Rais Samia afanya teuzi za Mwenyekiti CBE na Mjumbe Baraza la Ushindani

Kila siku teua,temesha hamna kazi zingine? Du kwa kweli tumepatikana
Nachelea kusema hii ni chuki binafsi. Ingekuwa wewe katika position yake usinge teua? Na unawezaje kuteua wapya bila kutengua au kustaafisha? Kwani Mwendazake alikuwa anafanyaje? Nadhani aliteua na kutengua mpaka mwezi wa mwisho wa uhai wake. Mpeni mama space ajipange.
 
Kumbe kulikuwa na Vita kubwa Mama asiwe Rais?. Hata hivyo Mama ana Utu Sana kumwacha nyoka Bashiru.Hii Vita ya eti Majambazi yamezidi waasisi ni hao hao waliotaka Mama ajiuzulu ili apewe mwingine waliemtaka.
Yah Mama atakuwa alipigwa vita sana na watu wa karibu na hayati. Na hii safari ya pili ya Mwanza itakuwa ni maana fulani zaidi ya hizo shughuli maalum za kiserikali.
 
Nachelea kusema hii ni chuki binafsi. Ingekuwa wewe katika position yake usinge teua? Na unawezaje kuteua wapya bila kutengua au kustaafisha? Kwani Mwendazake alikuwa anafanyaje? Nadhani aliteua na kutengua mpaka mwezi wa mwisho wa uhai wake. Mpeni mama space ajipange.
Ukitaka kuishi maisha ya furaha Jamhuri ya Jamii Forums, hakikisha unaishi kama kinyonga, ya mbele ya nyuma,

Alichokifanya Magufuli kwa Chadema atakifaya na Samia hicho hicho na ndipo mtakapokuja kufahamu CCM, ni wale wale.
 
Haka kamama

Sanasana toka kashike kijiti cha mwendazake

Kanafanya Ziara na Kufanya Teuzi.
kazi zingine anzifanya kama kawaida, ila haziendi kwnye press kama hivi..

ni kama tumbo tu, linasaga chakula ulichokula bila wewe kujua wakt ukiendelea na shughuli zako.
 
Ukitaka kuishi maisha ya furaha Jamhuri ya Jamii Forums, hakikisha unaishi kama kinyonga, ya mbele ya nyuma,

Alichokifanya Magufuli kwa Chadema atakifaya na Samia hicho hicho na ndipo mtakapokuja kufahamu CCM, ni wale wale.
hapo ni kama vile unabet tu kwa muhindi mechi ijayo itakuwaje..

kuweka tu utofauti, tayr mama karuhusu mikutano ya siasa ya vyama vya upinzani inayo endelea nchi nzima tofauti na awamu ya 5. lakn zaidi media zimeanza kuwa huru kuripoti na upinzani, sio habari za chama kimoja tu pekee
 
Mh.Rais ameteua VIJANA WENZETU WENGI WENYE UZALENDO KUNTU......

Kongole kwa sahibu yangu Dr.Suleiman Serera.....U REALLY DESERVE El COMMANDANTE!

Kongole kwa sahibu yangu Jabir Shekimweri......U DESERVE BRODA!!!

Kila la heri kwa wote WALIOTEULIWA....

Mungu awaongoze mkatutumikie vyema ,Aaamin Aaaaamin🙏🙏

#KaziInaendelea
#StaunchSupporterOfSSH
#DieHardFanOfCCM
#SiempreCCM
#VivaCCM
 
R.i.p profesa mwageni
Screenshot_20210727-151240_1.jpg
 
Rais Samia amemteua Prof. Eleuther Anthony Mwageni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara(CBE). Uteuzi umeanza Juni 7

Pia amemteua Dkt. Neema Bhoke Mwita kuwa mjumbe wa Baraza la Ushindani (Fair Competition Tribunal). Uteuzi unaanza Juni 8, 2021

Dkt. Mwita amechukua nafasi ya Dkt. Theodora Nemboyao Mwenegoha ambaye ameteuliwa kuwa Jaji Mahakama Kuu ya Tanzania
View attachment 1812588
UNFORTUNATELY PROF MWAGENI TAYARI AMECHUKULIWA NA KORONA LEO ASUBUHI KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI. MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI AMENI
 
UNFORTUNATELY PROF MWAGENI TAYARI AMECHUKULIWA NA KORONA LEO ASUBUHI KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI. MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI AMENI
Hii ni habari ya kweli au? Aisee. Imenigusa. Niliwahi kufanya nae kazi kipindi cha nyuma. He was indeed a very good and humble man. MHSRIP
 
UNFORTUNATELY PROF MWAGENI TAYARI AMECHUKULIWA NA KORONA LEO ASUBUHI KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI. MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI AMENI
Really so they don’t even cross check this appointments before announcing. Normally you consult wth the person if he accepts the appointment before announcing. Now we know how it goes, it’s useless system. RIP
 
Back
Top Bottom