Rais Samia anayepingwa kwa uzanzibari wake ndiye amefanya makubwa kuliko hao Marais wa Tanganyika

Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo nchini ndio hoja kweli ya kuwaambia watanzania?

Hatujui hata mnakosimamia, mara maandamano, mkitoka huko mna hoja ya maisha magumu wakati Tundu Lissu ulimdai Rais Samia hela zako zote za ubunge na amekulipa, sasa hivi unakula raha tu mwenzetu maana maokoto uliyolipwa ya maana.

Tuachane na hoja hizo, ukweli ni kuwa huyo Rais ambaye analalamikiwa kuwa sio mtanganyika ndiye amefanya balaa kubwa la maendeleo hapa nchini.Hivi leo hakuna kijiji wala kata wala Tarafa wala wilaya ambazo hazina maboresho ya miradi ya elimu, kila shule ya kijiji ina miundombinu mizuri ya madarasa ukilinganisha na marais waliopita.

Rais Samia amejenga hospitali kubwa mpya za kisasa mikoani na wilayani, watoto wa Mbowe, shangazi zake, wajomba zake wanakwenda kutibiwa.

Zahanati kila kijiji zimejengwa kwa fedha za serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan.Tunamtaja yeye kwa sababu ndiye mwenye serikali.Fedha hizi hazitolewi na Mnyika, wala Heche wala Lissu, ni serikali ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan.

Miradi ya barabara sio ya kawaida, leo Lissu unaharibu barabara iliyojengwa kwa fedha za serikali ya Dkt Samia Suluhu Hassan kwa maandamano, kazi ya ujenzi wa barabara ilianza wakati wa awamu ya Kikwete lakini kwa sasa Dkt.Samia ameifungua nchi, leo unaweza kutembea umbali wa kilomita 2000 na usikutane na barabara ya vumbi.

Miradi ya maji imeboreshwa sana, kazi ya kumtua mama ndoo kichwani inaendelea.Rais Samia hatumii nguvu kujibizana na watu, yeye anahangaika na maisha ya watanzania, period.

Kwa kazi hiyo anayoifanya Rais Samia ya kujenga miundombinu ya elimu, afya, barabara nk unadhani utazungumza hoja gani zaidi ya ubaguzi wa kifala.

Hao wananchi unaowahutubia kwa kuwaambia unadai Tanganyika yako wanakushangaa kwa sababu hakuna hata mmoja kati ya hao unaowahutubia wanaojua jina hila limetokea wapi? Watanzania wengi hatuikubali hio hoja ya kututenganisha, sana sana tunawaona wajinga na mmeishiwa hoja.

Rais Samia, endelea kupiga kazi mama yetu, kazi ya kujenga nchi sio mchezo, ina misukosuko mingi, ina mawimni mengi, sisi wengine tunaopenda amani ya nchi itawale tutaendelea kukuunga mkono mwanzo mwisho hadi kieleweke.Kazi iendelee.
UKIWA NA AKILI TIMAMU HUWEZI KUANDIKA UJINGA NA UPUUZI KAMA HUU ILI TU UNAANDIKA
Hakuna aliyempinga samia kwa uzanzibari wake hakuna
Je siyo kweli kwamba SAMIA NI MZANZIBAR?
JE SIYO KWELI KWAMBA BANDAR ZA BARA ZIMEUUZWA NA ZA ZANZIBAR HAZIJAUZWA? KWANN?
JE SIYO KWELI KWAMBA WAMASAI WAMEONDOLEWA NGORONGORO ILI KUPISHA WAWEKEZAJI

kuhoji na kujibu haya siyo uchochezi dharau wala ubaguzi .labda uwe kasuku
 
Hauo yote uliyoorodhesha ni kazi na majukumu yake kama rais
 
MASIKINI TANGANYIKA YETU
 
UKIWA NA AKILI TIMAMU HUWEZI KUANDIKA UJINGA NA UPUUZI KAMA HUU ILI TU UNAANDIKA
Hakuna aliyempinga samia kwa uzanzibari wake hakuna
Je siyo kweli kwamba SAMIA NI MZANZIBAR?
JE SIYO KWELI KWAMBA BANDAR ZA BARA ZIMEUUZWA NA ZA ZANZIBAR HAZIJAUZWA? KWANN?
JE SIYO KWELI KWAMBA WAMASAI WAMEONDOLEWA NGORONGORO ILI KUPISHA WAWEKEZAJI

kuhoji na kujibu haya siyo uchochezi dharau wala ubaguzi .labda uwe kasuku
Huoni kwamba wewe ndio hamnazo? Unaweza thibitisha kwamba Bandari zimeuzwa? Kwamba ubinafsishaji ni uuzaji? Kwamba baada ya kuuzwa Sasa Tanzania hatupati chochote huko bandarini na kwamba Mapato Tunayopata kwenye Bandari hatupati tena au yamepungua?

