BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Ni kweli kabisa kuna mengi ambayo yalikuwa red flags kuhusu huyu kutokuwa na sifa za kuongoza nchi ikiwemo kushiriki ukwapuzi wa nyumba za Serikali, ununuzi wa boti lililooza kwa shilingi bilioni 8 na lililopigilia msumari huyu kutokuwa na sifa za kuongoza nchi ni pale mkewe alipogoma kumfanyia kampeni. Yote haya wakaamua kuyadharau na matokeo yake ndiyo hayo ya nchi kuongozwa katika style ya one man show ambapo madhara makubwa sana yanaweza kuikumba nchi yetu ikiwemo la uchumi kutetereka kwa kasi kubwa.
Tabia haina dawa alishasema kauli za ajabu ajabu toka enzi