Rais Samia anza kuandaa mlio utakaolia baada ya kuachia Ikulu

Samia Suluhu Hassan ni mhalifu anayesubiri tu kuwajibishwa kwa uovu anaowafanyia waTanzania.

Hili mnalijuwa vizuri na yeye mwenyewe analifahamu.
Wahalifu ni wale vijana waliochoma vitguo vya mafuta na malori ya wafanyabiashara.

Wahalifu ni wale vijana waliovunja maduka ya watu Sinza wakapora nguo pamoja na bidhaa nyinginezo.
 
Mimi nawalaumu washauri wa Raisi wamemfelisha sana:
Ningekuwa Raisi ningewafukuza kazi wote:
Wanajali mshahala kupita kazi Yao:
Kwani yeye Raisi wa mchongo ni kichuguu haoni. Suala la kuchinja na kula nyama za watu nako mpaka ushauriwe kweli?
 
Waliojitokeza kuleta vurugu huwezi kuwalinganisha na wengi sana wanaokaa mbali na siasa lakini wanamuunga mkono SSH, usidanganywe na zile harakati za tarehe 29 October tazama mengi anayoyafanya nchi nzima.

Waingereza wanasema 'Silent Majority' yaani wengi walioamua kukaa ukimya.

Kule Tanga kumefanyika ukarabati mkubwa na meli kubwa zinaweza kushushwa na kupakiwa, mji ule muda sio mrefu utapewa hadhi ya kuwa jiji.

Mengi ya namna hiyo yanafanyika, wanaoyaona wanazichukulia kuwa ni ujinga hizo kelele za Samia Must Go.
Kajielimishe wewe Tanga iliacha lini kuwa jiji
 
Dua la kuku hili halimpati mwewe. Kulia utaendelea kulia mwenyewe, uRais siyo nafasi ya mchezo. Huyo siyo mwenzio. Ana security na mafao hadi mwisho wa maisha yake.
Na hapo kwenye mwisho wa maisha yake ndo patamu sasa: Atajiona alikua mjinga sana kussuport magenge ya CCM na polisi kuuwa watu wasio na hatia, atagundua kuwa maisha ni kama upepo tu, atagundua kuwa yeye na polisi wake walichowafanyia watu nao wanapitia humo humo- death experience - tena kwa mateso yaleyale, hiyo mi mali, madaraka, haiwezi waponya- ni kufa na kuoza tu, atakutana na hao aliowatanguliza sasa, awajibu vizuri.
 
Mimi nawalaumu washauri wa Raisi wamemfelisha sana:
Ningekuwa Raisi ningewafukuza kazi wote:
Wanajali mshahala kupita kazi Yao:
Washauri unawalaumu bure.

Mshauri yeyote hufuata uelekeo na utashi wa mshauriwa.

Hata kikatiba, Rais halazimishwi kufuata ushauri wa mtu yeyote.

Kwa hiyo yote unayoyaona kuendelea nchini, yana baraka zote za Rais mwenyewe.
 
Na hapo kwenye mwisho wa maisha yake ndo patamu sasa: Atajiona alikua mjinga sana kussuport magenge ya CCM na polisi kuuwa watu wasio na hatia, atagundua kuwa maisha ni kama upepo tu, atagundua kuwa yeye na polisi wake walichowafanyia watu nao wanapitia humo humo- death experience - tena kwa mateso yaleyale, hiyo mi mali, madaraka, haiwezi waponya- ni kufa na kuoza tu, atakutana na hao aliowatanguliza sasa, awajibu vizuri.
ICC sio wajinga wa kiasi hicho. Tutawapa Katiba yetu na sheria zetu na tutawaonyesha vurugu zote zilizofanyika kuanzia kuchoma vituo vya kupigia kura, vituo vya polisi, TRA, Bank, Mahakama, shule, hospitali, sheli, biashara za watu halafu waseme kama nguvu iliyotumika ni kubwa mno, ni sawa au ni ndogo mmo. Waje tu mashahidi wapo wengi sana. ICC waanzie huko Israel, Ukraine, Rwanda, Somalia, nk kwanza
 
Samia Suluhu Hassan ni mhalifu anayesubiri tu kuwajibishwa kwa uovu anaowafanyia waTanzania.

Hili mnalijuwa vizuri na yeye mwenyewe analifahamu.
Mlisema hawezi kutoka nje ya Tanzania keshaenda Ethiopia na Dubai ndani ya mwezi mmoja.

Badilisheni goli mje na madai mengine mapya.
 
ICC sio wajinga wa kiasi hicho. Tutawapa Katiba yetu na sheria zetu na tutawaonyesha vurugu zote zilizofanyika kuanzia kuchoma vituo vya kupigia kura, vituo vya polisi, TRA, Bank, Mahakama, shule, hospitali, sheli, biashara za watu halafu waseme kama nguvu iliyotumika ni kubwa mno, ni sawa au ni ndogo mmo. Waje tu mashahidi wapo wengi sana. ICC waanzie huko Israel, Ukraine, Rwanda, Somalia, nk kwanza
Kazi yao kutanua magoli, walisema SSH hawezi kutoka nje ya Tanzania ndani ya mwezi mmoja keshakwenda Dubai na Ethiopia.
 
