Anatuharibia mambo yetu kweli kweli huyu mama.Dunia imegawanyika katika pande kuu mbili, mataifa ya Magharibi (US, EU, UK) na Mashariki (Urusi, China, North Korea, nchi za Kiarabu. Kila upande una mitazamo yake kiuchumi, kiulinzi na kidemokrasia.
Wakati wa vita vya kiuchumi au vita halisi, Wamarekani huwa wana msemo wao.
"Either you are with us, or you are with the enemy".
Kitendo cha Samia kwenda Urusi kipindi hiki kinatafsiriwa na Marekani kama ku-side na adui wake.
It's a bad calculation, waliomshauri kwenda Urusi hawakumshauri vizuri na wala hawataifanya Marekani kusitisha mipango yake ya kuiwekea Tanzania vikwazo.
Nchi imejaa hippopotumus tu. Inabidi tuwapunguze
Aende UAE Ili museme anaendelea kuwauzia nchi wajomba zake waarabu, au sio? Kiufupi ni kwamba hakuna atakachofanya nyie haters a.k.a nyumbu wa lissu na kitima msiseme, msiponde, msimnyali n.k. Anachokifanya Sasa, kuendelea na mambo yake, ndicho Bora zaidi.Hakukuwa na ulazima wa kwenda moscow kipindi hiki cha mtanzuko wa kisiasa nchini na nje ya nchi. Madola ya magharibi yatazidi kupata hasira zaidi, labda angeenda UAE
πππ
Nyumbu hawawezi kukuelewa hapa. Yenyewe ipo kukariri tu... pale demu mkali unaemchimba biti anapopita na mbabe zaidi yako!
π
Kishimbe wa kishimbe ππππ... pale demu mkali unaemchimba biti anapopita na mbabe zaidi yako!
π
Ila inauma ee kumuona usiyempenda akizidi kunawiei Huku hater ukizidi kudhoofika.