Rais Magufuli yashamshinda?

Rais Magufuli yashamshinda?

CHADEMA ingekuwa imara kama zamani huyu easily angeondoka 2020
Lkn kwa upinzani huu wa hovyo hovyo wa kutowasikiliza wanachama na kujiona viongozi kama Mungu watu
Wapinzani wanawatumia wanachama wao kwenye maadamano tu
Kwenye teuzi wanapuuzi kauli za wanachama wa kawaida
Wao na CCM hamna tofauti
Magufuli atashinda 2020 hata kukiwa na TUME HURU
Mark my words
uko sahihi mkuu..namkumbuka jamaa mmoja alikuwa pale UDOM anaitwa Mwakibinga...alikuwa mtetezi wa chama kweli lakin muulize alichokipata kutoka lwa mbowe...ANAJUTA
 
Kuna mtu aliteuliwa ''kimakosa'', akapenya geti la Ikulu, akapiga picha na wateule halali na dakika chache kabla ya kula kiapo, akaambiwa awapishe wenzie. Taarifa zipi unazoziongelea hapa mkuu? Na huu ni mfano mmoja tu.
Cjakuelewa mkuu hebu dadafua
 
Upinzani bado sio imara japokuwa idadi yao ya wabunge imeongezeka sana baada ya uchaguzi wa mwaka jana. Kama DJ anasema wazo la kuhamia Dodoma ni la kukurupuka wakati ni wazo la tangu miaka ya 70, basi ujue upinzani ni dhaifu. Wakati Mwalimu Nyerere anatoa maagizo ya kuhamia Dodoma, DJ alikuwa mtoto wa shule ya msingi, leo hii anasema ni wazo la kukurupuka, na huyu ni mtu very influential kwenye upinzani, lakini upeo wake wa kujadili mambo muhimu ya kitaifa ndio kama huu. Upinzani bado haujawa na ushawishi wa ziada kwenye jamii, na hawajifunzi. Wanaishi kwa kudhani kwamba mtu wa kawaida kabisa hana hekima wala busara za kuweza kupima mienendo ya viongozi wa upinzani.
Ni wazo la kukurupuka ndyo. Uhitaji wa kuhamia dodoma miaka ya 70 sio sawa sawa na miaka ya sasa.

Mpaka sasa haijulikani sababu au nini kipaumbeke cha kuhamia dodma. Mkiulizwa mnadai et ni mpango wa toka zamani na maraic waliopita walishindwa wa sasa hawezi shindwa.

Serkal kuhamia dodomo itamsaidia nini mtanzania?

Kwanini hii habar ya kuhamia dodoma imekuja baada ya Raic kuwa mwenyekit wa CCM?

Makao makuu ya CCM ipo dodoma. Ikulu ipo dar. Na mkuu hapend kusafir kwa ndege. Shanting za dar to dodoma kaona zitakuwa nying ni bora akaish ddma.

Hamuoni huu mpango upo kiCCM zaidi. Watz hta hamjiongezag.

Ila Magu naye si angeamisha makao makuu ya CCM tu ndyo yakahmia dar!

Gharama za kuhamia dodoma zingeweza jenga hata viwanda 3 vya kuprocess nyanya ili kutengeneza soko la uhakika kwa wakulima. Leo nyanya tenga linauzwa 700 tsh morogoro wakulima wamepiga kazi soko hakuna.

Hta kama nia ni kukuza mji wa dodoma iyo sio right approach. Mji haukuzwi kwa majengo ya serkal mji unakuzwa kwa shughuli za kibihshara.

Wangesema viwanda vijengwe dodoma apo sawa vingesaidia development ya mji.

Mbona Mwanza na Arusha ineendelea kwa kasi bila uwepo wa majengo ya serkal kuu?

Hata dar yenyewe imeendelea tokana na shughuli za kibihshara na sio kwa sababu ya kuwepo kwa majengo ya serkal. Serkal yenyewe ndyo iliyokimbilia dar sababu ya kas ya maendeleo yaliyotokana hasa na bandar.

Kama mgufuli kashindwa kukaa ikulu ya dar kwa sababu anazozijua yeye aende mwenyewe dodoma au akakae hta chato maana tunasikia kwake pamejengwa ikulu tiyar.
 
Cjakuelewa mkuu hebu dadafua

Kuna mtu aliteuliwa ukuu wa Wilaya. Akapewa mwaliko mpaka Ikulu ili aapishwe na wenzie. Dakika moja kabla ya kuapishwa, wakagundua eti aliteuliwa "kimakosa" na akafukuzwa kama mpiganaji wa ISIL.
 
Ni wazo la kukurupuka ndyo. Uhitaji wa kuhamia dodoma miaka ya 70 sio sawa sawa na miaka ya sasa.

Mpaka sasa haijulikani sababu au nini kipaumbeke cha kuhamia dodma. Mkiulizwa mnadai et ni mpango wa toka zamani na maraic waliopita walishindwa wa sasa hawezi shindwa.

Serkal kuhamia dodomo itamsaidia nini mtanzania?

Kwanini hii habar ya kuhamia dodoma imekuja baada ya Raic kuwa mwenyekit wa CCM?

Makao makuu ya CCM ipo dodoma. Ikulu ipo dar. Na mkuu hapend kusafir kwa ndege. Shanting za dar to dodoma kaona zitakuwa nying ni bora akaish ddma.

Hamuoni huu mpango upo kiCCM zaidi. Watz hta hamjiongezag.

Ila Magu naye si angeamisha makao makuu ya CCM tu ndyo yakahmia dar!

Gharama za kuhamia dodoma zingeweza jenga hata viwanda 3 vya kuprocess nyanya ili kutengeneza soko la uhakika kwa wakulima. Leo nyanya tenga linauzwa 700 tsh morogoro wakulima wamepiga kazi soko hakuna.

Hta kama nia ni kukuza mji wa dodoma iyo sio right approach. Mji haukuzwi kwa majengo ya serkal mji unakuzwa kwa shughuli za kibihshara.

Wangesema viwanda vijengwe dodoma apo sawa vingesaidia development ya mji.

Mbona Mwanza na Arusha ineendelea kwa kasi bila uwepo wa majengo ya serkal kuu?

Hata dar yenyewe imeendelea tokana na shughuli za kibihshara na sio kwa sababu ya kuwepo kwa majengo ya serkal. Serkal yenyewe ndyo iliyokimbilia dar sababu ya kas ya maendeleo yaliyotokana hasa na bandar.

Kama mgufuli kashindwa kukaa ikulu ya dar kwa sababu anazozijua yeye aende mwenyewe dodoma au akakae hta chato maana tunasikia kwake pamejengwa ikulu tiyar.
Umeongea mengi lakini yote yamedhihirisha tabia zile zile za kibinafsi, ambazo ni ugonjwa wa kizazi cha Tanzania ya sasa. Usiishi Dar na katika majiji mengine ukadhani kwamba nchi imeshaendelea. Nchi hii inahitaji uwekezaji uliosambaa katika mikoa yote. Ni rahisi zaidi kwa mikoa ya bara kupata msukumo wa kimaendeleo kutoka serikali kuu ikiwa serikali hiyo itakuwa imeweka makao yake katikati ya nchi.
Lagos yalikuwa ni makao makuu ya kiserikali ya Nigeria, lakini wanigeria wakaona hapana, kwa sababu maendeleo yote yanakuwa pwani ya Nigeria halafu maeneo mengine haswa ya kati na kaskazini yakawa yanasahaulika. Wakaamua kuhamisha makao makuu ya serikali yakawa Abuja na Lagos ikabakia kuwa ni makao makuu ya kibiashara.

Kuna dhambi ikiwa Dar ikabakia kuwa makao makuu ya kibiashara na Dodoma yakawa ni makao makuu ya kiserikali?. Kuna ubaya gani ikiwa kutakuwa na urahisi kwa wananchi wote kufika Dodoma ili wahudumiwe na serikali, kuliko kufunga safari ndefu ya kufika Dar?.
Jitahidi usimezwe na mawazo ya kibinafsi eti kwa sababu unaishi na umekulia Dar basi ushindwe kuelewa kuwa nchi hii ni kubwa na yenye mamilioni ya watu wenye mahitaji mengi pengine kuliko wewe. Dodoma ni karibu sana kwao kulinganisha na Dar.
 
Nyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
Hivi hata sakata la kupunguza bei ya Sukari unataka kuniambia alikua na data sahihi za kufikia malengo yake? Mimi naamini katika hili Rais alikua ana taarifa sahihi kuhusiana na Uzalishaji wa Sukari nchini lakini alikua hajui Demand ni kiasi gani na sukari iliyokua inaingizwa nchi ku-fullfil hiyo demand alikua hajui japo ni Taasisi, ndiyo maana mpaka leo hajafanikiwa
 
Mpo ambao hamfaidiki na Raisi Magufuli, sawa yote ndo maisha, lakini tupo ambao tunafaidika naye, pia ni Maisha tu kwetu!. Sasa kama ufaidiki na utendaji wa Raisi kuna kitu itabidi ufanye tu, 1. Badili mtazamo wako kuhusu Raisi na utendaji wake, nawe utafaidika kama sisi. 2. Vumilia tu, maana yaweka kuwa nyakati za Magufuli sio nyakati zako ulizopewa duniani, Kwahiyo sio zamu yako bali ni zamu yetu kutesa( Reference to Mani Fongo , Tunakulaga).
 
Taifa la ajabu sana hili yaani mtu anakesha akiomba rais wake ashindwe ili aseme
Ni kana kwamba mtu huyo yupo kenya au somewhere far away
 
Umeongea mengi lakini yote yamedhihirisha tabia zile zile za kibinafsi, ambazo ni ugonjwa wa kizazi cha Tanzania ya sasa. Usiishi Dar na katika majiji mengine ukadhani kwamba nchi imeshaendelea. Nchi hii inahitaji uwekezaji uliosambaa katika mikoa yote. Ni rahisi zaidi kwa mikoa ya bara kupata msukumo wa kimaendeleo kutoka serikali kuu ikiwa serikali hiyo itakuwa imeweka makao yake katikati ya nchi.
Lagos yalikuwa ni makao makuu ya kiserikali ya Nigeria, lakini wanigeria wakaona hapana, kwa sababu maendeleo yote yanakuwa pwani ya Nigeria halafu maeneo mengine haswa ya kati na kaskazini yakawa yanasahaulika. Wakaamua kuhamisha makao makuu ya serikali yakawa Abuja na Lagos ikabakia kuwa ni makao makuu ya kibiashara.

Kuna dhambi ikiwa Dar ikabakia kuwa makao makuu ya kibiashara na Dodoma yakawa ni makao makuu ya kiserikali?. Kuna ubaya gani ikiwa kutakuwa na urahisi kwa wananchi wote kufika Dodoma ili wahudumiwe na serikali, kuliko kufunga safari ndefu ya kufika Dar?.
Jitahidi usimezwe na mawazo ya kibinafsi eti kwa sababu unaishi na umekulia Dar basi ushindwe kuelewa kuwa nchi hii ni kubwa na yenye mamilioni ya watu wenye mahitaji mengi pengine kuliko wewe. Dodoma ni karibu sana kwao kulinganisha na Dar.
Nini maana ya kuwa na branch za ofic za serkal katika kila mkoa? Kwa technologia ya sasa mtu hta hauitaji kwenda dar kupata huduma za serkal.
 
Kaka huu ni wakati wa kupunguza msongamano katika jiji la Dar, utadhani maendeleo yapo maalum kwa watu wa Dar peke yao!!. Dar ibakie kuwa commercial city na Dodoma iwe ndio Capital city. Kuna wakati kwenye maisha ni lazima mtu aondokane na mazoea, wakati wenyewe ni huu.
 
Bado aproach zako zipo kizamani. Unadhani msongamano dar unasababishwa na majengo ya serkal? Hiv umeshafika hta Nairobi ukaona y wenyewe hakuna msongamano lakini ndyo makao makuu?

Kwa kifup ni kuwa miji ya Tz imekuwa bila plani. KAMA KUNGEKUWA NA PLANI NZUR NA INAYOTEKELEZWA KUSINGEKUWA NA FOLENI.
 
Nadhani serikali imeshajifunza kitu flani,hata jana Waziri mkuu alisea TRA wasikilize wafanyabiashara na kuwapa nafasi kutoa maoni na kujitetea kuhusu kodi wanazotozwa hilo manake ni kwamba inclusive decision making ambayo mm naamini ndio kitu kizuri katika kuongoza nchi nao wanakifikiria...au wanaona ni jambo la busara...
 
Taifa la ajabu sana hili yaani mtu anakesha akiomba rais wake ashindwe ili aseme
Ni kana kwamba mtu huyo yupo kenya au somewhere far away
Nilivyoona tu Avi yako nikajua lazima umwage pumba flan hv
 
Hivi ni mimi tu au na wengine mpo mnaoona kama vile mambo yashamshinda huyu Magufuli?

Kuna hali fulani hivi naiona ambapo jamaa ni kama anaamka tu kila asubuhi na kutoa maamuzi ya kukurupuka kurupuka.
Yaani yeye ni amri tu....fanya hivi....fukuza huyu....twende kule...nk.

Yapo baadhi ambayo ni mazuri ambapo mtu unaona kabisa hapa nia ni nzuri lakini kuna mengine yenye ukakasi sana hadi kunifanya nianze kuhoji hekima na busara za huyo bwana!

Hajawahi kuwa na hivyo vitu.

Wala hakuwekwa hapo kwa vigezo hivyo.

Kwa hiyo Nyani Ngabu, usivitegemee hivyo kwa huyo jamaa. Unaswali lingine?
 
Bado aproach zako zipo kizamani. Unadhani msongamano dar unasababishwa na majengo ya serkal? Hiv umeshafika hta Nairobi ukaona y wenyewe hakuna msongamano lakini ndyo makao makuu?

Kwa kifup ni kuwa miji ya Tz imekuwa bila plani. KAMA KUNGEKUWA NA PLANI NZUR NA INAYOTEKELEZWA KUSINGEKUWA NA FOLENI.
Nairobi ipo katikati ya Kenya na ndio Capital, matokeo yake kila mtu anafika kwa urahisi kutoka kila kona ya nchi. Dodoma ipo katikati ya nchi, Kwa fikra za haraka haraka, wapi ni karibu kwa mtu kutoka Kigoma kati ya Dodoma na Dar?. Wapi ni karibu kwa mtu kutoka Sumbawanga kati ya Dodoma na Dar?. Wapi ni karibu kwa mtu kutoka Serengeti kati ya Dodoma na Dar?. Wapi ni karibu kwa mkazi wa Ngara kati ya Dodoma na Dar?.
Ndio maana nimeongelea ubinafsi zaidi bila ya kutazama mahitaji ya ukuaji wa nchi katika uwiano sahihi. Tatizo letu mnapolitazama jiji la Dar mnashindwa kutambua kuwa ni sehemu ndogo sana ya Tanzania halisi, ambayo bado ni very poor.
 
Unaenda mbele unarudi juma.
 
Hivi ofici za ma DC kila mikoa zinafanya kazi gani? Hofic za wakuu wa wilaya zinanini. Hivi magufuli akiamia dodoma ndyo mtakuwa mnaenda ikulu kilaic?
 
Wewe unazo hasira zako ambazo unataka kuzimalizia hapa JF. Jitahidi uwe na utulivu kiakili kabla hujaandika kitu na kukipost.
 
Back
Top Bottom