Rais Samia anza kuandaa mlio utakaolia baada ya kuachia Ikulu

Rais Samia anza kuandaa mlio utakaolia baada ya kuachia Ikulu

Anafanya makubwa mengi tu kwenye, hata kama unevaa miwani ya mbao lakini unayaona
Anafanya makubwa kwani ni hela zake ama ni kodi za nchi? Huu upuuzi wa kumbrand rais, hadi anaamini fedha za umma ni zakez hivyo akizitoa ni hisani ni upuuzi wa hali ya juu.
 
Mimi nawalaumu washauri wa Raisi wamemfelisha sana:
Ningekuwa Raisi ningewafukuza kazi wote:
Wanajali mshahala kupita kazi Yao:
RAISI anatakiwa awe na AKILI ili akishauriwa ujinga akatae..

na katika nchi ya kusadikika YEYE RAISI NDIYE ANAYEWASHAURI WASHAURI WAKE...na washauri wake kazi yao ni kumwambia unaupiga mwingi.
 
UNABII ULISHATABIRI MIAKA 5 ILIYOPITA

kuwa kabla ya mwaka 2030 kati ya mwishoni mwa 2026 na mwanzani mwa 2027... KABLA YA 2030 KARMA ITALIPA watesi w kuvuna walichopanda.. (kupokea mshahara wa dhambi zao walizofanya).
 
Watu waliotekwa chini ya utawala wako ni zaidi ya 100, Mdude na Humphrey Polepole wameacha michirizi ya damu hadi leo!
Kote umeandika vizuri kasoro hapo kwenye idadi.

Watanganyika waliotekwa na kuliwa vichwa na bi Chura Kiziwi na genge lake ni wengi mno, siyo 100
 
Rais Samia na mwanao andaeni mlio

Rais Samia na mwanao Abdul andaeni mlio mtakaokuwa mkilia pale muda wa kukandwa kwenu utakapofika kwa madudu mnayoyafanya mkiwa Ikulu.


1. Kisiasa
Kisiasa Rais Samia hukubaliki ndani ya CCM na nje CCM mbaya zaidi haukubaliki pia ndani ya nchi na nje ya nchi.
Ndani ya ccm kuna kundi kubwa sana lina chuki sana na wewe hasa baada kupanga watu unaotaka wawe wabunge wenye mlengo wa kutetea ufisadi na kuwakata wale wanaopinga ufisadi na wenye ushawishi ndani ya ccm. Mfano Ummy Mwalimu, Luhaga Mpina, January Makamba, Flatei Maasai wewe ndiyo uliagiza wakatwe kibabe.
Kiburi chako kikakutuma umptishe mwanao Wanu na mme wake Mchengerwa kibabe kuwa wabunge.

Chuki kutoka nje ya ccm ni kubwa baada ya wewe Rais Samia kumzuia Luhaga Mpina kugombea urais kibabe na kihuni kabisa kinyume na katiba ya nchi, kana kwamba haitoshi ukaamua kumfunga Lisu kwa kesi ya uongo ya uhaini.

Chuki kutoka nje ya nchi pia ni kubwa sana, Tanzania imenyimwa misaada kutoka kila pembe ya dunia kwa kiwango ambacho hakijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru!. Rais Samia umeharibu legacy ya Tanzania kwamba ni nchi ya amani na utulivu kutokana na mauwaji ya raia wasio na hatia uliyoyafanya siku ya uchaguzi octoba 29/ 2025 na sasa hivi unawindwa na mahakama ya ICC .
Wakati unaingia madarakani ulijitapa kufungua nchi, je umeifungua mpaka wapi?

2. Kijamii
Kijamii hamna kiongozi aliyewahi kuchukiwa Tanzania kama wewe Rais Samia kwa sababu umeendesha utekaji na uuwaji wa waziwazi kabisa bila aibu. Watu waliotekwa chini ya utawala wako ni zaidi ya 100, Mdude na Humphrey Polepole wameacha michirizi ya damu hadi leo! Kwenye kichwa chako wewe Samia unadhani wana ccm wote wamefurahishwa na kitendo chako cha kumteka balozi, katibu wa itikadi na uenezi na mjumbe wa kamati kuu ya ccm? Nikutonye tu ya kuwa wanaccm wengi wamechukizwa mno na kitendo hicho na wanasubiri tu muda ufike wakugawane .
Kana kwamba haitoshi umefanya mauaji ya kutisha tarehe 29 Oktoba kwa kuuwa watoto, wazee ,vijana na kina mama wasiokuwa na hatia yoyote na badala ya kuwaomba radhi watanzania wewe ukajitokeza kushangilia huku ukiahidi kufanya mauaji mengine zaidi ya hayo pale itakapopidi!
Andaa mlio utakaokuwa unalia siku unaenda kuonyesha ulipowazika hao watu uliowaua ili tu wewe uendelee kukalia ikulu kwa mabavu.

