#COVID19 Rais Museveni akiri makosa ya majibu ya vipimo vya ugonjwa wa COVID-19

Uganda siyo mapapai!
 

Hata takwimu xa mabukixi yavorona mvhini Merikani xinatia shaka sana - si ajabu wapinzani wa Trump wamekula njama na baadhi ya wafanyakazi wa maabara ku-inflate idadi ya wagonjwa wa corona lengo lao likiwa ni kuwatia hofu wananchi ili wamuone Trump kashindwa kukabili maambukizi ya corona hivyo katika uchaguzi wa October Trump ashindwe katika kura za kuwania Uraisi kwa term ya pili, sioni kama Trump amekwisha shitukia mbinu hizo za wapinzani wake.
 
Kumekucha na makucha ya nyati.
Nachotegemea nikuona sasa mgogoro wa mipakani na kale kanchi fulani hivi,
Ukibeza,ujibebe.
 
Nafikiri ni matatizo ya vipimo dunia nzima.
 
Wewe ni Trumpet? Hii ni Lugha ya Trumpets.
 
Hizi test kit zilianza kulalamikiwa kitambo tu huko Europe na America hata kabla Corona haijapiga hodi Africa,Product deviation ni jambo la kawaida tu na sio kwenye test kit za Corona tu.
 
Hii aina ya uandishi wa hivi,peleka huko Fesibuku sio humu JF.
 
*xa, mabukixi, yavorona mvhini,huu ujinga peleka kwenye magroup ya vikoba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…