAMBE
Je Mawaziri hao ndio Wenye HOMA ya URAIS 2025?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Mlivyokuwa mnawasema wachaga mlijua itaishia kwa wachaga tu. Imeanza kusambaa hii dhambi.sasa ipo kwa wasukuma ikitoka uko itaenda kwa makabila wengine. Mpaka mtubu hii dhambi
Wasukuma ndo walikuwa wakisema? Zote hazina maslahi kwenye taifa na utakalia kusema dhambi itawafuna watu wanasonga tu. Majungu hayajengi na wala usishangilie kwenye majungu.
 
Wasukuma ndo walikuwa wakisema? Zote hazina maslahi kwenye taifa na utakalia kusema dhambi itawafuna watu wanasonga tu. Majungu hayajengi na wala usishangilie kwenye majungu.
Tafakari ufahamu juu ya uelewa wa mambo
 
Mh.mchengerwa was the best,alikuwa na matamshi ya matumain kwa watumishi ,hotuba yake mwisho kigoma was the one of best.
 
Back
Top Bottom