GE2025 Rais Samia amuondolea hadhi ya Ubalozi Ndg Humphrey Polepole

GE2025 Rais Samia amuondolea hadhi ya Ubalozi Ndg Humphrey Polepole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
We upeo wako hauwezi kumuelewa HPP. Acha tunaomuelewa tuendelee kumjadili hoja zake. Wewe nenda kale ugali na maharagwe yako kabla hayajapoa.
 
Anapoteza pakubwa sana maana kuanzia leo hatajwi tena kama Mh Balozi,atabaki kuitwa Polepole.
Mbona hapa mimi namtaja kama Balozi Humphrey Polepole. Nitaendela kumuita hivyo, kwani Mwalimu akistaafu au Dr unadhani hiyo hadhi inafutika, sisi bado tunaendelea kumtambulisha kama Balozi HPP, Mtoto wa Tanganyika.
 
Waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba. Huyu baadae atarudishwa ccm.

Polepole ni project ya mfumo ku undermine treason case ya lissu.
Kumbuka Cyprian majura Musiba alivyotumika.
 
Waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba. Huyu baadae atarudishwa ccm.

Polepole ni project ya mfumo ku undermine treason case ya lissu.
Kumbuka Cyprian majura Musiba alivyotumika.
Sisi wana CCM Asilia Balozi HPP tutaendelea kumtabua kama Balozi na Kama mwanachama shujaa ndani ya Chama na nadani ya Nchi hii, After 2030 Anarudishiwa hadhi zake zote rasmi. Aibu itawashika wabaya wake,
 
Una maisha kumzidi?
Pia hata hazina aliyo nayo Kichwani Balozi HPP, huyo Chawa hawezi kamwe kumfikia. Balozi HP already is an International Figure, and big guys like on his side. He can live and work any where in this Planet, and uncle Sam is admiring him too.
 
View attachment 3432675
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Dk Samwel Shelukindo imeeleza kwamba, imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu, Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka ikitaarifu kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyo nayo chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametengua uteuzi wa Hamphrey Polepole, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kumuondolea hadhi ya ubalozi.

Aidha, Rais Samia, kwa mamlaka aliyonayo chini ya sheria ya utumishi wa umma amemuachisha kazi Polepole kwa manufaa ya umma.

Kwa mujibu wa barua hiyo, uamuzi huo umeanza tangu Julai 16, 2025.
Ametengua vipi uteuzi wakati mtu kaandika barua ya kujiuzulu na katuonesha muda mrefu tu?
 
Ametengua uteuzi wa mtu aliye jiuzulu?? Pathetic.
Kwani taratibu za kiofisi naza kiserikali zikoje?.Kama huzijui ni vyema ukajifunza badala ya kuwaona wanaofanya wanakosea.Mtu yoyote akiacha kazi kwa njia yoyote lazima mwajiri athibitishe kumwachisha au kumfukuza kwa taratibu za kazi za mkataba wake wa ajira husika.Kwenye kazi kuna mambo mengi kati ya mwajiri na mwajiriwa,kuanzia maslahi,haki na wajibu.Sasa kama polepole ana haki zake ambazo serikali inapaswa imlipe unadhani zitatolewa kwa utaratibu gani?.Je kama polepole ana mambo yakukabidhi kwa serikali atazikabidhije kama hakuna document rasmi zakuteminate ajira yake.Mambo ni mengi na hakujakosewa kitu.
 
Not pathetic ni kawaida kwani asipofanya hivyo ataidai hiyo status popote atakapoenda,kwa sasa hataweza kuitimia diplomatic passport aliyonayo na privileges zake zote
Watanzania wengi ni wajuaji ambao hawajui kitu chochote.
 
Kwani taratibu za kiofisi naza kiserikali zikoje?.Kama huzijui ni vyema ukajifunza badala ya kuwaona wanaofanya wanakosea.Mtu yoyote akiacha kazi kwa njia yoyote lazima mwajiri athibitishe kumwachisha au kumfukuza kwa taratibu za kazi za mkataba wake wa ajira husika.Kwenye kazi kuna mambo mengi kati ya mwajiri na mwajiriwa,kuanzia maslahi,haki na wajibu.Sasa kama polepole ana haki zake ambazo serikali inapaswa imlipe unadhani zitatolewa kwa utaratibu gani?.Je kama polepole ana mambo yakukabidhi kwa serikali atazikabidhije kama hakuna document rasmi zakuteminate ajira yake.Mambo ni mengi na hakujakosewa kitu.
Ahsante ,wanamihemko wanahemka tu.
 
Back
Top Bottom