Kiazi yule anapelekwa pelekwa puta tu na wahuni!!.😂 😂 Chura kiziwi bhana!
Kiazi yule anapelekwa pelekwa puta tu na wahuni!!.😂 😂 Chura kiziwi bhana!
😂😂😂😂😂Ametengua uteuzi wa mtu aliye jiuzulu?? Pathetic.
Umepotea jmnTayana wangu...I miss you more
Hii nchi kweli chanel ya vichekesho mbinguni
We chawa, huyu mamako akili kisoda...uwezo mdogo mnoo!!Nyumbu hamjawahi kuwa na akili ndo maana Mpina amewakimbia na kwenda act-wazalendo. Nyie mtabaki hivi hivi kucheza na kupiga ngoma msiyoijua............hiyo ndo CCM. Oktoba mapemaaaaaaaa!!!!
Hivi barua yake aliandika lini?Ametenguliwa au barua yake ya kujiuzulu imekubaliwa?
Ila anawahenyesha si mchezo.......siye tunafurahi tu.😃😄😃We chawa, huyu mamako akili kisoda...uwezo mdogo mnoo!!
Wewe kichwa chako kitakuwa kimejaa magimbi, hiyo kauli yako ni sawa na kumtukana aliyemteua.Huyu hata kuwa balozi wa nyumba kumi alikua hafai. Hii ya kumpa ubalozi Malawi Kisha Cuba ndio ilimfanya ubongo ukasinyaa na kuongeza ujinga.
"amemuachisha kazi" ? Mbona aliacha mwenyewe? DuhAmetengua uteuzi wa mtu aliye jiuzulu?? Pathetic.
Muukize Babu silaa atakuambiaHiyo hadhi ya ubalozi ukiwa nayo unapata faida gani na ukiikosa unapata faida gani ?
Au na mabolozi hulipwa marupurupu mpaka wanakufa ?
Huyu mama ni kichekesho. Huyo mtu ameshaondoka na hataki kazi yenu. Mnamfukuzaje? Mmechanganyikiwa.View attachment 3432675
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Dk Samwel Shelukindo imeeleza kwamba, imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu, Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka ikitaarifu kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyo nayo chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametengua uteuzi wa Hamphrey Polepole, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kumuondolea hadhi ya ubalozi.
Aidha, Rais Samia, kwa mamlaka aliyonayo chini ya sheria ya utumishi wa umma amemuachisha kazi Polepole kwa manufaa ya umma.
Kwa mujibu wa barua hiyo, uamuzi huo umeanza tangu Julai 16, 2025.
Kuwa na adabu kwa kiongozi wa nchi.Kiazi yule anapelekwa pelekwa puta tu na wahuni!!.
Ijazwe na Abduli.View attachment 3432675
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Dk Samwel Shelukindo imeeleza kwamba, imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu, Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka ikitaarifu kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyo nayo chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametengua uteuzi wa Hamphrey Polepole, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kumuondolea hadhi ya ubalozi.
Aidha, Rais Samia, kwa mamlaka aliyonayo chini ya sheria ya utumishi wa umma amemuachisha kazi Polepole kwa manufaa ya umma.
Kwa mujibu wa barua hiyo, uamuzi huo umeanza tangu Julai 16, 2025.
Wezi wanafanya maigizo, Pole pole, mpina ni planned mission ili kupoteza umma na issue ya NRNE, kama ilivyokuwa kwa Mamvi, Sumaye, tumewashtukiaWizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Dk Samwel Shelukindo imeeleza kwamba, imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu, Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka ikitaarifu kwamba Rais wa Jamhuri ya