GE2025 Rais Samia amuondolea hadhi ya Ubalozi Ndg Humphrey Polepole

GE2025 Rais Samia amuondolea hadhi ya Ubalozi Ndg Humphrey Polepole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Eti manufaa ya umma, umma gani inayozungumziwa hapa?
Mie ndo kwa mara ya kwanza nasikia neno "kwa manufaa ya umma" tangia enzi ya awamu ya kwanza.

Watu wala kwa urefu wa kamba zao waachiwa tu.
 
Kama huenjoy kwa sababu wewe sio balozi, bora ukajinyonge tu, wewe ni hasara kwa taifa!
Mkuu sijakupata nikajinyonge kwa lipi, au una stress za maisha? Pole eti. Maana YANGU mi ni kua unaeza enjoy LAKIN Kuna favour huwezi PATA kiurahisi. Matajiri huingia siasani ILI wazipate HIZO favour. Unazani wakina chief god love, hersi na WENGNE hufuata MSHAHARA. Kuna favour wanazitafuta haziitaji HELA UPO HAPO.


MFANO MDOGO ,Ni rahisi SANA polepole kama balozi WA marekani kutembea na king'ora katika harakati zake kuliko mo dewji. Hayo ni baadhi ya mambo yanayo wasukuma WATU KWENYE siasa mkuu.


Kwishaaaa
 
Oktoba 2025 Hakuna UCHAFUZI, tutafanya juu chini kuuzuia usifanyike
noReformsNoElection.PNG
 
Kuwajibika ni suala gumu sana kwa mataifa ya kiafrika, na pale inapotokea kufanyia hivyo unahujumiwa kwa uwajibikaji wako.
 
Ukimsikiliza Polepole hizi ni moves ambazo anazitegemea ata kufukuzwa chama, lakini sidhani kama ataacha kuongea baada ya hapo.

Kitendawili ni kwamba anaongea kwa kujiamini sana na Polepole ni mtu ambae anajua power za raisi na mwenyekiti wa CCM keshafanya kazi nao at senior level kwenye chama na serikalini.

Lazima nyuma yake ana back-up kubwa sana vinginevyo sio mpuuzi wa kujiamini vile kwa kumtegemea Warioba.
Kuna kubwajinga kafungua pandora box
Now the gates of hell are open
Kuna mtu kaingia 18...ngoja tununue popcorn.
Akili kubwa haijawahi kushindwa!
 
Kwani mtu akipewa ubalozi, mwenye kukitambua hicho Cheyo ni Serikali tuu au mteuzi

Sisi wananchi, bado tutakuwa tukimuita aliyehudumu Kama Balozi wa Tanzania nchini Cuba
Ndugu H Polepole

Hizi zingine ni mbwembwe tu za 1oos
Sawa kumwita huzuiliwi lakini kuna privileges nyingi atakuwa amezikosa! Huko kumwita kwako itakuwa mbwembwe tu!
 

Unapokuwa na hadhi ya ubalozi (Ambassadorial Status):​

  1. Heshima na hadhi ya kidiplomasia:
    • Unaendelea kuheshimiwa kama senior diplomat hata kama hujatumwa nje ya nchi.
    • Unaweza kuhudumiwa kama mjumbe maalum wa taifa kwa baadhi ya shughuli.
  2. Marupurupu ya ki-diplomasia:
    • Katika baadhi ya nchi, mabalozi wa zamani waliotunukiwa hadhi ya ubalozi hupata marupurupu maalum ya uzeeni (ambassadorial pension benefits).
    • Wengine hupewa usafiri, walinzi, au posho maalum endapo wanashiriki katika shughuli za taifa.
  3. Nafasi za kimkakati:
    • Unaweza kuteuliwa kuwa mjumbe katika taasisi za kimataifa au majukumu ya kitaifa kwa sababu ya hadhi hiyo.
    • Hadhi hiyo hufungua milango ya ushawishi na mawasiliano ya juu (networking).
❌ Ukikosa au ukitenguliwa hadhi ya ubalozi:
  1. Kupoteza heshima ya kidiplomasia rasmi:
    • Huwezi tena kujiwasilisha kama “Balozi wa zamani” kwa heshima ya kitaifa.
    • Huwezi kushiriki tena kama mwakilishi wa taifa bila kuteuliwa upya.
  2. Kupoteza marupurupu:
    • Kama marupurupu ya ki-diplomasia yalikuwa yameambatana na hadhi hiyo, unaweza kuyapoteza (kulingana na sera ya nchi).
    • Unabaki tu na mafao ya kawaida ya kustaafu kama mtumishi wa umma.
  3. Athari za kisiasa na kijamii:
    • Kwa baadhi, kutenguliwa hadhi hiyo ni ishara ya kukosa tena imani ya kisiasa au kiutawala.
    • Inaweza kuathiri nafasi ya mtu kualikwa kwenye shughuli rasmi au kushiriki katika mijadala ya kitaifa.

🔍 “Je, mabalozi hulipwa marupurupu mpaka wanakufa?”​

  • Si wote.Inategemea sera ya nchi:
    • Nchi zingine hulipa pension na marupurupu ya heshima hadi uzee kwa mabalozi waliotumikia kwa uadilifu.
    • Nyingine hulipa mafao ya kawaida tu kama kwa watumishi wengine wa umma.
    • Baadhi ya mabalozi hupewa hadhi ya Balozi wa heshima maisha yote (Ambassador-at-large au Ambassador Emeritus), lakini si wote.
C&P
Hakuna jambo la aibu km kushabikia aibu watu wanayekea ni aibu
Kubambikiana kesi ni aibu
Uchaguzi ni aibu

Hakuna heshima yoyote unazidi kuaibika
 
Hiyo hadhi ya ubalozi ukiwa nayo unapata faida gani na ukiikosa unapata faida gani ?


Au na mabolozi hulipwa marupurupu mpaka wanakufa ?
Anapoteza pakubwa sana maana kuanzia leo hatajwi tena kama Mh Balozi,atabaki kuitwa Polepole.
 
Back
Top Bottom