#COVID19 Rais Museveni akiri makosa ya majibu ya vipimo vya ugonjwa wa COVID-19

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuna uzembe umefanyika Maabara na kupelekea Watu kuambiwa wana corona wakati hawana >> tuna maambukizi 679 ya corona hadi sasa Uganda ila kati ya hawa Watu baadhi yao wameambiwa wana corona baada ya vipimo vya Maabara pale Makerere wakati hawana, Maabara imekosa umakini, inaonekana kuna wafanyakazi wachache Maabara na huenda walichoka”

Museveni anatoa kauli hii ukiwa umepita mwezi mmoja tangu Rais Magufuli aliposema vipimo vya maabara ya corona vina shida na kupelekea kuundwa kwa Tume ambayo ilithibitisha kauli ya JPM na hatua kuchukuliwa ikiwemo kuanza kutumika kwa Mabaara mpya, JPM alitoa kauli hiyo akiwa Chato May 03,2020 .

Rais Magufuli alisema>> "Kama tunapeleka Sampuli za wanyama bila wao kujua na zinakuwa positive inawezekana wafanyakazi wa Maabara wanatumika na Mabeberu, Kama mapapai, mbuzi wana corona, basi WHO wanapaswa kufanya kazi kubwa ya ziada, kwa hili lililotokea lazima Kuna watu wameambiwa wana corona wakati hawana"
#MillardAyoUPDATES
Uganda siyo mapapai!
 
Hata takwimu xa mabukixi yavorona mvhini Merikani xinatia shaka sana - si ajabu wapinzani wa Trump wamekula njama na baadhi ya wafanyakazi wa maabara ku-inflate idadi ya wagonjwa wa corona lengo lao likiwa ni kuwatia hofu wananchi ili wamuone Trump kashindwa kukabili maambukizi ya corona hivyo katika uchaguzi wa October Trump ashindwe katika kura za kuwania Uraisi kwa term ya pili, sioni kama Trump amekwisha shitukia mbinu hizo za wapinzani wake.
 
Kumekucha na makucha ya nyati.
Nachotegemea nikuona sasa mgogoro wa mipakani na kale kanchi fulani hivi,
Ukibeza,ujibebe.
 
Hata takwimu xa mabukixi yavorona mvhini Merikani xinatia shaka sana - si ajabu wapinzani wa Trump wamekula njama na baadhi ya wafanyakazi wa maabara ku-inflate idadi ya wagonjwa wa corona lengo lao likiwa ni kuwatia hofu wananchi ili wamuone Trump kashindwa kukabili maambukizi ya corona hivyo katika uchaguzi wa October Trump ashindwe katika kura za kuwania Uraisi kwa term ya pili, sioni kama Trump amekwisha shitukia mbinu hizo za wapinzani wake.
Nafikiri ni matatizo ya vipimo dunia nzima.
 
Wewe ni Trumpet? Hii ni Lugha ya Trumpets.
 
Hizi test kit zilianza kulalamikiwa kitambo tu huko Europe na America hata kabla Corona haijapiga hodi Africa,Product deviation ni jambo la kawaida tu na sio kwenye test kit za Corona tu.
 
Hata takwimu xa mabukixi yavorona mvhini Merikani xinatia shaka sana - si ajabu wapinzani wa Trump wamekula njama na baadhi ya wafanyakazi wa maabara ku-inflate idadi ya wagonjwa wa corona lengo lao likiwa ni kuwatia hofu wananchi ili wamuone Trump kashindwa kukabili maambukizi ya corona hivyo katika uchaguzi wa October Trump ashindwe katika kura za kuwania Uraisi kwa term ya pili, sioni kama Trump amekwisha shitukia mbinu hizo za wapinzani wake.
Hii aina ya uandishi wa hivi,peleka huko Fesibuku sio humu JF.
 
Hata takwimu xa mabukixi yavorona mvhini Merikani xinatia shaka sana - si ajabu wapinzani wa Trump wamekula njama na baadhi ya wafanyakazi wa maabara ku-inflate idadi ya wagonjwa wa corona lengo lao likiwa ni kuwatia hofu wananchi ili wamuone Trump kashindwa kukabili maambukizi ya corona hivyo katika uchaguzi wa October Trump ashindwe katika kura za kuwania Uraisi kwa term ya pili, sioni kama Trump amekwisha shitukia mbinu hizo za wapinzani wake.
*xa, mabukixi, yavorona mvhini,huu ujinga peleka kwenye magroup ya vikoba
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom