Rais Samia aduwaza wachumi nchini

Kweli kabisa, Na sasa mifukoni pesa zimerudi, mfumuko wa bei umeshuka sana , mambo ni mazuri sana....
 
Yeye ni Mungu wa kuzuia ukame? Kwa akili zake sasa ndio unaona anakomaa na gas Ili hata ukame ukija usipate Mgao.

Samia anawanyima usingizi,go Samia go hadi nyongo ziwatokee puani 👇

View attachment 2018239

View attachment 2018240

View attachment 2018241

View attachment 2018242

View attachment 2018243

View attachment 2018244

View attachment 2018245

View attachment 2018246

View attachment 2018247
Wewe ni taahira, unaongoza nchi kwa kutegemea mungu? Si ungeacha basi huyo mungu mwenyewe aiongoze? Kwa hiyo sasa lawama zinahamia kwa mungu kwa kuleta ukame?😂
 
Hilo jarida linaongelea watanzania kama watanzania au watu gani? Maana mtaani kila mtu analia gharama za maisha na mfuko wa bei mbaya zaidi kuwahi kutokea tangu tupate uhuru.
Ugumu wa maisha Mbaya zaidi to ka uhuru?
We jamaa itakuwa hujui historia ya tz ama umezaliwa juzi haf una komenti tu,
We ulikuwepo miaka ya 80 huko ukaona hali ya uchumi ilivyo kuwa?
Mbona changamoto za uchumi za tanzania kila nchi inazo
Hata enzi za magufuli watu walilia uchumi mgumu, na kupita 'vyuma vimekaza', au hamkumbuki
 
Mto rufiji upo km 150 kutoka Dar una maji mengi sana na yote yanaishia baharini na kupotea bure

Tulikuwa tunaambiwa tuna gesi nyingi sana huko Mtwara, imeshindikana nini kuzalisha umeme kwa kutumia gesi hiyo badala yake mnaenda kuwasha mitambo ya kuzalisha umeme inayotumia mafuta ya iptl?

Kwanini serikali inaendelea kununua ndege wakati wananchi wake hawana maji wala umeme?

Tuna serikali kweli au tuna kikundi cha watu wapumbavu na wezi?
 
Wewe ni taahira, unaongoza nchi kwa kutegemea mungu? Si ungeacha basi huyo mungu mwenyewe aiongoze? Kwa hiyo sasa lawama zinahamia kwa mungu kwa kuleta ukame?😂
Walioongoza nchi kwa kutegemea kudra za Mungu ni awamu ya 5,,sasa hivi awamu ya 6 tunaweka mipango ambayo haitategemea kudra za Mungu huku tukimuomba Mungu Hali itengamae tupate mda wa kujitayarisha..
 
Ugumu wa maisha Mbaya zaidi to ka uhuru?
We jamaa itakuwa hujui historia ya tz ama umezaliwa juzi haf una komenti tu,
We ulikuwepo miaka ya 80 huko ukaona hali ya uchumi ilivyo kuwa?
Mbona changamoto za uchumi za tanzania kila nchi inazo
Hata enzi za magufuli watu walilia uchumi mgumu, na kupita 'vyuma vimekaza', au hamkumbuki
Shida siyo hela, shida ipo kwenye matumizi ya hovyo kama hayo ya kununua ndege wakati hata maji hamna
 
Mto rufiji upo km 150 kutoka Dar una maji mengi sana na yote yanaishia baharini na kupotea bure

Tulikuwa tunaambiwa tuna gesi nyingi sana huko Mtwara, imeshindikana nini kuzalisha umeme kwa kutumia gesi hiyo badala yake mnaenda kuwasha mitambo ya kuzalisha umeme inayotumia mafuta ya iptl?

Kwanini serikali inaendelea kununua ndege wakati wananchi wake hawana maji wala umeme?

Tuna serikali kweli au tuna kikundi cha watu wapumbavu na wezi?
Aulizwe Mwendazake na walimu wa uongozi akina pole pole..

Mama keshasema wanageukia gas ku rescue ni vile will take some time.
 
Mi nipo morogoro mjini,kwa kipindi cha march hadi leo hakuna hata barabara ya km moja iliyojengwa.TARURA na TANROAD wao ni kazi za kuzibua mifereji,kuchora alama za barabara na kuziba viraka tu...
Sasa hapo ndio u natakiwa ujue, wana morogoro wachague wabunge na madiwani wanaojituma

Hivi unadhani samia anaijua barabara ya kingolwira kwenda panga we ama njia ya nane nane kwenda tungi? Hapo zigo la lawama ni la akina abood na wana morogoro na manispaa yao sio samia
 
Shida siyo hela, shida ipo kwenye matumizi ya hovyo kama hayo ya kununua ndege wakati hata maji hamna
Halafu wewe nawe, unataka zitumike bilioni ngapi kuleta maji ya miujiza, na Ushaambiwa jua linawaka la ukame vyanzo vinakauka,
Sasa ukame kuna ujanja gani wa kupambana nao? Zaidi ya kusubiri mvua zinyeshe,
 
Kazi kubwa na nzuri anazozifanya Rais Samia Suluhu Hassan zimewaduwaza wachumi,

Hii ni baada ya akiba ya fedha za kigeni ( Gross official foreign reserves ) kuongezeka zaidi ndani ya miezi miwili tu nakufikia $6.7BL sawa na TZS 15.41 kutoka $5.9BL sawa na TZS 13.57 mwezi Septemba...
Hayo mahela waga ni ya nini kama kila siku tunaenda kukopa, maji umeme full mgao na plus hakuna ajira wala dalili za watu kuajiriwa huwa kuna point gani ya kuwa na hizo hela sasa
 
Sasa hapo ndio u natakiwa ujue, wana morogoro wachague wabunge na madiwani wanaojituma

Hivi unadhani samia anaijua barabara ya kingolwira kwenda panga we ama njia ya nane nane kwenda tungi? Hapo zigo la lawama ni la akina abood na wana morogoro na manispaa yao sio samia
Mpaka wapate majanga ndiyo wageukie gesi wakati walikuwa wakiimba kila siku tumepata gesi umeme utakuwa historia cha ajabu wanawasha iptl halafu ndiyo wajipange kugeukia gesi

Ni upumbavu mtupu
 
Halafu wewe nawe, unataka zitumike bilioni ngapi kuleta maji ya miujiza, na Ushaambiwa jua linawaka la ukame vyanzo vinakauka,
Sasa ukame kuna ujanja gani wa kupambana nao? Zaidi ya kusubiri mvua zinyeshe,
Mpumbavu pekee ndiyo anaweza kusubiri mvua zinyeshe huku ana mito mikubwa mingi na maziwa makubwa kila kona ya nchi yake ila sababu ya upumbavu wake anasubiri mvua na wakati huo huo anaendelea kununua ndege
 
Mpaka wapate majanga ndiyo wageukie gesi wakati walikuwa wakiimba kila siku tumepata gesi umeme utakuwa historia cha ajabu wanawasha iptl halafu ndiyo wajipange kugeukia gesi

Ni upumbavu mtupu
Watu ka nyie utakuta hajawahi kuongoza hata Kikao cha familia, kazi kukomaa kukosoa watu wanao giza nchi
 
Mpumbavu pekee ndiyo anaweza kusubiri mvua zinyeshe huku ana mito mikubwa mingi na maziwa makubwa kila kona ya nchi yake ila sababu ya upumbavu wake anasubiri mvua
Sasa hiyo miradi hata ikianza itakamilika kwa wiki mbili hizi izi za kusubiri mvua zinyeshe,

Hata wakianza hiyo miradi haitokamilika kesho,

Ukame is reality of life mzee hauishi peponi, uko duniani kwenye mafuriko ukame dhoruba umaskini na majanga mengineyo kibao
 
Some time so that iptl takes her portion
Bila shaka lazima mitambo ya mafuta ichukue nafasi hapo ni kuweka mafuta na kuwasha.Gas hadi uagize mitambo uje uifunge uitest sio leo na hapo ukame haukusubirii..

Hata JK aliwasha mitambo ya mafuta kwa vile MKapa na yeye mwenyewe awamu zao za mwanzo hawakuwekeza kwenye umeme wakawa wanategemea mitambo ya Maji..Hata hivyo JK hadi anaondoka ndio aliacha huu umeme wa gas 66%..Sasa ndugu yenu anawadanganya eti gas ya mabeberu kumbe anatafuta mradi wa kupiga pesa

Mwendazake was useless ,unadhani angekuwepo saizi na hali hii ya ukame angewasha Nini? Stiglaz? 😂😂..Alikuwa mjinga tuu laiti angechukua walau til.1 saizi tungekuwa na Kinyerezi 4 na hivyo no Mgao na angeendelea stiglaz yake..

Kwa taarifa yako mitambo ya umeme wa mafuta ilizimwa.huko.Dar but Rukwa,Kigoma,Songea,Katavi na baadhi ya Wilaya tunatumia magenereta kama kawa.
 
Back
Top Bottom