residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,020
- 9,609
Mkuu, mfalme Suleiman aliomba hekima kwa Bwana Mungu,hivyo huwezi kumfananisha na binadamu yoyote.Yote ni sawa tu hata mahakamani maamuzi huchukua muda lakini badi hukumu inaweza kukosewa mmuzi shihi kwako ni pale utavyoyapokea wewe. Mfano mtu kadulumiwa ng'ombe na polisi halafu kaha kushitaki kwako wew kama kiongozi halafu unawaachia polis wachunguze.
Maamuzi ya papo kwa papo yanahitaji umakini wa hali ya juu na hofu ya Mungu ni sawa na kuibu maswali ya papo kwa papo. Hii njia ndio aliyikuwa anaitumia mfalme Suleman enzi hizo.