Pili unakumbuka Chadema mara ya kwanza walianza na uzushi gani kuhusu Bandari?

Acha upumbavu na ujinga.Tangu lini Watanzania wakatambuana Kwa ukabila na maeneo wanahotoka?
 
ulisha ishi visiwani? unajua wabara kule wanaitwaje?
mimi nikisema wewe ni mkerewe nimekubagua?
 
Kuendekeza mambo ya abaguzi ni ajenda za Chadema na ACT Wazalendo.

Siku mkishika Dola kama itatokea ndio gawaneni ila chini ya CCM,never.

Nimekuuliza kuhusu hoja ya Bandari leta majibu.
 
kwahiyo ninyi ambao miaka yote shule zenu zinashika mkia, unaona elimu ambayo ninyi mmeshindwa kuiweka kichwani mwenu ni mambo ya kizungu? una tofauti gani na boko haram sasa wewe? wanaosema elimu ya kizungu ni haram wakati wanauwa wakristo kwa kutumia bunduki zilizotengenezwa kutokana na elimu ya kizungu, wanatumia simu zilizotokana na elimu ya kizungu, wanatumia youtube na mitandao mingine kurusha terror messeges na mitandao hiyo imetumia elimu ya kuzungu. tuwaweke kundi gani ninyi?
hao ni makafiri og maana hata waarabu wanawashangaa imekuaje wamepikea kwa kasi kiasi hiko wakati wenzak walikuja kwa biashara
 
Ndio maana nakwambia wewe ni punguani kama sio mpumbavu.Wakati unasali ni chache hakuna hata Mkoa mmja ulikuwa na hivyo vifaa kabla ya 2021.Kama ni bei chee why hawakununua?

Nikikuita punguani nitakuwa nimekosea? Bei za hivyo vifaa ninzaodinya Bilioni 3 CT Scan 1 ,Zaidi ya Bil.6 MRI na Kwa taarifa Yako tuu amenunua Digita X rays Kwa hospital zote za Wilaya ,hivyo vifaa mlikuwa mnavipata hospital chache sana hapa Tanzania.

Usirudie tena kumlinganisha Samia na wajinga mliozoea maneno badala ya kazi.
Mbu mbu mbu sana wewe!
 
Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo nchini ndio hoja kweli ya kuwaambia watanzania?

Hatujui hata mnakosimamia, mara maandamano, mkitoka huko mna hoja ya maisha magumu wakati Tundu Lissu ulimdai Rais Samia hela zako zote za ubunge na amekulipa, sasa hivi unakula raha tu mwenzetu maana maokoto uliyolipwa ya maana.

Tuachane na hoja hizo, ukweli ni kuwa huyo Rais ambaye analalamikiwa kuwa sio mtanganyika ndiye amefanya balaa kubwa la maendeleo hapa nchini.Hivi leo hakuna kijiji wala kata wala Tarafa wala wilaya ambazo hazina maboresho ya miradi ya elimu, kila shule ya kijiji ina miundombinu mizuri ya madarasa ukilinganisha na marais waliopita.

Rais Samia amejenga hospitali kubwa mpya za kisasa mikoani na wilayani, watoto wa Mbowe, shangazi zake, wajomba zake wanakwenda kutibiwa.

Zahanati kila kijiji zimejengwa kwa fedha za serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan.Tunamtaja yeye kwa sababu ndiye mwenye serikali.Fedha hizi hazitolewi na Mnyika, wala Heche wala Lissu, ni serikali ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan.

Miradi ya barabara sio ya kawaida, leo Lissu unaharibu barabara iliyojengwa kwa fedha za serikali ya Dkt Samia Suluhu Hassan kwa maandamano, kazi ya ujenzi wa barabara ilianza wakati wa awamu ya Kikwete lakini kwa sasa Dkt.Samia ameifungua nchi, leo unaweza kutembea umbali wa kilomita 2000 na usikutane na barabara ya vumbi.

