The Family Wallet
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 5,370
- 8,624
Ujinga wa kiwango cha lami 😁😁😁mjengewe msikiti badala ya chuo au kiwanda, hii ni akili au ujinga?
Ujinga wa kiwango cha lami 😁😁😁mjengewe msikiti badala ya chuo au kiwanda, hii ni akili au ujinga?
umasikini wenu umewaathiri ongeza na dini yenu hiyo kutwa kuombaomba mjengewe misikiti kana kwamba ni kitu cha maana kumbe ni ujinga mtupu wa kurutubisha umasikini zaidi. Ombeni mjengewe vitu vya maana kurahisisha maisha yenu yawe bora. Wapi na lini uliona misikiti inaboresha maisha ya watu zaidi ya kuwapumbaza akili?Mada ni msikiti kama unayo ajenda ya kiwanda peleka ukajengewe!
Nafikiri asubuhi umevuta bangi mimi sipo hilo eneo nimekuta mada hapa jf wewe una nini cha maana kama si maskini mwenye kumiliki techno mbovu..wala sijui huo msikiti upo wapi kama wenyewe wameona hitaji ni msikiti kwanini wasiombe..makanisa mangapi wameomba na hatukusikia umefungua huo mlango wa kinyesi ukisema chochote poor brain kuvamia watu kujifanya unajua kama una chuki za kidini wewe pambana peke yako tupo jukwaa huru kila mmoja kutoa maoni kama unataka kuboresha maisha kwa kujengewa kiwanda nenda kaombe!umasikini wenu umewaathiri ongeza na dini yenu hiyo kutwa kuombaomba mjengewe misikiti kana kwamba ni kitu cha maana kumbe ni ujinga mtupu wa kurutubisha umasikini zaidi. Ombeni mjengewe vitu vya maana kurahisisha maisha yenu yawe bora. Wapi na lini uliona misikiti inaboresha maisha ya watu zaidi ya kuwapumbaza akili?
mkiambiwa dini yenu inawaathiri vibaya muwe mnaelewa. Ukobazi ni mbaya sana, ona akili yako ilivyo na povu jingiNafikiri asubuhi umevuta bangi mimi sipo hilo eneo nimekuta mada hapa jf wewe una nini cha maana kama si maskini mwenye kumiliki techno mbovu..wala sijui huo msikiti upo wapi kama wenyewe wameona hitaji ni msikiti kwanini wasiombe..makanisa mangapi wameomba na hatukusikia umefungua huo mlango wa kinyesi ukisema chochote poor brain kuvamia watu kujifanya unajua kama una chuki za kidini wewe pambana peke yako tupo jukwaa huru kila mmoja kutoa maoni kama unataka kuboresha maisha kwa kujengewa kiwanda nenda kaombe!
Kichwa cha habari kimebadilishwaMbona hajaomba kura embu sikilizeni klipu yote msikimbilie kukoment tu
Kabisaaabora chuo kingejengwa kuliko huo upuuzi kujengwa
Hapoo pia kafanya upuuuzi tuuuWakati Mama Samia anachangia 150m za ujenzi wa kanisa mbona hamkupiga kelele? Acheni roho mbaya
Dini inazalisha magaidi dunia nzima hiiDini ya uongo hiyooo
Hiyo ni RUSHWA KAMILI. Lakini TAKUKURU wanajifanya hawajasikia hilo.Rais Samia ameahidi kujenga msikiti wa kisasa wenye hadhi ya Rais katika Kitongoji cha Migude, Kijiji cha Milo, Kata ya Vigwaza Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani.
Hayo yamesemwa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Walid Alhad Omary wakati alipotembelea msikiti huo ambao hali yake haidhirishi katika kufanya ibada jambo ambalo lilikuwa ni kilio cha muda mrefu kwa wakazi wa Kijiji cha Milo.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mara baada ya kuuona msikiti huo Sheikh Alhad Walid Omary amewatoa wasiwasi wakazi wa eneo hilo kwamba msikiti huo utajengwa na Rais Dkt Samia ili wakazi hao waweze kufanya ibada zao katika mazingira yaliyo bora.
Kwa upande wake Sheikh wa Kata ya Vigwaza, Shaban Haroun Mshauri amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan huku wakimuombea kila lenye heri yeye pamoja na wasaidizi wake.
Chanzo cha ahadi ya kujengwa kwa msikiti huo katika kijiji cha Migude kilitokana na video iliyosambaa mitandaoni kupitia kwa Mwandishi wa habari nchini Mbarouk Khan.
Credit: EFM Tanzania
Soma, Pia