3 Kiuchumi.
Rais Samia umeharibu uchumi wa nchi kwa kuuza mbuga, makaa ya mawe, bandari zote na hivi karibuni umeamua kuuza hifadhi ya taifa ya dhahabu! , sasa hivi kila kona wachimbaji wadogo na wafugaji wanafukuzwa bila fidia wala utaratibu wowote.
Tukuulize swali Rais Samia baada ya nchi kuikuta ipo uchumi wa kati mpaka sasa umeifikisha uchumi wa wapi?

Kwa madudu haya Rais Samia utatetewa na nani baada ya kutoka ikulu? Nakushauri tu uanze kuandaa mlio wa kulia maana chuki na kisasi cha watanzania juu yako na uzao wako ni kubwa sana.
vipi bwana Etwege😂😂😂😂
 
Wahalifu ni nyinyi mliochoma moto vituo vya mafuta na kuiba mali za kwenye maduka ya sinza.
Samia Suluhu Hassan ni mhalifu anayesubiri tu kuwajibishwa kwa uovu anaowafanyia waTanzania.

Hili mnalijuwa vizuri na yeye mwenyewe analifahamu.
 
Kwani kazi ya bunduki ni nini? Lile siyo jembe la kulimia shamba? Au siyo mdoli wa kupigia selfie.
Sasa subiri ziwageukie wenyewe, hapo ndipo utajuwa utamu wake ulivyo.

Ni bora hata mkajikabidhi huko ICC kuliko yatakayowakuta mbele ya hiyo mitutu.
Wewe utaugua magonjwa ya akili kwa namna ambayo akili yako 24/7 inaamini kuwa Samia atatoka au atakufa kabla
Samia ni mhalifu, na kama ilivyo kwa mhalifu yeyote ni lazima awajibishwe kwa uhalifu wake
 
Sasa subiri ziwageukie wenyewe, hapo ndipo utajuwa utamu wake ulivyo.

Ni bora hata mkajikabidhi huko ICC kuliko yatakayowakuta mbele ya hiyo mitutu.

Samia ni mhalifu, na kama ilivyo kwa mhalifu yeyote ni lazima awajibishwe kwa uhalifu wake
Mnawaabudu hao ICC utadhani labda ni chombo cha haki. Kingekuwa cha haki leo hii George Bush ma Tony Blair wangekuwa wanatumikia kifungo.
 
Mnawaabudu hao ICC utadhani labda ni chombo cha haki. Kingekuwa cha haki leo hii George Bush ma Tony Blair wangekuwa wanatumikia kifungo.
Wewe sasa ndiyo unaijuwa HAKI?

Tunachojuwa ni kuwa Samia ni mhalifu, na atawajibishwa kwa uhalifu wake, iwe ni kupitia huko ICC (hii itakuwa ni bahati yake nzuri sana); hau waTanzania wenyewe tumwajibishe kwa aina yoyote tutakayoona inafaa; hata kumburuza mitaani kama mzoga wa nguruwe aliyekufa kwa Afirican swine virus.

Nyinyi, nguruwe zake, hasa kama wewe utapata haki yako stahiki.
 
Wewe sasa ndiyo unaijuwa HAKI?

Tunachojuwa ni kuwa Samia ni mhalifu, na atawajibishwa kwa uhalifu wake, iwe ni kupitia huko ICC (hii itakuwa ni bahati yake nzuri sana); hau waTanzania wenyewe tumwajibishe kwa aina yoyote tutakayoona inafaa; hata kumburuza mitaani kama mzoga wa nguruwe aliyekufa kwa Afirican swine virus.

Nyinyi, nguruwe zake, hasa kama wewe utapata haki yako stahiki.
You are a shameless psychopaths & murderous bitch
 
The guilty are afraid🤣🤣🤣🤣🎵🎶🎵🎶🎵🎶🎵🎶🎵🎶🎵
 
Back
Top Bottom