Miradi ya maji imeboreshwa sana, kazi ya kumtua mama ndoo kichwani inaendelea.Rais Samia hatumii nguvu kujibizana na watu, yeye anahangaika na maisha ya watanzania, period.

Kwa kazi hiyo anayoifanya Rais Samia ya kujenga miundombinu ya elimu, afya, barabara nk unadhani utazungumza hoja gani zaidi ya ubaguzi wa kifala.

Hao wananchi unaowahutubia kwa kuwaambia unadai Tanganyika yako wanakushangaa kwa sababu hakuna hata mmoja kati ya hao unaowahutubia wanaojua jina hila limetokea wapi? Watanzania wengi hatuikubali hio hoja ya kututenganisha, sana sana tunawaona wajinga na mmeishiwa hoja.

Rais Samia, endelea kupiga kazi mama yetu, kazi ya kujenga nchi sio mchezo, ina misukosuko mingi, ina mawimni mengi, sisi wengine tunaopenda amani ya nchi itawale tutaendelea kukuunga mkono mwanzo mwisho hadi kieleweke.Kazi iendelee.
We ni kenge, kama wengine, hakuna jipya analofanya, ni mwizi kama wezi wengine
 
Chawa
 
Nimekuuliza hapa Mipango.ya Magufuli ni ipi hiyo unayosema Bora? Na Kwa nini yeye hakifikia hayo Malengo badala yake Samia alofikia?

Uliwahi msikia Magufuli anazungumzia kilimo.achilia mbali kutenga Bajeti?

Uliwahi msikia Magufuli anazungumzia uwekezaji achilia mbali kuvutia wawekezaji na Biashara?

Uliwahi msikia Magufuli anazungumzia Ajira achilia mbali Kuajiri?

Uliwahi msikia anazungumzia mamabo ya uvuvi au mifugo?

Uliwahi msikia anazungumzia

Huna hata aibu kumtaja,ona mfano mmja wa aibu hapa 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C6hR1-ktT7i/?igsh=amViZTh2dXEzMzdm

Mazao ya Kilimo.yanachuana na Madini Kuingizia pesa za Kigeni
[URL unfurl="true"

Kabla ya kukujibu hayo nataka kuuliza swali,
Huyo unayemsema unafahamu mpaka sasa yupo katika kipindi cha hayati Magufuli?
Unataka kusema hiyo mipango alitakiwa atekeleze kipindi hiki alichokufa?
Au haujui alikuwa na muda?
Huo muda mnaosema samia, samia ndio muda wa matekelezo ya Magufuli.
 
kwahiyo ninyi ambao miaka yote shule zenu zinashika mkia, unaona elimu ambayo ninyi mmeshindwa kuiweka kichwani mwenu ni mambo ya kizungu? una tofauti gani na boko haram sasa wewe? wanaosema elimu ya kizungu ni haram wakati wanauwa wakristo kwa kutumia bunduki zilizotengenezwa kutokana na elimu ya kizungu, wanatumia simu zilizotokana na elimu ya kizungu, wanatumia youtube na mitandao mingine kurusha terror messeges na mitandao hiyo imetumia elimu ya kuzungu. tuwaweke kundi gani ninyi?
Mkuu kanyaga shingo bado anapumua umbwa hii
 
Kabla ya kukujibu hayo nataka kuuliza swali,
Huyo unayemsema unafahamu mpaka sasa yupo katika kipindi cha hayati Magufuli?
Unataka kusema hiyo mipango alitakiwa atekeleze kipindi hiki alichokufa?
Au haujui alikuwa na muda?
Huo muda mnaosema samia, samia ndio muda wa matekelezo ya Magufuli.
Kuwa kipindi Cha hayati Magufuli ndio unapata pesa?

Pili hii ni awamu ya 6 sio ya 5.

Amekaa miaka 5 plus,Kwa nini hakufanya hayo? Mbona Samia ameweza miaka 3 plus?

Mipango sio matumizi
 
Rais yupi wa kumfikia Samia iwe Kwa kazi au maandamano.

Kwenu wapi huko ambako mbolea kilo 7,000 😂😂😂😂.Kwa akili Yako ndogo tuu hujiuliza Kwa nini uzalishaji wa mazao Umeongezeka mara 2 zaidi ya miaka iliyopita kama mbolea ni bei ghali hivyo?

