britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Ni hatari
Anapinduliwa afu unakuta afisa wa jeshi la nchi jirani anapewa uwaziri wa ulinzi.Uzuri wa ule ukanda kuna wachezaji wanachezea timu za mataifa mawili kwa wakati mmoja.Ni kweli, wanajeshi huwa royal kwa wenzao, huyo tshekedi wanaweza hata mpindua.
Mkuu ndo kwamba hakunaga tena mahondaw ama?Huko uhasama hauwezi kuisha...
Huyo hakutaka kuondoka, na Sasa ana mpango mathubuti wa kurejea Ikulu.Kabila si ameshastaafu , anataka awe nani tena?
Kama ana ushauri atoe lakini si kutaka afanye maamuzi.
Ana bahati amestaafu urais akiwa kijana,, atakula sana maisha akitulia.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Umewaza kwa kina sana muda utasema kwakweli. Ukisikia tu kaja nchi za karibu na Congo basi VITA imeanza.Hii ndio Afrika!
Hapo utasikia Kabila kakimbilia msituni anaunda kundi lake na anapata kuungwa mkono na watu anampindua Tchisekedi
Hawezi kufanya ujinga huo huku akijuwa nchi za SADCC wanajua vizuri undani na ajenda za siri za Kabira kuhusu Congo DRC - wanajua ni nani mfadhiri mkubwa wa machafuko nchini Kongo akiwa na lengo la kupora jimbo la KIVU - mzizi wa fitina hupo pale - majeshi ya SADCC yasikubali ujinga huu kutokea - Mgabe,Zuma na Angola ndio walielewa vizuri njama hizo - sina shaka warithi wao watazima ujinga huo kirahisi sana.Hawa jamaa Amani wataendelea kuiskia redioni...jamaa anasahu kua Kabila bado ana influence Jeshini. Now wamemuondolea ulinzi atahisi wanataka kumuua, to protect himself atataka kufanya mapinduzi...then machafuko yataanza upyaaa
Sasa kwanini wasimshughulikie huyo Msumbufu?Hawezi kufanya ujinga huo huku akijuwa nchi za SADCC wanajua vizuri undani na ajenda za siri za Kabira kuhusu Congo DRC - wanajua ni nani mfadhiri mkubwa wa machafuko nchini Kongo akiwa na lengo la kupora jimbo la KIVU - mzizi wa fitina hupo pale - majeshi ya SADCC yasikubali ujinga huu kutokea - Mgabe,Zuma na Angola ndio walielewa vizuri njama hizo - sina shaka warithi wao watazima ujinga huo kirahisi sana.
kabisahapo lazima neno vita vya kiuchumi linafuata.
Vipi kama na yule jamaa yetu akiamua kung'ang'ania pale MagogoniHii ndio Africa. Kuna watu wakiona haya hawatoki madarakani ng'ooo
Kwani haiwezekani????....kupinduliwa anapinduliwa tu ikiwa kuna mikakati madhubuti ya kumpindua...Mapinduzi kwa kutumia nn mzee? Yaani ni sawa useme jk anaubavu wa kumpindua magu
Hii inachekesha sna ..kuna jamaa alijua sijui General Rwanda baadae akaenda kua waziri Congo... hawa jamaa maisha yao?Anapinduliwa afu unakuta afisa wa jeshi la nchi jirani anapewa uwaziri wa ulinzi.Uzuri wa ule ukanda kuna wachezaji wanachezea timu za mataifa mawili kwa wakati mmoja.
Kabila katoka madarakani bila kupenda....baada ya kuona mambo yanaanza kwenda kombo akamchomeka Felix...sasa kwa mazingira hayo Felix hawezi kuendesga serekaliKabila si ameshastaafu , anataka awe nani tena?
Kama ana ushauri atoe lakini si kutaka afanye maamuzi.
Ana bahati amestaafu urais akiwa kijana,, atakula sana maisha akitulia.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
PK jeuri...kumshuhulikia huyu ni kumpandikizia waasi waparangane naoSasa kwanini wasimshughulikie huyo Msumbufu?