moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 128,758
- 702,210
Mkuu ChoiceVariable nimeusoma uzi huu kwa utulivu tangu mwanzo, nimevutiwa sana na utetezi wako wenye ushahidi ulioshiba.Huyo ndio Mtanganyika mwenzenu.Kwa Samia mumekosa hoja mnaanza kumtambulisha Kwa njia ya ukabila na ubaguzi wa maeneo.
Hiyo.Dhambi imekita mizizi huko Chadomo
Kama wewe ni msemaji wa rais basi nakupa hongera kwa namna ulivyotimiza majukumu yako.
Ingawa baadhi ya wachangiaji walikuwa na hoja lakini sijaona viambatanisho cha kutetea hoja zao kama ambavyo wewe umefanya.
Hapo kabla sikujua baadhi miradi iliyotekelezwa na inayotekelezwa, lakini kupitia uzi huu na hasa ushahidi ulioweka hapa nasema asante kwake mama.