Na Bandari imo?Anadai tuna Rasilimali nyingi sana!
Siku hizi simuelewagi kabisaa mama.“Mtuambie wenzetu wamefanya uchawi gani kukua kiuchumi, na sisi tunakosa nini, tuna rasilimali hatuzitumii? au kitu gani, ila niseme ni wazi wenzetu wamepiga hatua kubwa sana licha ya kuwa sisi tumewazidi kwenye rasilimali diplomasia ya uchumi ifanye kazi hapa, tujiulize tuliachwa wapi?” - Rais SuluhuSamia
View attachment 2718932
Haiwezekani tuna kiongozi mkubwa wa nchi bado anaamini masuala ya giza katika kupata maendeleo makubwa ya kiuchumi , it look like hana a,b, c yoyote ili nchi ipate maendeleo ya kiuchumi ifanye nini ?
Hivi hili ni taifa la namna gani mtu yoyote asiwe na uelewa na masuala ya nchi kupiga hatua anapewa nafasi kubwa ya kuwa kiongozi wa nchi katika dira ya maendeleo.
Nikisema kuwa hili taifa linaongozwa na kipofu wa masuala ya maendeleo na uongozi nitakuwa nakosea jamani ?
Kwamba Rais hafahamu kuwa ili China, Russia, Qatar, U.S.A, Germany, Singapore, Malaysia, Korea, Japan n.k walifanya nini ili kupata maendeleo yao ya kiuchumi ?
Kwa kumsaidia nampa hawa watu wawe walimu kwake, ni nini kifanyike ili taifa lipate maendeleo makubwa ya uchumi na aache kuwatupia mzigo mabalozi ambao hata yeye akiaamua kuwa serious anaweza kujifunza nini kutoka kwa hawa viongozi mazuri yao economically na kutuvusha hapa tulipo:-
Francisco Franco
Park Chung Hee
Chiang kai shek
Deng Xiaoping
Urho Kekkonen
Mahathir Mohamad
Muammar Gaddafi
Lee Kuan Yew
Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum
Kufa kwa kanumba nako kumechangia“Mtuambie wenzetu wamefanya uchawi gani kukua kiuchumi, na sisi tunakosa nini, tuna rasilimali hatuzitumii? au kitu gani, ila niseme ni wazi wenzetu wamepiga hatua kubwa sana licha ya kuwa sisi tumewazidi kwenye rasilimali diplomasia ya uchumi ifanye kazi hapa, tujiulize tuliachwa wapi?” - Rais SuluhuSamia
View attachment 2718932
Haiwezekani tuna kiongozi mkubwa wa nchi bado anaamini masuala ya giza katika kupata maendeleo makubwa ya kiuchumi , it look like hana a,b, c yoyote ili nchi ipate maendeleo ya kiuchumi ifanye nini ?
Hivi hili ni taifa la namna gani mtu yoyote asiwe na uelewa na masuala ya nchi kupiga hatua anapewa nafasi kubwa ya kuwa kiongozi wa nchi katika dira ya maendeleo.
Nikisema kuwa hili taifa linaongozwa na kipofu wa masuala ya maendeleo na uongozi nitakuwa nakosea jamani ?
Kwamba Rais hafahamu kuwa ili China, Russia, Qatar, U.S.A, Germany, Singapore, Malaysia, Korea, Japan n.k walifanya nini ili kupata maendeleo yao ya kiuchumi ?
Kwa kumsaidia nampa hawa watu wawe walimu kwake, ni nini kifanyike ili taifa lipate maendeleo makubwa ya uchumi na aache kuwatupia mzigo mabalozi ambao hata yeye akiaamua kuwa serious anaweza kujifunza nini kutoka kwa hawa viongozi mazuri yao economically na kutuvusha hapa tulipo:-
Francisco Franco
Park Chung Hee
Chiang kai shek
Deng Xiaoping
Urho Kekkonen
Mahathir Mohamad
Muammar Gaddafi
Lee Kuan Yew
Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum
Unachekesha na wewe embu acha aisee,hoja si iyo unayosema hoja ni yeye kutojua kwanini maendeleo yamepatikana kule.Hiyo ni figure of speech lakini hili lijinga halijaelewa.
Hata kwenye kiingereza huwa kuna maneno kama hayo kwa mfano mtu akiwa anasifia goli zuri lililofungwa anasema "that was pure magic"!
Hana maana ya uchawi.
Kwa iyo yeye hajui walichofanyaNdiyo hiyo inayo itwa kupinga kila Jambo
Hata huo msemo hujui
Mchawi wa soka
Mchawi wa hesabu
Mchawi wa kompyuta
Maana yake sio ulozi unaotaka tuamini
Kilicho ongelewa hapo ni kitu gani cha ajabu walicho Fanya wenzetu
So hajui mbinu za kufikia maendeleo?Hiyo ni tafsida ya lugha, sio kama unavyotaka kumtuhumu. Angeweza nyofoa neno uchawi akaweka neno "mbinu". Simkubali Sa100 lakini sijaona kosa kwenye sentensi hii
Hapo the grand master ni mmoja tu“Mtuambie wenzetu wamefanya uchawi gani kukua kiuchumi, na sisi tunakosa nini, tuna rasilimali hatuzitumii? au kitu gani, ila niseme ni wazi wenzetu wamepiga hatua kubwa sana licha ya kuwa sisi tumewazidi kwenye rasilimali diplomasia ya uchumi ifanye kazi hapa, tujiulize tuliachwa wapi?” - Rais SuluhuSamia
View attachment 2718932
Haiwezekani tuna kiongozi mkubwa wa nchi bado anaamini masuala ya giza katika kupata maendeleo makubwa ya kiuchumi , it look like hana a,b, c yoyote ili nchi ipate maendeleo ya kiuchumi ifanye nini ?
Hivi hili ni taifa la namna gani mtu yoyote asiwe na uelewa na masuala ya nchi kupiga hatua anapewa nafasi kubwa ya kuwa kiongozi wa nchi katika dira ya maendeleo.
Nikisema kuwa hili taifa linaongozwa na kipofu wa masuala ya maendeleo na uongozi nitakuwa nakosea jamani ?
Kwamba Rais hafahamu kuwa ili China, Russia, Qatar, U.S.A, Germany, Singapore, Malaysia, Korea, Japan n.k walifanya nini ili kupata maendeleo yao ya kiuchumi ?
Kwa kumsaidia nampa hawa watu wawe walimu kwake, ni nini kifanyike ili taifa lipate maendeleo makubwa ya uchumi na aache kuwatupia mzigo mabalozi ambao hata yeye akiaamua kuwa serious anaweza kujifunza nini kutoka kwa hawa viongozi mazuri yao economically na kutuvusha hapa tulipo:-
Francisco Franco
Park Chung Hee
Chiang kai shek
Deng Xiaoping
Urho Kekkonen
Mahathir Mohamad
Muammar Gaddafi
Lee Kuan Yew
Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum
Hapo sasa panaWeza kuwa na hoja kwa njia ya swali.So hajui mbinu za kufikia maendeleo?
Mbona majibu anayo kwenye report ya CAG, mama anatutafuta Maneno huyu.Unamteua KINGAI halafu unauliza wanafanyaje!!
Ukiona hivyo ujue system imefeli big time. Yaan mtu mpaka anakuwa rais hajui nini wenzetu wamefanya au nini kifanyike ili tutoke hapa.Rais Samia Suluhu Hassan anasema :
"Sote tunafahamu kuwa miaka ya 1960/70 nchi yetu na nchi za bara la Asia zilikuwa na uchumi unaolingana, lakini 'baada ya muda' wenzetu wametupita tena sana. Mfano Thailand kwa miaka hiyo ilikuwa na 'GDP Per Capita' ya Dola 166 na Tanzania tulikuwa 165. Leo Thaliland wako Dola 7,495 na sisi tuko 1,227.
Kwa hiyo hao mnaokwenda upande huo (Mabalozi) mtuambie wenzetu wamefanya uchawi gani kwenda haraka hivyo na sisi tunakosa nini? 'mentality' au vitu gani? Tuna 'resource' hatuzitumi? Mtuambie wenzetu
wamefanya nini na sisi tufanye nini."
Yaani Rais kushindwa kuelewa suala kama Hilo, why nchi kama Thailand imepaa kiuchumi? Kweli hapa katiba imetukatili..ndio maana nchi zingine Rais akifariki wanaitisha uchaguzi mkuu ili wananchi wampime kama anatosha kukalia hicho kiti na je ana uelewa mpana wa dhana ya maendeleo?
Utapataje maendeleo wewe mwenyewe umewaruhusu mbuzi wako kila mmoja wao "ALE KWA UREFU WA KAMBA YAKE"!