Kwa nini huo uzalishaji haikuwa mkubwa kabla ya Samia wakati mnanunua kilo ya mbolea buku au jero? 🤣🤣🤣😁😁👇👇

View: https://twitter.com/KilimoForum/status/1785972371997815102?t=cTEQsoG5bU54G-yZdryX_Q&s=19

Tabu mnaongelea makaratasi lakini ukija huku mtaani mambo hayako hivyo,mnandanganya Samia kwa takwimu za uongo,nenda kwenye duka lolote la pembejeo uliza bei ya mbolea aina ya Yurea inauzwa sh ngapi?kwanza kukupa hiyo bei wanakutizama usoni kwanza au utumie mtu wanayemfahamu la sivyo unaabiwa mbolea amna,mnadanganywa na Bashe na BBRM kumbe utapeli mtupu, Subiri mwakani uone njaa,Kama uzalishaji umeongezeka mbona bei ya mchele ahishuki?juzi hapa mmetoka kupokea mchele wa msaada kutoka America.Hizo takwimu danganya machawa wenziwe.
 
Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo nchini ndio hoja kweli ya kuwaambia watanzania?

Hatujui hata mnakosimamia, mara maandamano, mkitoka huko mna hoja ya maisha magumu wakati Tundu Lissu ulimdai Rais Samia hela zako zote za ubunge na amekulipa, sasa hivi unakula raha tu mwenzetu maana maokoto uliyolipwa ya maana.

Tuachane na hoja hizo, ukweli ni kuwa huyo Rais ambaye analalamikiwa kuwa sio mtanganyika ndiye amefanya balaa kubwa la maendeleo hapa nchini.Hivi leo hakuna kijiji wala kata wala Tarafa wala wilaya ambazo hazina maboresho ya miradi ya elimu, kila shule ya kijiji ina miundombinu mizuri ya madarasa ukilinganisha na marais waliopita.

Rais Samia amejenga hospitali kubwa mpya za kisasa mikoani na wilayani, watoto wa Mbowe, shangazi zake, wajomba zake wanakwenda kutibiwa.

Zahanati kila kijiji zimejengwa kwa fedha za serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan.Tunamtaja yeye kwa sababu ndiye mwenye serikali.Fedha hizi hazitolewi na Mnyika, wala Heche wala Lissu, ni serikali ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan.

Miradi ya barabara sio ya kawaida, leo Lissu unaharibu barabara iliyojengwa kwa fedha za serikali ya Dkt Samia Suluhu Hassan kwa maandamano, kazi ya ujenzi wa barabara ilianza wakati wa awamu ya Kikwete lakini kwa sasa Dkt.Samia ameifungua nchi, leo unaweza kutembea umbali wa kilomita 2000 na usikutane na barabara ya vumbi.

Miradi ya maji imeboreshwa sana, kazi ya kumtua mama ndoo kichwani inaendelea.Rais Samia hatumii nguvu kujibizana na watu, yeye anahangaika na maisha ya watanzania, period.

Kwa kazi hiyo anayoifanya Rais Samia ya kujenga miundombinu ya elimu, afya, barabara nk unadhani utazungumza hoja gani zaidi ya ubaguzi wa kifala.

Hao wananchi unaowahutubia kwa kuwaambia unadai Tanganyika yako wanakushangaa kwa sababu hakuna hata mmoja kati ya hao unaowahutubia wanaojua jina hila limetokea wapi? Watanzania wengi hatuikubali hio hoja ya kututenganisha, sana sana tunawaona wajinga na mmeishiwa hoja.

Rais Samia, endelea kupiga kazi mama yetu, kazi ya kujenga nchi sio mchezo, ina misukosuko mingi, ina mawimni mengi, sisi wengine tunaopenda amani ya nchi itawale tutaendelea kukuunga mkono mwanzo mwisho hadi kieleweke.Kazi iendelee.
Nchii ina watu wapumbavu sana
 
Kugawa aridhi ya watanganyika kwa Waarabu ndio mambo makubwa?Masai wako wanateseka huko kisa Waarabu, Mpaka bandari ambapo Serikali ya awamu ya 5 ,ilikopa mabillrion kwa ajili ya uboreshaji nayo kagawa kwa Mwarabu kwa kisingizio cha uwekezaji,uku kwa miaka 3 tu ameongeza deni mala dufu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom