Rais mstaafu wa DR Congo, Joseph Kabila apokonywa walinzi

Hawa jamaa Amani wataendelea kuiskia redioni, jamaa anasahu kua Kabila bado ana influence Jeshini. Now wamemuondolea ulinzi atahisi wanataka kumuua, to protect himself atataka kufanya mapinduzi, then machafuko yataanza upyaaa
Sijui inashindikana nini kumpa heshima yake na maisha yaendelee.
 
Huwezi pangua wanajeshi walipangwa kwa miaka 18 kwa muda wa miaka miwili...Pia Wanajeshi hawawezi kua Loyal kwa wanasiasa bali kwa wanajeshi wenzao na kwao Kabila ni mwenzao, thus why wanasiasa hua wanajitahidi kuweka ma Generali wanaokubalika Jeshini ukifeli hapo mapinduzi ni nje nje.
Hizo story za vitabuni tu,subiri uone kama hata risasi 1 itarushwa.

Wanajeshi wako loyal kwa anayewaneemesha tu,ambae kwa sasa ni Felix tu.

Huo uzalendo wa wanajeshi kuwa loyal kwa mjeshi mwenzao ulishaisha tangu enzi za che guevala huko.
 
Unachekesha kweli
 
Bora ht sisi story za vitabuni nadhani ww huna habari na yanaoyoendelea congo...kabla hata ya hii issue ya kabila risasi zinaruushwa daily na sio moja za kutosha...
Juzi tu wametoka kumuua balozi wa Italy...hapa issue sio ht risasi moja kurushwa issue hapa tuzungumzie possibility ya Coup d'état.
 
Kwa hio balozi wa Italy ameuwawa na wanajeshi wa kabila?

Tunaongelea yanayoendelea kinshasa wewe unaleta story za Goma?Unaijua geography ya Congo lkn?
 
Issue ya Balozi wa italy ilikua kukuonesha tu kua congo kila siku risasi zinarindima. Na huwezi kuiongelea Congo kwa kuiangalia kinshasa peke yake. Izungumzie Congo km inchi sio Congo km Kinshasa.

Hata Mapinduzi ya 1997 ya Kabila Senior hayakuanzia Kinshasa yalianzia Kaskazini mashariki ilipo Goma. So ht haya ya sasa hivi km kuanza yatanzia huko huko nnapoleta story zake ambako ww unasema mimi sijui Geography yake.

Muda ni mwalimu mzuri sana...lets hope tuendelee kua na uzima, jf na huu uzi uendelee kuwepo.
 
Huwezi pangua wanajeshi walipangwa kwa miaka 18 kwa muda wa miaka miwili...Pia Wanajeshi hawawezi kua Loyal kwa wanasiasa bali kwa wanajeshi wenzao na kwao Kabila ni mwenzao, thus why wanasiasa hua wanajitahidi kuweka ma Generali wanaokubalika Jeshini ukifeli hapo mapinduzi ni nje nje.
Ni kweli, wanajeshi huwa royal kwa wenzao, huyo tshekedi wanaweza hata mpindua.
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom