Rais Magufuli yashamshinda?

Rais Magufuli yashamshinda?

Hivi ni mimi tu au na wengine mpo mnaoona kama vile mambo yashamshinda huyu Magufuli?

Kuna hali fulani hivi naiona ambapo jamaa ni kama anaamka tu kila asubuhi na kutoa maamuzi ya kukurupuka kurupuka.
Yaani yeye ni amri tu....fanya hivi....fukuza huyu....twende kule...nk.

Yapo baadhi ambayo ni mazuri ambapo mtu unaona kabisa hapa nia ni nzuri lakini mengine yana ukakasi kidogo.
MTANYOOKA TU BADO MLIZOEA KUBEMBELEZA HERE KAMA MMEFANYA UFSADI
 
saiv tuu hajapanick...sijui akipanick atakuwa na maamuz gan huyu jamaa.
Na navo jua kupanick nilazma sabab atafika 2020 hakuna alilofanya........nataman sana niwe hai nishuhudie kampeni za 2020.....za kuanzia ndan ya chama na uchaguz kw ujumla
 
ImageUploadedByJamiiForums1470069599.193422.jpg

Bora tunge msikiliza huyu dogo sijui alikuwa wa chama gani pengine angetuletea mapya.
 
Ni moto unawaka kwa wezi wa mali ya umma, wala rushwa na mafisadi, wazembe na wabadhirifu, mangi meza na watumia ofisi za umma vibaya/kwa manufaa yao binafsi. Kwa Magufuli mmekwisha shindwa. Niwashauri kutubu na kuishi kama raia wema.
 
Rais ni Magufuli na ataendelea kuwa magufuli. huko anakopita ni shangwe na vigelegele. wananchi wanatamani aseme neno roho zao zifrahi. huku mko busy kutunga ngonjera na hadithi zisizo na vichwa wala miguu......
Noo..Ukiwa mzalendo wa kweli either CCM au kwingineko lazima utatilia shaka hali inavyokwenda,kama si mnafiki lakini.
 
Ukipita mitaani watu washachoka na story zake...
biashara haziendi.....mood iliyopo ni kusubiri labda mambo yatanyooka soon...
sasa sijui yasiponyooka itakuaje....
Watu hapa walisema bajeti ikipita mambo yatakuwa mazuri mitaani ila bado raia wanazidi kuumia!
 
not even a zero point magufuli according to you!!! magufuli is a very right man to lead this nation cause it was our cry to have the president like him!!!! let magufuli puts Tanzania we want to!!!! magufuli for real change!!!
 
Inawezekana wanamwombea aingie chaka....angekuwa anaombewa neema asingegeukwa na watanzania kwa wingi kiasi hiki
watanzania wapi hao? unaona mikutano yake mijini na vijijn? au watanzania nyie mlioshiba chps mayai na mna vibandovya tigo mnajiskia kufanya lolote?
 
Nawaza kwa sauti mnayoyajadili.
Mungu awaongoze mfike tamati.

Ila Nchi inahitaji maombezi na sio kumwombea Kiongozi wake.

Mkuu hii dhana ya kumtwisha Mungu matatizo yalliyo sababishwa na binadamu nnadhani tuachane nayo sababu itatupunguzuia uwezo wa kufikiri zaidi...
 
Watu mnaroho ngumu! mnawezaje kuhoji hata awamu hii? Yatakayo wapata mimi simo.
 
Back
Top Bottom