Rais Magufuli yashamshinda?

Rais Magufuli yashamshinda?

Hivi kuna kiongozi wa Tanzania ambaye keshawahi kupingwa na kukosolewa humu kumzidi Kikwete?

Uhai karibu wote wa JF Kikwete ndo alikuwa rais na watu tumemsema sana humu.

Sasa sijui unazungumzia watu gani hasa ambao walikuwa kimya wakati wa enzi zake.

..anayesema Nyani Ngabu ulikuwa kimya wakati wa JK anakuonea.

..lakini Magufuli si ndiyo alikuwa kinara wa kumsifia Kikwete na kumponda na kumbeza kila aliyekuwa akikosoa utawala wa Kikwete?

..sasa yupi ana afadhali? Yule aliyekaa kimya, au yule aliyekuwa akimsifia Kikwete?

..wa-Tz tuna a very short memory. Na ni wepesi zaidi kutekwa kimawazo.

Cc macho_mdiliko
 
"Sisi maskini"
Ni kukata tamaa au ni kuwa na mawazo yakimaskini?! Tunajivunia umaskini? Kweli?
Hatujivunii. Ispokua tunajivunia kuona aktengeneza njia ili kuwepo na usawa hasa kwa kuondoa au kupunguza gep kati ya walionacho na wasionacho
 
Hizi kauli zake pia zitakimbiza sana wawekezaji ambao wanania ya kuja kuwekeza,maana amekuwa mtu ambae haeleweki kabisa kesho atasema na keshokutwa atakuja na lipi,
 
Ndugu Watanzania Demokrasi imetutooka
Hatunayo tena demokraasia
Uhuru wa watu na Demokrasi ya watu
Demokrasi sasa imetuaga!
Oh Demokrasia, nguzo ya amani na utulivu

Tunasikitika kupoteza lulu yetu
Lulu yetu, Nguzo yetu
Demokrasiaaa!

Ilikuwa nasi siku zote za mapambano
lulu yetu, nguzo yetu
Demokrasiaaaaa!

Taifa lahuzunika
Wananchi, twahuzunika
Pamoja twasema, kwa heri
kwa heri lulu
yetu Demokrasiaaaa!

Sasa twende wapi tukafanye mashauri
Mikutano, siasa, vimekuwa
Ngumu kuvifanyaaa

Taifa lahuzunika
Wananchi twahuzunika
Pamoja twasema, kwa heri
Kwa heri lulu
Yetu Demokrasiaaa
 
Ukipita mitaani watu washachoka na story zake...
biashara haziendi.....mood iliyopo ni kusubiri labda mambo yatanyooka soon...
sasa sijui yasiponyooka itakuaje....
Mkuu hali ni mbaya, imefika mahali watu tunatafuta pesa ya kula, kodi ya nyumba, ada ya watoto na kusali ugonjwa usibishe hodi ktk familia maana bajeti yake haipo.
 
Watanzania kwa kuchagua hovyo tumevunja rekodi. Kila uchaguzi tunachagua hovyo zaidi na hatujifunzi. Mtu hata mkewe alikuwa anasita kuungana naye kwenye kampeni hatugutuki! Tumelikoroga na sasa yabidi tulinywe...watakaobakia hadi 2020 labda watakuwa wamepata aikili za kuchagua kwa umakini zaidi.
 
Unajua kitu kinachoitwa 'multiplier effect'?

Wafanyabiashara wanaathiri kila mtu..
wao ndo wanaathiri TRA na mapato.. na mapao ndo bajeti inapoanzia.....
kama unataka niseme watanzania wote.....wanalalamika...
siwezi sema hivyo
najua kuna watu 'mioyo yao inakoshwa na Magufuli'

swali je hao wanaokoshwa hawataguswa na hiyo 'multiplier effects?

Sidhani kama anakuelewaa huyoo
 
That sounds like a careless whisper slow down mkuu...
I told him he should hold his horses ,kuna comment kama hiyo kaitoa jana ,ile operation Ukuta itachukuliwa tofauti na wenye mamlaka ,kumbe badala ya kupinga ukandamizaji wa demokrasia wao wanashawishi mapinduzi
 
CHADEMA ingekuwa imara kama zamani huyu easily angeondoka 2020
Lkn kwa upinzani huu wa hovyo hovyo wa kutowasikiliza wanachama na kujiona viongozi kama Mungu watu
Wapinzani wanawatumia wanachama wao kwenye maadamano tu
Kwenye teuzi wanapuuzi kauli za wanachama wa kawaida
Wao na CCM hamna tofauti
Magufuli atashinda 2020 hata kukiwa na TUME HURU
Mark my words
Dah! huyu jamaa kweli ni shidaa lkn hakuna chama cha kumtoa kama ndo sijui UKUTA mara Lowassa fisadi mara sio fisadi
 
Rais ni Magufuli na ataendelea kuwa magufuli. huko anakopita ni shangwe na vigelegele. wananchi wanatamani aseme neno roho zao zifrahi. huku mko busy kutunga ngonjera na hadithi zisizo na vichwa wala miguu......
Kwani hawa wanaotoa maoni kwamba anakosea siyo wananchi? Yaani kwa kumpinga Magufuli wanapokonywa uananchi wao?
 
Hatujivunii. Ispokua tunajivunia kuona aktengeneza njia ili kuwepo na usawa hasa kwa kuondoa au kupunguza gep kati ya walionacho na wasionacho
Haifai kupunguza gap kwa kushusha walio juu Bali angepandisha waliochini wafike juu
 
Subiri Jingalao na MOTOCHINI waisome post yako utakoga matusi.

Huko kunatakiwa kusifu na kuabudu tu
Mbona sijawahi tukana humu?

Mleta mada kaja na kichwa cha habari chenye mfano wa maneno ya Kanga...hajaweka ni matamko gani ya kukurupuka ...

By the way kushindwa kwa Magufuli kutaelezewa na kushindwa kutekeleza ilani aliyoiahidi...so far ameshagusia maeneo mengi ya Ilani haswa haswa kwenye Elimu bure,Mahakama ya mafisadi,Ushuru usio na tija,na utumbuaji wa watendaji wabuvu.

Ukimpinga Magufuli fanya hivyo kwa data na rejea ilani ya Ccm.
 
mlisema Kikwete hatamaliza mda wake wa urais lkn leo ni rais mstaafu tena kastafu kwa Heshima.
hizi kelele zenu tushazizoea. Magufuli anazidi kuchanja mbuga,
Umezoea kelele zetu?? ama umezoe kelele za Jamaa yako?
 
Naongelea uwanja wote, ambao rais anaruhusiwa kucheza! Magufuli ana mapungufu lakini Kikwete alikuwa ni zaidi. BTW wanaopiga kelele Tanzania sasa hivi kumlaumu Magufuli ni wale watu waliokuwa wanafaidika na mfumo dhaifu wa Kikwete. Watu wa kawaida maisha bado ya yale yale na hakuna kilicho badilika.

Ni kweli lakin Malaika anakurupukajee kama katoka kuota ndoto ya kutisha
 
Back
Top Bottom