Mlisema hawezi kutoka nje ya Tanzania keshaenda Ethiopia na Dubai ndani ya mwezi mmoja.

Badilisheni goli mje na madai mengine mapya.
Sasa hili ni jambo la kujivunia; kwenda Dubai? Unajuwaje kama kaenda kuandaa makazi mapya, na wewe nguruwe utaachwa hapa kwenye mataa!

Yaani Dubai nayo iwe sehemu ya kukoga watu.

Ethiopia kaenda, na amejionea yeye mwenyewe hali yake ilivyo ngumu. Hakuna anayetaka kuwa karibu naye. Amekuwa ni nuksi miongoni mwa viongozi wengine.

Sasa subiri 'warrant' itoke. halafu uje hapa tena kujisemea tu usiyoyajuwa!
 
Unafurahisha sana namna unavyoamini kile unachokiandika, yaani akili yako ipo huru kabisa kuandika haya maneno yako!.

Samia yupo mpaka 2030 tuombeane uhai.
 
TUNDU LISU-Huyu alipaza sauti kubwa ya furaha na shangwe, akiwaaminisha uma kuwa Tanzania itakuwa salama zaidi bila Magufuli. Tundu Lisu aliahidi Tanzania itashitakiwa MIGA baada ya kudai haki zake za madini. Kilichompata ni kufungwa jela kwa miezi 11 hadi sasa na Tanzania hakushitakiwa MIGA.

2.GENERALI ULIMWENGU: Huyu alimchukia Magufuli tokea siku ya kwanza anaingia ofisini, sometimes ulimwengu ni miongoni mwa wachambuzi wenye mitizamo ya kiwendawazimu. Kilichompata ni biashara yake ya gazeti kufa kabisa na njaa kwake imeongezeka zaidi.

3.JOHN HECHE, Huyu ni mwanasiasa asiyefahamu nini anakihitaji, uropokaji na chuki ndiyo muhimili mkuu wa kufanya siasa, alijenga chuki kubwa kwa Dr John Pombe Magufuli na muda wote alikuwa anamuombea mabaya. John Heche alipinga ujenzi wa SGR, na uchimbaji wa bwawa la umeme la mwl nyerere akiita ni uharibifu wa mazingira na mradi huo hautafanikiwa. Kilichompata ni kushinda umakamu mwenyekiti wa Chadema lakini akafungiwa kufanya siasa yoyote ndani ya Chadema! Kwa kifupi John Heche wa kipindi cha Magufuli alikuwa huru zaidi kuliko huyu Heche wa kipindi cha Samia.

4.GODBLESS LEMA: kabla ya hapo aliwahi kuwa mvuta sigara kubwa na mwizi wa magari, kila wakati alikuwa anamtabiria kufa na hadi siku anaondoka MAGUFULI alikuwa anafanya sherehe. Kilichompata ni kuondolewa ubunge wa Arusha mjini, kuondolewa uenyekiti wa Chadema kanda ya Arusha, kutenganishwa na familia yake pamoja na biashara zake kufa zote.
5. FREEMAN MBOWE: Huyu alijirekodi video ya saa nzima akishangilia kifo cha Magufuli na hapohapo akataka chanjo ya Corona iwe ya lazima kwa watanzania wote. Kilichompata ni kufungwa miezi 8 jela na alipotoka akashindwa kwenye uchaguzi na kunyang'anywa chama alichoachiwa na mkwe wake cha Chadema. Mbowe wa sasa amepauka kama shati na akipita sehemu anazomewa kwa kuitwa Yuda Eskarioti.
6. JANUARY MAKAMBA: Huyu alikuwa bingwa wa kukejeli kila kitu kinachofanywa na Magufuli ikiwemo kuwasambazia wananchi umeme wa elfu 27. Kilichompata ni kufukuzwa uwaziri ,ubunge na kuwekwa ndani na sasa anaishi kama digidigi kwa aibu. Yani J Makamba wa kipindi cha Magufuli alikuwa huru zaidi kuliko huyu wa kipindi cha Rais Samia.
7. NAPE NNAUYE: Huyu nae alijitokeza hadharani kukejeli na kupinga ujenzi wa bwawa la umeme la mwl nyerere akiita ni uharibifu wa mazingira kukakosababisha kusinyaa kwa uchumi wa mikoa ya kusini. Kilichompata ni kufukuzwa uwaziri kwa aibu na sasa anaishi kwa aibu akijifichaficha.
8. JAKAYA KIKWETE: Huyu ametokea kuwa binadamu anayechukiwa zaidi Tanzania na octoba 29 wananchi waliendesha operesheni ya kuchoma moto mali za Jakaya Kikwete na washirika wake.
9. BENARD MEMBE: Huyu kilichompata alipomaliza kushangilia kifo cha Magufuli na yeye akafariki katika mazingira tata yasiyoeleweka hadi leo
 
Mjane wa Marehemu. Bsdo tu upo kwenye maombolezo ya lile shetani lenu la Chato
 
Back
Top Bottom