Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,814
- 7,454
HaaaaaaaWabongo akili zao wanazijua wenyewe. Shibe inatusumbua matumboni mpaka vichwani.
Kumbe wewe ndiyo Mafwele
I understand
HaaaaaaaWabongo akili zao wanazijua wenyewe. Shibe inatusumbua matumboni mpaka vichwani.
Hayo yooote uliyoandika; na bado unamtukuza kuwa "Rais Samia"?Kwa madudu haya Rais Samia
Huyu Samuya akitusua June sijui ..!!!Rais Samia na mwanao andaeni mlio
Rais Samia na mwanao Abdul andaeni mlio mtakaokuwa mkilia pale muda wa kukandwa kwenu utakapofika kwa madudu mnayoyafanya mkiwa Ikulu.
1. Kisiasa
Kisiasa Rais Samia hukubaliki ndani ya CCM na nje CCM mbaya zaidi haukubaliki pia ndani ya nchi na nje ya nchi.
Ndani ya ccm kuna kundi kubwa sana lina chuki sana na wewe hasa baada kupanga watu unaotaka wawe wabunge wenye mlengo wa kutetea ufisadi na kuwakata wale wanaopinga ufisadi na wenye ushawishi ndani ya ccm. Mfano Ummy Mwalimu, Luhaga Mpina, January Makamba, Flatei Maasai wewe ndiyo uliagiza wakatwe kibabe.
Kiburi chako kikakutuma umptishe mwanao Wanu na mme wake Mchengerwa kibabe kuwa wabunge.
Chuki kutoka nje ya ccm ni kubwa baada ya wewe Rais Samia kumzuia Luhaga Mpina kugombea urais kibabe na kihuni kabisa kinyume na katiba ya nchi, kana kwamba haitoshi ukaamua kumfunga Lisu kwa kesi ya uongo ya uhaini.
Chuki kutoka nje ya nchi pia ni kubwa sana, Tanzania imenyimwa misaada kutoka kila pembe ya dunia kwa kiwango ambacho hakijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru!. Rais Samia umeharibu legacy ya Tanzania kwamba ni nchi ya amani na utulivu kutokana na mauwaji ya raia wasio na hatia uliyoyafanya siku ya uchaguzi octoba 29/ 2025 na sasa hivi unawindwa na mahakama ya ICC .
Wakati unaingia madarakani ulijitapa kufungua nchi, je umeifungua mpaka wapi?
2. Kijamii
Kijamii hamna kiongozi aliyewahi kuchukiwa Tanzania kama wewe Rais Samia kwa sababu umeendesha utekaji na uuwaji wa waziwazi kabisa bila aibu. Watu waliotekwa chini ya utawala wako ni zaidi ya 100, Mdude na Humphrey Polepole wameacha michirizi ya damu hadi leo! Kwenye kichwa chako wewe Samia unadhani wana ccm wote wamefurahishwa na kitendo chako cha kumteka balozi, katibu wa itikadi na uenezi na mjumbe wa kamati kuu ya ccm? Nikutonye tu ya kuwa wanaccm wengi wamechukizwa mno na kitendo hicho na wanasubiri tu muda ufike wakugawane .
Kana kwamba haitoshi umefanya mauaji ya kutisha tarehe 29 Oktoba kwa kuuwa watoto, wazee ,vijana na kina mama wasiokuwa na hatia yoyote na badala ya kuwaomba radhi watanzania wewe ukajitokeza kushangilia huku ukiahidi kufanya mauaji mengine zaidi ya hayo pale itakapopidi!
Andaa mlio utakaokuwa unalia siku unaenda kuonyesha ulipowazika hao watu uliowaua ili tu wewe uendelee kukalia ikulu kwa mabavu.
3 Kiuchumi.
Rais Samia umeharibu uchumi wa nchi kwa kuuza mbuga, makaa ya mawe, bandari zote na hivi karibuni umeamua kuuza hifadhi ya taifa ya dhahabu! , sasa hivi kila kona wachimbaji wadogo na wafugaji wanafukuzwa bila fidia wala utaratibu wowote.
Tukuulize swali Rais Samia baada ya nchi kuikuta ipo uchumi wa kati mpaka sasa umeifikisha uchumi wa wapi?
Kwa madudu haya Rais Samia utatetewa na nani baada ya kutoka ikulu? Nakushauri tu uanze kuandaa mlio wa kulia maana chuki na kisasi cha watanzania juu yako na uzao wako ni kubwa sana.
Mtu kama wewe utaammbiwa nini ili uweze kutambua kuwa Samia ni disaster juu ya nchi hii?Amefeli wapi? Nani ana marking scheme ya kuongoza Tanzania?? Uchumi unapaa, miundombinu inajengwa, wafanyakazi wanapata mishahara, utalii unakuwa, mashule na hospitali zinajengwa.
Halafu mburukenge moja kutoka Kantalamba inasema Rais anafelishwa, amefeli wapi?
Zipo nyingi sana akili za huyu muungwana, zenyewe huona mabaya kuliko mazuri.
Samia ni mhalifu anayesubiri haki yake; hana la ziada ya hapo.Zipo nyingi sana akili za huyu muungwana, zenyewe huona mabaya kuliko mazuri.
Huu mwaka atoboiDua la kuku hili halimpati mwewe. Kulia utaendelea kulia mwenyewe, uRais siyo nafasi ya mchezo. Huyo siyo mwenzio. Ana security na mafao hadi mwisho wa maisha yake.
Justice kwa watu waliuwawa Zanzibar mwaka 2001Justice for Mdude ,Soka ,Polepole , Kanguye ,Rwajabe ,Azory +249 others.
hizo ni ramli za kizamani gentlemanMuda utaongea
Ova
Haya matumaini hewaDua la kuku hili halimpati mwewe. Kulia utaendelea kulia mwenyewe, uRais siyo nafasi ya mchezo. Huyo siyo mwenzio. Ana security na mafao hadi mwisho wa maisha yake.
Matumaini FEKI mliyobaki nayo, ya kuitegemea mitutu ya bunduki kuwalinda. Ni mitutu hiyo hiyo ndiyo itakayowamaliza kwani hamna hati miliki juu yake.Dua la kuku hili halimpati mwewe. Kulia utaendelea kulia mwenyewe, uRais siyo nafasi ya mchezo. Huyo siyo mwenzio. Ana security na mafao hadi mwisho wa maisha yake.
Safari ya kurudi kwenu Rwanda imekaribiaJivueni hilo vazi la udini mlilolivaa ili watu waweze kuwajua kwa kina.
Yaani hata Luhaga Mpina mnamgwaya; huyu Samia mnamsifia kitu gani?Huyu mpiga ngoma wa Luhaga Mpina, waliishi kifalme awamu ya tano hii ya sita wamejikuta wakigeuka wanyonge baada ya mishe zao zote kuingia michanga.
Huyo ni wa Oman huyo; siyo Rwanda!Safari ya kurudi kwenu Rwanda imekaribia
Hakuna chuki na tunapenda afanikiwe , lakini rushwa, wizi na umaskini vinaongezeka kila sikuSamia anapiga kazi nyinyi endelezeeni chuki tu.
Anafanya makubwa mengi tu kwenye, hata kama unevaa miwani ya mbao lakini unayaonaKwani huyo Samia anatusaidia nini?
Nyie mliamua msipige kura bali mvuruge vituo vya kupiga kura ili mje mtoe sababu za kisenge kama hizi??Uchaguzi ? Hebu sema tena usikike.
Eti kura ngapi mkuu. Kama mnadai watu walizuiwa kupiga kura, na hizo milioni 32, zilitoka wapi kama sio kujaza tu takwimu feki.
Pili. Hesabu watu wenye sifa ya kupiga kura katika idadi ya milioni 62 toa watoto chini ya miaka 18, walemavu, wasiojiweza, vikongwe waliopoteza kadi za mpiga kura kama utawapata hao milioni 32.
Nyie tunawajua ni negative kwa kila kitu wala hatuwasikilizi. Treni imetoka hiyo tukutane 2030 tena kama utakuwa hai. Msitupotezee mudaMtu kama wewe utaammbiwa nini ili uweze kutambua kuwa Samia ni disaster juu ya nchi hii?
Wewe unaona mafanikio tu kila mahali, hakuna hata eneo alilofeli?
Unachoona wewe ni mafanikio kila anachogusa huyu mfugaji wako!
Ukiwa binaadam mwenye akili timamu na kumwona Samia kuwa kiongozi wa kumtetea juu ya jambo lolote; hiyo akili timamu ni lazima itakuwa na kasoro kubwa ndani yake!
Nafuu mngekaa kimya. Yaani wajinga wote mmekuwa manabii koko.Huu mwaka atoboi
Kwani kazi ya bunduki ni nini? Lile siyo jembe la kulimia shamba? Au siyo mdoli wa kupigia selfie.Haya matumaini hewa
Matumaini FEKI mliyobaki nayo, ya kuitegemea mitutu ya bunduki kuwalinda. Ni mitutu hiyo hiyo ndiyo itakayowamaliza kwani hamna hati miliki juu yake.
Wahalifu ni nyinyi mliochoma moto vituo vya mafuta na kuiba mali za kwenye maduka ya sinza.Samia ni mhalifu anayesubiri haki yake; hana la ziada ya hapo.