Rais Samia anza kuandaa mlio utakaolia baada ya kuachia Ikulu

Rais Samia anza kuandaa mlio utakaolia baada ya kuachia Ikulu

Nyinyi si mlisema mtakinukisha, mlitaka tufanye nini zaidi ya kuwawashie risasi wakati mnavuruga uchaguzi.

Hizo ndiyo hasira za mkizi, naamini mjifunza hamtorudia tena
Mmepiga risasi watoto na wazee waliokuwa wamelala ndani kna siyo waandamanaji enge nyinyi
 
Huu uzi ufungwe. Hii comment umemaliza. Nilikuwa najiuliza ni kweli au naota? Mtoa Mada alikuwa chawa pro leo kimemkuta nini?. Huyo mtu wenu hafai kwa kulumangia wala kwa mchuzi ananuka damu za watu kifupi aondoke tu.
Hatujui ila pengine nae kwenye tar 29 nae alizika jamaa zake wa karibu.
 
Rais Samia na mwanao andaeni mlio

Rais Samia na mwanao Abdul andaeni mlio mtakaokuwa mkilia pale muda wa kukandwa kwenu utakapofika kwa madudu mnayoyafanya mkiwa Ikulu.


1. Kisiasa
Kisiasa Rais Samia hukubaliki ndani ya CCM na nje CCM mbaya zaidi haukubaliki pia ndani ya nchi na nje ya nchi.
Ndani ya ccm kuna kundi kubwa sana lina chuki sana na wewe hasa baada kupanga watu unaotaka wawe wabunge wenye mlengo wa kutetea ufisadi na kuwakata wale wanaopinga ufisadi na wenye ushawishi ndani ya ccm. Mfano Ummy Mwalimu, Luhaga Mpina, January Makamba, Flatei Maasai wewe ndiyo uliagiza wakatwe kibabe.
Kiburi chako kikakutuma umptishe mwanao Wanu na mme wake Mchengerwa kibabe kuwa wabunge.

Chuki kutoka nje ya ccm ni kubwa baada ya wewe Rais Samia kumzuia Luhaga Mpina kugombea urais kibabe na kihuni kabisa kinyume na katiba ya nchi, kana kwamba haitoshi ukaamua kumfunga Lisu kwa kesi ya uongo ya uhaini.

Chuki kutoka nje ya nchi pia ni kubwa sana, Tanzania imenyimwa misaada kutoka kila pembe ya dunia kwa kiwango ambacho hakijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru!. Rais Samia umeharibu legacy ya Tanzania kwamba ni nchi ya amani na utulivu kutokana na mauwaji ya raia wasio na hatia uliyoyafanya siku ya uchaguzi octoba 29/ 2025 na sasa hivi unawindwa na mahakama ya ICC .
Wakati unaingia madarakani ulijitapa kufungua nchi, je umeifungua mpaka wapi?

2. Kijamii
Kijamii hamna kiongozi aliyewahi kuchukiwa Tanzania kama wewe Rais Samia kwa sababu umeendesha utekaji na uuwaji wa waziwazi kabisa bila aibu. Watu waliotekwa chini ya utawala wako ni zaidi ya 100, Mdude na Humphrey Polepole wameacha michirizi ya damu hadi leo! Kwenye kichwa chako wewe Samia unadhani wana ccm wote wamefurahishwa na kitendo chako cha kumteka balozi, katibu wa itikadi na uenezi na mjumbe wa kamati kuu ya ccm? Nikutonye tu ya kuwa wanaccm wengi wamechukizwa mno na kitendo hicho na wanasubiri tu muda ufike wakugawane .
Kana kwamba haitoshi umefanya mauaji ya kutisha tarehe 29 Oktoba kwa kuuwa watoto, wazee ,vijana na kina mama wasiokuwa na hatia yoyote na badala ya kuwaomba radhi watanzania wewe ukajitokeza kushangilia huku ukiahidi kufanya mauaji mengine zaidi ya hayo pale itakapopidi!
Andaa mlio utakaokuwa unalia siku unaenda kuonyesha ulipowazika hao watu uliowaua ili tu wewe uendelee kukalia ikulu kwa mabavu.

3 Kiuchumi.
Rais Samia umeharibu uchumi wa nchi kwa kuuza mbuga, makaa ya mawe, bandari zote na hivi karibuni umeamua kuuza hifadhi ya taifa ya dhahabu! , sasa hivi kila kona wachimbaji wadogo na wafugaji wanafukuzwa bila fidia wala utaratibu wowote.
Tukuulize swali Rais Samia baada ya nchi kuikuta ipo uchumi wa kati mpaka sasa umeifikisha uchumi wa wapi?

Kwa madudu haya Rais Samia utatetewa na nani baada ya kutoka ikulu? Nakushauri tu uanze kuandaa mlio wa kulia maana chuki na kisasi cha watanzania juu yako na uzao wako ni kubwa sana.
nonsense
 
Tufanye ni sawa samuya kafanya/anafanya makubwa...ila swali ni kwamba ni kwann watz walio wengi hawamkubali??
Hata mikoa ambayo hakukuwa na vurugu kabisa mfano Pwani, watu wachache sana walijitokeza kwenda kumpigia kura!.
Wabongo akili zao wanazijua wenyewe. Shibe inatusumbua matumboni mpaka vichwani.
 
Nyinyi si mlisema mtakinukisha, mlitaka tufanye nini zaidi ya kuwawashie risasi wakati mnavuruga uchaguzi.

Hizo ndiyo hasira za mkizi, naamini mjifunza hamtorudia tena
Uchaguzi ? Hebu sema tena usikike.

Eti kura ngapi mkuu. Kama mnadai watu walizuiwa kupiga kura, na hizo milioni 32, zilitoka wapi kama sio kujaza tu takwimu feki.

Pili. Hesabu watu wenye sifa ya kupiga kura katika idadi ya milioni 62 toa watoto chini ya miaka 18, walemavu, wasiojiweza, vikongwe waliopoteza kadi za mpiga kura kama utawapata hao milioni 32.
 
Inasikitisha sana
Pole sana. Sisi tulishaliona hili linakuja siku nyingi tangu wewe ukiwa unatutukana hapa na kuona CCM ndiyo baba na mama yako. Haya mambo usipofuata principles na ukafuata maslahi binafsi ndiyo hasara yake. Anyways, bado wewe ni jasiri kwa kuweza kubadilika.... kama umebadilika ki-ukweli
 
Rais Samia na mwanao Abdul andaeni mlio mtakaokuwa mkilia pale muda wa kukandwa kwenu utakapofika kwa madudu mnayoyafanya mkiwa Ikulu.
LAbda kama katiba hii itakuwa imezikwa tayari. Kwasababu kwa katiba hii hakuna ya kuwafanya either wako madarakani au nje. Inasikitisha lakini ndio ukweli mchungu.
 
Waliojitokeza kuleta vurugu huwezi kuwalinganisha na wengi sana wanaokaa mbali na siasa lakini wanamuunga mkono SSH, usidanganywe na zile harakati za tarehe 29 October tazama mengi anayoyafanya nchi nzima.

Waingereza wanasema 'Silent Majority' yaani wengi walioamua kukaa ukimya.

Kule Tanga kumefanyika ukarabati mkubwa na meli kubwa zinaweza kushushwa na kupakiwa, mji ule muda sio mrefu utapewa hadhi ya kuwa jiji.

Mengi ya namna hiyo yanafanyika, wanaoyaona wanazichukulia kuwa ni ujinga hizo kelele za Samia Must Go.
Tanga ni jiji siku nyingi sana,au wewe sio Mtanzania
 
Back
Top Bottom