Rais Magufuli yashamshinda?

Rais Magufuli yashamshinda?

Nchi haieleweki kesho itaamkaje,labda tutaambiwa tuliooa wanawake weupe tuachane nao!!

Wawekezaji/wafanyabiashara wameficha hela zao benki wakisubirk hali ya kibiashata iwe predictable.

Watumishi wa umma hawana security of tenure,yeyote anaweza kumfukuza yeyote mahali popote kwa sababu yeyote.

Wenye biashara hawajui TRA wataamkaje maana hata mahesabu ya kodi nasikia yanazidishwa ili kufikia lengo.

Bodaboda na trafic ni shida
Tuliambiwa elimu bure Leo tunachanga madawati
Sekta ya umma iko stagnant hakuna anayekubali kubuni kitu cha manufaa, hakuna viwanja vinavyopimwa wala nini,watumishi wanafanya conventional works,shughuli za kawaida za kila siku

Ndani ya Mwaka biashara nyingi zitakuwa zimefunga anzia grocery mpaka mahoteli na MADUKA madogo kwa makubwa!!
Magenge ya wapeleka umbeya ndio yanapewa nafasi kubwa kuliko kukaa na kusikiliza wataalam wanasemaje
Mkuu umeongea kweli kabisa
 
Tatizo kubwa pia lipo kwa aina ya Wananchi tulio nao ...
 
kuna watu walisema huyu ni chaguo la Mungu
kweli Mungu tunamsingizia mengi
umeona tangazo la kupiga marufuku watu wanaokumbwa na njaa kupewa chakula na serikali?
Hamna chaguo LA Mungu kwa ushindi wa bao la mkono. Tena wengine walidiriki kusema aongezewe mda wa kuwa raisi kabisa.
 
unataka tuonngozwe na shetani? yes Mungu ndio anatuongoza kupitia Magufuli

achana na hizo unproven religious allusions & fantasies ... no inawezekana kabisa vilevile kwamba Shetani ndio anatuongoza kupitia kwake?
 
endeleeni kupiga mayowe. watumishi wa Mungu wako busy makanisani kumuombea. hata wabunge wenu huwa wanaitikia dua mbele ya Maadam SPIKA baada ya kumuombea rais wanakimbia nje.
Inawezekana wanamwombea aingie chaka....angekuwa anaombewa neema asingegeukwa na watanzania kwa wingi kiasi hiki
 
Taarifa zote angekuwa nazo basi kusingekuwepo na kuteua watu leo halafu kesho uteuzi unatenguliwa.
Nyani Ngabu rafiki yako Mwanakijiji yupo wapi? Naona kishakuacha, kajiunga na upande ule mwingine wa kutetea wakandamizaji badala ya upande wa kutetea demokrasia, heshima, utu na haki za binadamu.
 
nadhani kuna amri nyingine ameshazisahau na watu wameanza kuzipotezea! kwa mfano kunywa pombe mchana,kukataza pool table na usafi kila jumamosi watu wamerejea hali ya zamani na hakuna kiiongozi anayefuatilia.Uhalifu umerejea kwa kasi kwani Polisi wamekaririshwa kwamba kazi yao ni kupambana na UKAWA na kusahau majukumu yaoyai kulinda raia na mali zao!
 
Malafyale umekuja na hoja zuri sana, bali ulichosahau ni kwamba kulikuwa na mazingira tofauti sana ndani ya Chadema katika chaguzi hizo ulizozitumia kushadidisha hoja yako. Wakati katika uchaguzi wa mwaka 2010 kulikuwa na utulivu mkubwa ndani ya CDM kiasi cha kupata wabunge hao chini ya Dk Slaa, katika uchaguzi wa mwaka 2015 CDM imeingia katika uchaguzi ikiwa na mpasuko, tena, uliochochewa na Dk Slaa huyo huyo akishirikiana na akina Dk Mwakyembe lakini bado CDM ikapata wabunge wengi! Hii maana yake ni kwamba CDM ilifanikiwa zaidi katika uchaguzi wa mwaka jana kuliko wa 2015. Na kwamba kama DK Slaa asingechepuka CDM ingeweza kufanikiwa zaidi.
Aliyeivuruga CHADEMA ni Mbowe na wala sio Dr Slaa
 
Back
Top Bottom