Huko MSD aliweza kwa sababu taratibu za kitaasisi zinaheshimika; MSD hatapaweza kwa sababu ya siasaHuyu ndugu Mavere Tukai ni "kichwa" haswaa.....
Ni "pharmaceutical management specialist"....
Jamaa yuko FOCUSED na DETERMINED sana.....
Alikuwa pale USAID....wamarekani wanamfahamu kwa uwezo mkubwa alionao....watammiss sana.....
Imefika muda atutumikie katika MSD.....
Kila la heri kwake kamarada Mavere Tukai ,amen🙏
#Siempre JMT🙏
#YetzerHatov🙏
Mambo ya kijinga mara uambiwe toa hela kugharamia mbio za mwenge mara toa hela ugharamie kikao cha ccm, ujinga mtupu