Rais mstaafu wa DR Congo, Joseph Kabila apokonywa walinzi

Hawa jamaa Amani wataendelea kuiskia redioni...jamaa anasahu kua Kabila bado ana influence Jeshini. Now wamemuondolea ulinzi atahisi wanataka kumuua, to protect himself atataka kufanya mapinduzi...then machafuko yataanza upyaaa
Kila mtu anaeneo lake la influence, kundi la wafanyabiashara wa congo si la kupuuza
 
Back
Top Bottom