Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 7,818
- 10,863
Lazima Kuna wajeda wanamuunga mkono Kabila.Kwa kutumia vyombo gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima Kuna wajeda wanamuunga mkono Kabila.Kwa kutumia vyombo gani?
Congo mpaka madini yaishe, ndio amani, itakuwepo.Hawa jamaa Amani wataendelea kuiskia redioni...jamaa anasahu kua Kabila bado ana influence Jeshini. Now wamemuondolea ulinzi atahisi wanataka kumuua, to protect himself atataka kufanya mapinduzi...then machafuko yataanza upyaaa
Sijui inashindikana nini kumpa heshima yake na maisha yaendelee.Hawa jamaa Amani wataendelea kuiskia redioni, jamaa anasahu kua Kabila bado ana influence Jeshini. Now wamemuondolea ulinzi atahisi wanataka kumuua, to protect himself atataka kufanya mapinduzi, then machafuko yataanza upyaaa
Hizo story za vitabuni tu,subiri uone kama hata risasi 1 itarushwa.Huwezi pangua wanajeshi walipangwa kwa miaka 18 kwa muda wa miaka miwili...Pia Wanajeshi hawawezi kua Loyal kwa wanasiasa bali kwa wanajeshi wenzao na kwao Kabila ni mwenzao, thus why wanasiasa hua wanajitahidi kuweka ma Generali wanaokubalika Jeshini ukifeli hapo mapinduzi ni nje nje.
Kabila mwenyewe anataka kuendelea kua na influence kwny serikali mpya,yaani alidhani Felix atakubali kua boya nae amegoma.Sijui inashindikana nini kumpa heshima yake na maisha yaendelee
fall from the grace. Jiwe akiona hii habari hato Toka madarakani ng'ooKabila mwenyewe anataka kuendelea kua na influence kwny serikali mpya,yaani alidhani Felix atakubali kua boya nae amegoma.
😂😂😂 hapo lazima neno vita vya kiuchumi linafuata.fall from the grace ... Jiwe akiona hii habari hato Toka madarakani ng'oo
Mapinduzi kwa kutumia nn mzee? Yaani ni sawa useme jk anaubavu wa kumpindua magu.
Unachekesha kweliHuwezi pangua wanajeshi walipangwa kwa miaka 18 kwa muda wa miaka miwili...Pia Wanajeshi hawawezi kua Loyal kwa wanasiasa bali kwa wanajeshi wenzao na kwao Kabila ni mwenzao, thus why wanasiasa hua wanajitahidi kuweka ma Generali wanaokubalika Jeshini ukifeli hapo mapinduzi ni nje nje.
Alikuwa anafanya firigisu sana kumkwamisha rais na alikuwa na mpango wa kugombea tena.Sijui inashindikana nini kumpa heshima yake na maisha yaendelee
Bora ht sisi story za vitabuni nadhani ww huna habari na yanaoyoendelea congo...kabla hata ya hii issue ya kabila risasi zinaruushwa daily na sio moja za kutosha...Hizo story za vitabuni tu,subiri uone kama hata risasi 1 itarushwa.
Wanajeshi wako loyal kwa anayewaneemesha tu,ambae kwa sasa ni Felix tu.
Huo uzalendo wa wanajeshi kuwa loyal kwa mjeshi mwenzao ulishaisha tangu enzi za che guevala huko.
Kwa hio balozi wa Italy ameuwawa na wanajeshi wa kabila?Bora ht sisi story za vitabuni nadhani ww huna habari na yanaoyoendelea congo...kabla hata ya hii issue ya kabila risasi zinaruushwa daily na sio moja za kutosha...
Juzi tu wametoka kumuua balozi wa Italy...hapa issue sio ht risasi moja kurushwa issue hapa tuzungumzie possibility ya Coup d'état.
Issue ya Balozi wa italy ilikua kukuonesha tu kua congo kila siku risasi zinarindima. Na huwezi kuiongelea Congo kwa kuiangalia kinshasa peke yake. Izungumzie Congo km inchi sio Congo km Kinshasa.Kwa hio balozi wa Italy ameuwawa na wanajeshi wa kabila?
Tunaongelea yanayoendelea kinshasa wewe unaleta story za Goma?Unaijua geography ya Congo lkn?
Africa tunakwama wapiHii ndio Afrika!
Hapo utasikia Kabila kakimbilia msituni anaunda kundi lake na anapata kuungwa mkono na watu anampindua Tchisekedi
Ni kweli, wanajeshi huwa royal kwa wenzao, huyo tshekedi wanaweza hata mpindua.Huwezi pangua wanajeshi walipangwa kwa miaka 18 kwa muda wa miaka miwili...Pia Wanajeshi hawawezi kua Loyal kwa wanasiasa bali kwa wanajeshi wenzao na kwao Kabila ni mwenzao, thus why wanasiasa hua wanajitahidi kuweka ma Generali wanaokubalika Jeshini ukifeli hapo mapinduzi ni nje nje.